kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, kuna madhara yeyote watoto kutumia pempasi?

    Wadau nimekutana na hii video mama huyu akiwa anaongea mengi ila mojawapo ni hili la kuhusu uvaaji wa pempasi kwa watoto. Je hili ni janga au ni kukosa elimu sahihi kuhusu matumizi ya pempasi? Ninawafahamu wazazi kadhaa hawataki kabisa kusikia hii kitu kuhusu pempasi. Naamini humu tuna...
  2. Je tutaweza kufungua nyumba kwa kutumia ufunguo wa gari?

    Mkoloni alipofika tu kwetu alikimbilia kuzinyonga mila na tamaduni zetu maana alifahamu mila, desturi na utamaduni ndizo nguvu na nguzo za kila mtu, kila familia, kila ukoo na kila taifa. Hizo ndizo anuani za mawasiliano kati yako, familia, ukoo, kabila, taifa na Mungu wao, ndio ufunguo wa...
  3. I

    Ulitumia muda gani kupata mtaji wa milioni 3 kwa kutumia mshahara wako?

    Naam tuachane na ile mambo ya kukopa. Tuchukulie ile akiba kidogo inayoweka kutokana na mshahara wako tu unaolipwa kama umeajiriwa. Uliweza kutumia miezi, miaka ama decade ngapi kupata mtaji wa Tshs. Milioni 3? Mjadala huu utasaidia waajiriwa wengi kujijua wapo kwenye hali gani kulingana na...
  4. Nifanyeje niweze kutumia internet nyingi kwa bei ndogo kabisa!!…na nina iphone

    Habar wakuu! Walengwa nadhani mmeelewa! Tatzo n simu yangu iphone je hakuna app za free internet za iphone Kama huelewi apo we basi🤣
  5. DART: Magari pekee yanayoruhusiwa kutumia njia za Mwendokasi

  6. Waalimu waombwa kutumia mishahara yao kutoa misaada kwa wanajeshi wa Urusi walio Ukraine

    Wameambiwa wale ni ndugu na watoto wao wanaoteseka kule Ukraine kwenye vita... Russian teachers have been asked to give up part of their salaries and donate it to Russian soldiers invading Ukraine. A teacher at one of the schools told Important Stories they were given flyers to apply to...
  7. Watu watano wanaacha kutumia dawa za ARV kila mwaka

    WAZIRI wa afya Ummy Mwalimu ameeleza kati ya watu 100 Tanzania wanaoishi na virusi vya ukimwi 95 wanatumia dawa za kufubaza virusi (ARVs) huku watano kati yao wanaacha dawa hizo ,suala ambalo linakwamisha juhudi za mapambano dhidi ya gonjwa hilo. Aidha amewaasa , wanaoishi na Virusi vya Ukimwi...
  8. Urusi yaanza kutumia helikopta kusaka wanajeshi wake waliotoroka mapambano

    Idadi kubwa ya wanajeshi wa Urusi wameona hamna tija ya kufia kwenye nchi ya watu, wameanza kutoroka huku wakifukuziwa na helkopta. ======= Russia has deployed helicopters and weapons in the occupied Ukrainian Kherson region in an effort to round up soldiers who had deserted their positions...
  9. Morogoro: Wawili mbaroni kwa Uhalifu wa Kutumia vilevi kwa Wanawake

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) Fortunatus Musilimu, alikiri jana kukamatwa kwa watu hao kwa nyakati tofauti kwa madai ya kujihushisha na vitendo hivyo kwenye mikoa mbalimbali nchini ikiwamo Morogoro, Dodoma, Mwanza na Dar es Salaam. Baada ya kuwafanyia...
  10. Simu za iPhone zitakazoruhusiwa kutumia iOS 16

    Apple itatoa mfumo mpya wa iOS 16 kwa watumiaji wote wa iPhone 8 na kuendelea. Mfumo mpya wa iOS 16 utaanza kutoka Jumatatu ya tarehe 12 September. Credit: @ Apollo (@itsapolloo)
  11. Namna ya kuandaa TUKIO kwa Ajili ya Harambee (Event-Based Fundraising)

    Matukio kwa ajili ya harambee (events - based fundraising) ni miongoni mwa njia zitumikazo na Taasisi kwenye ukusanyaji wa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi au Programu. Matukio huiwezesha Taasisi kuwa karibu na wafadhili pia husaidia kuufahamisha umma juu ya kile ambacho Taasisi inataka...
  12. N

    Somo laanza kumuingia CEO wa Simba, ataka clubs za Afrika kutumia makocha wa kiafrika

    Opportunities ilitokea wazi kwa yule kocha toka Ghana, yule kocha toka Guinea wa Horoya, kama kawaida mkakimbilia wazungu Zoran kalilia nafasi mbili kuingiza beki na foward kila mtu kaona aina ya usajili wake ni bora mara 100 angekuja Harvey ngomo wa cameroon kama beki leo team iko stuck na...
  13. Je, kutumia sex toys kujichua ni cheating kwa mpenzio?

    Kwa mfano nyie wanaume ambao mnajichua utamu mnaupata mkiwa wenyewe. Hii sio usaliti kwa mpenzi wako? Na hii ya kutumia vipuri?
  14. Naomba msaada wa kuifunga simu kwa kutumia imei namba

    Naomba msaada wa kufungiwa simu imei namba ninazo ila tu nimesahau email nilioweka maana kuna mtu alichange email na password sina kama unaweza kufanya kazi hii 20000 ipo karibu pm
  15. R

    Kamisaa wa sensa: Bajeti ya sensa kutumia bil. 629, NBS: Bajeti ya sensa bil. 400!

    Katika kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na chanel ya ITV tarehe 16 May, 2022, Kamisaa wa Sensa Anna Makinda alihojiwa kuhusu zoezi la sensa, na moja ya kitu alichoelezea ni bajeti ya Sensa, ambapo alisema bajeti ya Sensa kwa mwaka 2022 ni Tsh bilioni 629. Cha kushangaza jana tarehe 1...
  16. M

    Msaada jinsi ya kutumia logo remover

    Naombeni msaada jinsi ya kuondoa logo kwenye video, nilijaribu kutumia logo remover lkn bado sielewi vizuri. Msaada kwa wataalamu jamani
  17. S

    Ujerumani na Poland zaanza kutumia kuni kama chanzo cha nishati

    Aisee kumbe Dunia yaenda kasi hivi kwenye mhimili wake...Kweli nchi za Ulaya ikiwemo Germany (Ujerumani) zimefikia hatua ya kutumia kuni kama chanzo cha nishati?! Yaani wanapasua magogo ya kuni na kuziwasha/choma kama bibi yangu anavyofanya kule Lupembe, Njombe vijijini! Aisee ni jambo la...
  18. Tusipende kutumia msemo kwamba Mungu amempa huyu na fulani hajampa, Mungu hana upendeleo na huenda anahusika kidogo sana kwenye mafanikio yetu duniani

    Msemo huu hupendwa sana kutumika hasa na watu kanda ya mikoa ya pwani ya bahari. Utasikia hili sio fungu langu, fulani kapewa fulani kanyimwa. Hizi ni fikra za kimasikini sana za kumfanya mtu anafikia mpaka kuridhika na hali yake na kushindwa kupambana kwa njia tofauti za kufikia malengo yake...
  19. Kenya kuanza kutumia namba za magari za Dijitali

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Fred Matiang’i amesema wananchi wamepewa miezi 18 kubadili Namba za zamani na kuweka mpya ambapo magari Milioni 4.8 yaliyosajiliwa yataingia kwenye utaratibu huo. Muda huo hautahusisha magari mapya ambayo yatatakiwa kusajiliwa na mfumo mpya wa Number Plates...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…