kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kumuwekea mtu dhamana kwa kutumia Mali(mfano hati ya kiwanja), mahakamani ukoje?

    Nachofahamu ni watu kuweka fedha mahakamani katika kumdhamini mtu ila kuhusu mali ndio sina uelewa inakujaje? Kwa mfano, unaweza kuweka kitu kama hati ya kiwanja badala ya fedha katika kumdhamini mtu? Kwa maneno mengine, hati ya kiwanja inaweza kutumika kumdhamini mtu mahakamani na hufanyika...
  2. JamiiForums Tanzania Nitamjuaje mmiliki wa gari kwa kutumia plate number?

    Habari wakuu Hivi unawezaje kutambua mmiliki halali wa gari kama unaijua plate number ya gari husika? Kama kuna namna ya kujua kupitia online naomba mwongozo wakuu. Uzi tayari
  3. JamiiForums Tanzania Je, kwanini Mihimili hii ya nchi imekuwa na muda tofauti wa kutumia teknolojia kufikia wananchi?

    Haya wadau, Ikulu ambayo ni serikali kuu imejiunga Youtube Desemba 22, 2012 wakati Bunge TV imejiunga Youtube Mei 12, 2017. Wakati huo tunapaswa kujua Bunge ndilo linawasemea wananchi hivyo tunapaswa kujua wanasema nini lakini tofauti ya wao kujiunga ni miaka mitano. Aidha kwenye upande wa...
  4. JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi

    HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
  5. JamiiForums Tanzania Mwisho wa kutumia Tiketi za Karatasi kwenye kivuko cha Magogoni - Kigamboni ni Tarehe 28 Februari 2022

    Salaam Wakuu, Abiria wanaotumia kivuko cha Magogoni Kigamboni mnakumbushwa kwamba mwisho wa matumizi ya tiketi za karatasi kwenye kivuko hicho ni Tarehe 28 Februari 2022 hivyo abiria wote mnaombwa kununua kadi za N-CARD. Kadi hizo zinapatikana Kivukoni pande Zote mbili. Wakala wa Ufundi na...
  6. JamiiForums Tanzania Harmonize aendelea kutumia mgongo wa Wasafi ku-survive kwenye game

    Bado anaendelea kutoa video akiwa-tag wababe wa muziki wa bongo WCB ili iwe rahisi kuwafikia watu wengi. Kiukweli kufanya muziki bongo bila support ya WCB hauwezi kutoboa.
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kutumia whatsapp kwenye PC

    Habari ni majanga kidogo nimepata kwa sasa sina simu ya smart na whasapp ya pc inataka uscan je nijinsi gani nitaweza kuitumia kwa kusajili namba moja kwa moja. Ahsante
  8. JamiiForums Tanzania Kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana kwa kutumia waganga wa jadi?

    Achana na hizi kazi za kwenye vijikampuni uchwara vya wachina au wahindi. Nauliza kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana either serikalini au kwenye makampuni ya kimagharibi na NGO kwa nguvu za witch doctors a.k.a waganga wa jadi? Kama yupo ebu aje hapa atoe ushuhuda wake ili na sisi tukajaribu...
  9. JamiiForums Tanzania Kupima wanafunzi wa kidato cha pili kwa kutumia division ni kuharibu mfumo wa elimu

    Kwa miaka kadhaa sasa baraza la mitihani ya taifa linatoa matokeo ya kidato cha pili kwa kutumia mfumo wa division tofauti na ule wa miaka ya nyuma wa wastani.Hii tasfiri yake kuwa mwanafunzi akiwa amepata D mbili na F saba au 9 basi anakuwa amefaulu kuendelea na kidato cha tatu na hatimae kuja...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Amos Makalla ana mkosi au kuna nini? Mbona masoko yanaungua sana?

    Kuungua kwa soko la Mitumba Karume limefanya nifikirie mambo mengi mpaka jibu sina, kumbuka huyu bwana alipokuwa Mbeya mwendo wa kuwaka moto masoko, ilikuwa shida sasa naona imehamia DSM. Sasa huyu mkuu ana mkosi au kuna namna? Pia soma: Soko la Kariakoo lateketea kwa moto
  11. JamiiForums Tanzania Tungeamua Kutumia akili hata Kidogo...

    Hawa Ma PhD holders/ Ma Prof wangebakizwa Vyuoni. Wangelipwa vizuri huko na wangetumika kama wataalamu. Wangeweza kuandika mapendekezo mbalimbali ya kitaalamu na Serikali ikawa na utaratibu wa kuyatumia na yanapofanikiwa wanapewa malipo mazuri. Wangeendelea kufundisha vijana na kuwalea wengine...
  12. JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Tumeacha kutekeleza maendeleo kwa kutumia pesa zitokanazo na mapato na tozo na sasa tumerudi kwenye mikopo?

    Naona makada na viongozi wa chama tawala wanapigia sana chapuo hii kitu. Kuwa lazima tukope ili kutekeleza maendeleo ya taifa letu . Na pia wanasisitiza kuwa tukisubiri kukusanya mapato ili kutekeleza maendeleo tutachelewa. Swali je mapato na tozo havikusanywi? Je, hayatoshi? Je tumeamua...
  13. JamiiForums Tanzania Nawezaje kumtoa pusha wa mtaani bila kutumia Polisi, sitaki dhambi ya kumfanya mtu atoke jela akiwa mzee

    Mtaani kwangu kuna kijana yupo hapa kwa miezi miwili, yupo kwenye rika la miaka 24 hivi, ana frem anauza mahitaji ya nyumbani na vilevi, lakini biashara yake kuu yenye wateja wengi ni Bangi ambayo wanunuzi huvuta hapo hapo ama maeneo ya karibu, eneo sio la barabarani, huwa kuna watu wachche...
  14. JamiiForums Tanzania Je naweza kutumia king'amuzi cha Dstv cha South Africa hapa Tanzania?

    Naombeni wenye kujua mje mnijuze na je malipo ntalipaje nikiwa hapa nyumbani maana nimegundua king'amuzi cha Dstv cha South Africa ni gharama nafuu kulinganisha na hapa kwetu
  15. JamiiForums Tanzania Serikali ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ijiuzulu kwa kushindwa kutumia rasilimali za nchi hii kwa maendeleo ya watu wote

    Habari! Huu uzi ninauandika nikiwa na jazba na ghazabu. Nimefanya kazi mgodi wa GGM(GEITA GOLD MINE), kisha nikafanya Mgodi wa Bulyanhulu uliokuwa ukimilikiwa na Barrick kisha Acacia. Ardhi yetu imemeza matrilioni ya fedha. Nimefanya kazi kwenye hifadhi ya Serengeti kwenye hoteli ya kitalii...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wapewe 'option ' kutumia lugha wanayoitaka

    Hello JF Away from Ndugai news. Leo nimejikuta nawaza kwa nini viongozi wasipewe option ya kutumia lugha ambayo ni rahisi/wako comfortable nayo kuitumia? Najua kingereza ni kama PRIDE fulani, always tunamu admire mtu mwenye kingereza kilichonyooka ila tunasahau muundo wetu wa elimu ni mbovu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania UVCCM wamekengeuka, kumkomalia Spika kujiuzulu ni dalili kuwa hampendi bunge kufanya kazi zake za kuisimamia Serikali. Mnatumika bila kufikiri

    Huu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea. Ndio hii Uvccm ya leo imekurupuka kama Nyumbu kutaka Spika Ndugai...
  18. JamiiForums Tanzania Tafadhari leo Xmas kwa wale wapenda sifa kutumia akiba ya pesa kwa pupa

    Tafadhari kaa mbali na simu usijekutumia simbanking kaa mbali na atmcard leo siyo siku nzuri kwa wale wapenda masifa 😎😎 January school fees
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli kupenga makamasi kwa kutumia kitambaa na hajaa kubwa kwa kutumia tissue na kupiga chafya kwa kutumia kiganja,ni usafi na ndio kustaarabika?

    Kwa wengi tuliokulia mijini, bila shaka tumeshiriki katika kuyafanya haya na huenda bado tunaendelea kutekeleza huu utamaduni wa kimagharabiki ambao tunauona ni sahihi na ndio kustaarabika. Tusione aibu na tujadiliane hapa kama kweli hii tabia ya kupenga makamasi na kisha kuweka kitambaa cha...
  20. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mke kutumia majina haya kwa mwanaume mwingine mbele ya mume wake?

    Hapa nimekaa sebuleni nasoma nyuzi kadha wa kadha huku Jamii Forums Simu ya Mke wangu Iko pembeni. Mara ikaita akiwa nje, nikaona namba haijaseviwa nikauchuna Hadi ikakatika. Ikaita Tena safari hii Mke wangu akaingia ndani akaisikia na kupokea "Niambie Boss Wangu"! Kisha nikafahamu Anayeongea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…