Waalimu waombwa kutumia mishahara yao kutoa misaada kwa wanajeshi wa Urusi walio Ukraine

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,751
48,400
Wameambiwa wale ni ndugu na watoto wao wanaoteseka kule Ukraine kwenye vita...

  • Russian teachers have been asked to give up part of their salaries and donate it to Russian soldiers invading Ukraine.
  • A teacher at one of the schools told Important Stories they were given flyers to apply to donate.
  • But the teachers are unsure where their money will be spent.
Russian teachers have been asked to give up part of their salaries and donate it to Russian soldiers invading Ukraine, but they're unsure what the funds will actually be spent on.

At a teachers' meeting at the beginning of the school year at Moscow regional schools, teachers were encouraged to donate 3,000 rubles, or about $50, each to Russian soldiers fighting in Ukraine, a teacher at one of the schools told Important Stories.

"We were told that over there [at the front] they have no pants and socks," the teacher, whose name has been kept anonymous for security purposes, said. "It was obvious that our headmistress felt uncomfortable talking about it. She said she had to say that and understood our concerns, but we also had to understand the situation: 'These are our citizens, our soldiers.'"

Teachers were each given a flyer, obtained by Important Stories and translated by Insider, to apply to donate to the Russian troops.

"Please withhold funds in the amount of _____ from my salary for September 2022 and transfer them to the Charitable Foundation 'Cultural Development of the Youth of Podolsk' for support of soldiers of the Russian Federation, taking part in a special military operation on the territory of the Donetsk People's Republic, the Lugansk People's Republic and Ukraine," the form reads.
 
Propaganda nyingine ni takataka kabisaaa,yaani mpaka kinyaa!Pro NATO Kwa hili lazima wakumind Kwa kiwango Cha hovyo Cha propaganda!Eti alisema mwalimu mmoja ambaye jina lake hakutaka lijulikane!🤣

Russia Yuko anajenga miundombinu kabambe kwenye maeneo aliyoteka halafu unaleta porojo gani hii?

Jana Izyum wananchi wa Ukraine wamelalamika kuwa hawana chakula na maji baada ya Ukraine kupakomboa,wakati kipindi Russia ameshikilia walikuwa wanapata misosi ya kutosha Kwa kipindi chote!

Eti ndio walimu waombwe wachangie chupi na soksi Kwa askari?🤣🤣🤣🤣
Nishushe aiseeee!
 
Hili dikteta uchwara naona halikujiandaa vizuri na vita hivi. Mpaka marafiki zake wameanza kuwa na wasiwasi...😁😁😁
 
Attachments

  • Screenshot_20220915-193125_US Newspapers.jpg
    Screenshot_20220915-193125_US Newspapers.jpg
    67 KB · Views: 3
Propaganda nyingine ni takataka kabisaaa,yaani mpaka kinyaa!Pro NATO Kwa hili lazima wakumind Kwa kiwango Cha hovyo Cha propaganda!Eti alisema mwalimu mmoja ambaye jina lake hakutaka lijulikane!🤣

Russia Yuko anajenga miundombinu kabambe kwenye maeneo aliyoteka halafu unaleta porojo gani hii?

Jana Izyum wananchi wa Ukraine wamelalamika kuwa hawana chakula na maji baada ya Ukraine kupakomboa,wakati kipindi Russia ameshikilia walikuwa wanapata misosi ya kutosha Kwa kipindi chote!

Eti ndio walimu waombwe wachangie chupi na soksi Kwa askari?🤣🤣🤣🤣
Nishushe aiseeee!

Ha ha ha!! Nimesoma mstari wa kwanza nikashindwa kuendelea, totally incoherent, jamaa mnateseka hadi raha...
 
Ha ha ha!! Nimesoma mstari wa kwanza nikashindwa kuendelea, totally incoherent, jamaa mnateseka hadi raha...
Najua umesoma mpaka mwisho na dawa imekuingia🤣🤣🤣🤣!
Kajipange uje na propaganda walau zinazofanana na ukweli!
 
Back
Top Bottom