Kwanini tutoe tozo kutumia daraja la Nyerere?

Tumi Lambo

Member
Oct 21, 2021
63
27
Hivi kwa nini tulipe tozo kutumia daraja la KIGAMBONI lilojengwa na siye wenyewe kwa kutumia kodi zetu, hata kama ni mkopo toka nje, huo mkopo unalipwa na kodi zetu.

Wakati viongozi wanatumbua kodi zetu na trip za ulaya na malupulupu ya kishenzi hata kulipa mishahara watu hewa na wafu? TUAMKE KABLA AKILI HAZJAFA KWA KULAZWA.
 
Hiyo ndiyo mifumo ya namna ya kukuza miundombinu kwa nchi zenye uchumi mdogo.

Daraja la Kigamboni kimejengwa kwa fedha za mfuko wa akina ya wafanyakazi wa NSSF kwa mtindo wa Build, Operate and Transfer. Hizo siyo fedha zenu bali za wafanyakazi na wanazihiyaji kwenye mafao yao.

Subirini mpaka wamalize kukusanya fedha waliuotimia kujenga labda mwaka 2040 ndipo muanze kupita bure
 
Wanapiga helasana pale darajani mbaka sasaivi nadhani elaimesha rudi. Tupiteburetu ama wapunguze tozo kwa % 50
 
Daraja halikujengwa kwa kodi wa wananchi, lilijengwa kwa pesa za wafanyakazi waliokua wanakatwa hela zao na kuzihifadhi NSSF ili zije kuwasaidia wakistaafu.

Hakuna pesa ya walipakodi pale. Hivyo lazima ile hela irudi.

Basic facts about Nyerere Bridge and its approach Roads

It was officially opened on 19th April 2016 by the Fifth President of The United Republic of Tanzania Dr. John Pombe Magufuli.

It is a Joint Venture project between the Fund (60%) and Government (40%).
 
Hivi kwa nini tulipe tozo kutumia daraja la KIGAMBONI lilojengwa na siye wenyewe kwa kutumia kodi zetu, hata kama ni mkopo toka nje, huo mkopo unalipwa na kodi zetu. Wakati viongozi wanatumbua kodi zetu na trip za ulaya na malupulupu ya kishenzi hata kulipa mishahara watu hewa na wafu? TUAMKE KABLA AKILI HAZJAFA KWA KULAZWA.

Mwamba alisema kama hutaki kulipa ukapige mbizi
 
Mwamba alisema kama hutaki kulipa ukapige mbizi
Dah umenikumbusha hii, jamaa alikuwa mwehu sana sasa ukitamka sasa hivi utasikia tunamkumbuka marehemu, wakati jamaa ndio alikuwa binhwa mkaksi anatoa makavu live.

Kule Kagera wakati wa maafa ya tetemeko akawaambia kwani mie ndio nimeleta tetemeko😃😃 Ila wajinga wanamsifia tu.
 
Dah umenikumbusha hii, jamaa alikuwa mwehu sana sasa ukitamka sasa hivi utasikia tunamkumbuka marehemu, wakati jamaa ndio alikuwa binhwa mkaksi anatoa makavu live.

Kule Kagera wakati wa maafa ya tetemeko akawaambia kwani mie ndio nimeleta tetemeko😃😃 Ila wajinga wanamsifia tu.

Hata Nyerere, Mkapa, Mkwawa, Milambo na wengine tunawakumbuka.

Sembuse Iddi Amini, Mobutu, Hitler au Mussolini?
 
Parking ya magari ni bure? Kuingia airport na gari ni bure? Kupanda pantoni ni bure? Basi kama ndio hivyo na ndege za ATCL tuwe tunapanda bure si zimenunuliwa kwa Kodi ya wananchi? Treni tupande bure Dar - Mwanza si tumejenga kwa Kodi za wananchi????

Nadhani umetumia akili finyu sana kuandika haya uliyoandika. Tembea uone kuhusu hizi concession projects Kama hiyo ya kigamboni inayotumia mfumo wa BOT (Build Operate and Transfer) BTW waweza kujielimisha pia kuhusu aina ya concessions ambazo government inaweza kuingia na private investor.
 
Usidanganye watu daraja la kigamboni limejengwa kwa mfumo wa BTO wakihusisha NSSF hivyo ni lazima fedha hizo zirudi.Daraja unayosema ya Edenburg inategemea limejengwa kwa mfumo hupo.Mfano Barabara kuu ukitoka Airport Shanghai china kuelekea City centre kuna road Toll ambayo razima kila mtu au chombo kilipe,barabara hiyo imejengwa kwa mfumo huo.
Mfumo huu ni mzuri kwa sababu Serikali haihusiki ma matunzo ya barabara hiyo ila inakusanya kodi
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom