kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maskini Wilbroad Slaa alidhani yeye ni shujaa kumbe alisahau zama zake zilimalizwa na Hayati Magufuli

    Friends and Enemies, Maisha ya Wilbroad Slaa kisiasa na kiuzalendo yalifika Kikomo pale ambapo aliwakana wapinzani wenzake enzi za Rais John Magufuli na kukimbilia mkate wa kuwa balozi huko Canada. Wilbroad Slaa, wakati wapinzani wanapambania demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari na Utawala...
  2. JamiiForums Tanzania Ukraine waandaa mchakato wa kutumia kamikaze drones 10,000 dhidi ya Urusi, kama mvua vile

    Urusi ijiandae kwa mvua ya drones..... Warusi walikosea sana kuanzisha huu ugomvi bila kushirikisha ubongo..... Mykhailo Fedorov, Ukraine's Minister of Digital Transformation, has announced a UAH 235 million (US$6.3 million) fundraising campaign to buy 10,000 kamikaze drones. Source: Fedorov...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kutumia pig booster kwa kuku naombeni ushauri hapa

    Mimi ni mfugaji mwanafunzi kuna mdau anadai pig booster ikitumiwa kwa kuku,kuku huwa na maumbo mithili ya nguruwe! Mliowahitumia hiyo kitu kwa kuku,naomba mnielimishe,mlitumiaje na kwa kuku wa umri gani!!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Azam FC pekee ndiyo inaruhusiwa kutumia wachezaji wa kigeni Ngao ya Jamii

    Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
  5. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atembelea kaburi marehemu Alphonce Mawazo

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameitembelea familia ya aliyekuwa wanachama wa chama hicho marehemu Alphonce Mawazo ambaye aliuawa kwa kukatwa mapanga katika kijiji cha Chikobe Wilaya ya Geita mkoani Geita. Pia soma > TANZIA - Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mtaalamu wakuweza kuandika e-newsletter kwa kutumia MailChim

    Wandugu habarini za majukumu. Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, nataka mtaalamu tajwa. Connent nitaziandika mwenyewe, yeye kazi yake ni kui-design kwenye MailChimp na kushare na mimi. NB: Tayari nsha-create account ya MailChimp. Kama unaweza kuifanya/ unamjua mtu anayeweza hii...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Uliwezaje kufanikiwa kimaisha kwa kutumia mbinu au kanuni uliyosoma kwenye kitabu au ushauri?

    Ndugu wanajamvi, Kwenye jamii inayotuzunguka kuna msemo ya wahenga na busara au elimu ambayo ili kusaidia au kukunufaisha na kutuwezesha either Iwe positively au negatively kuwa na nidhamu au kanuni za kimaisha. Naomba tushare baadhi ya hivo Vitu either umesoma, kusikia, kuona au namna...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kuwa Katibu Muhtasi

    Naitwa Yohana Kanyamala, natafuta Kazi katika fani ya Secretary (Katibu Muhtasi) Nina ujuzi mbalimbali pia, kama kutumia kompyuta na nyinginezo
  9. JamiiForums Tanzania Ngano ndio kete aliyokua amesalia nayo Mrusi, haya Ukraine kutumia Croatia

    Baada ya Urusi kuona imeshindikana kwa namna yoyote kuipiga Ukraine, ikaamua kuzuia usafirishaji wa ngano, haya sasa Ukraine na Croatia waingia makubaliano na mlango mpya umefunguka.................. July 31 (Reuters) - Ukraine and Croatia have agreed on the possibility of using Croatian ports...
  10. JamiiForums Tanzania Sijapendezwa na uzinduzi wa jezi za Simba kuwekwa majina ya viongozi

    Ni jambo la kushangaza kwa kile kilichofanyika na club ya simba kuchanganya mpira na siasa Nilipendezwa na wazo la club ya simba kutambulisha jezi yao kwenye mlima mkubwa zaidi Afrika hivyo kufanya kuwa kivutio kikubwa kinachotambulika dunia nzima niliona ni jambo jema Leo mida ya asubuhi...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mike Sonko kuchunguzwa kwa kutumia Walinzi 33 na kuwalipa Tsh. Milioni 68 ndani ya siku 22 akiwa Gavana

    Kamati ya Uchunguzi ya Bunge la Seneti Nchini Kenya imeitaka Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) kumchunguza Gavana huyo wa zamani wa Jiji la Nairobi kutokana matumizi mabaya ya Fedha za Umma. Sonko anadaiwa kuwalipa Maafisa 33 waliokuwa wakimlinda wakati akiwa Ziarani Jijini Mombasa...
  12. JamiiForums Tanzania Naweza kutumia NS - 2 gear box oil?

    Wakuu Habari Hivi naweza kutumia CVT NS 2 kwenye Gear box ya nissani teana ambayo Recommended yake ni Matic J? Fundi mmoja ananiambia CVT NS 2 inaingia kwenye Gear box yoyote ya nissani na fundi mwingine anasema Gear Box ya Nissani inatakiwa kuwekwa Matic J oil Msaada tafadhari
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga: Rais Samia alikuja Kenya kutusuluhisha mgogoro lakini Rais Ruto akaingia mitini

    Akizungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya, Waziri Mkuu wa Zamani wa Nchi hiyo na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga amesema jitihada za kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea kulitafuna taifa zilifanywa sio tu na jamii wa Wakenya peke yao bali hata Matifa jirani ambapo...
  14. JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ambayo ukifanya kwa kutumia pesa yako nafsi yako hupatwa na furaha sana na amani?

    Hallo Wakuu, Baridaaa! Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa (money) yako.. nafsi yako (roho yako) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake? Binafsi; 1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani. 2. Kujaza wese na kukimbia (napenda sana...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba hati hati kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa!

    Wizara ya michezo kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi wa michezo imesema huenda club ya Simba ikazuiwa kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa kusherehekea kilele cha wiki ya Simba kwa sababu ya matengenezo yatakayoanza mapema wiki ijayo. Matengenezo hayo ni maandalizi michuano ya Super League...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini wanaofundisha watoto kupigana na kutumia silaha sijui wanajiandaa na nini

    Vitengo vyetu vya usalama vifanye kazi kwa weledi msije shtuka wakati mmesha chelewa. Shule nyingi zinafundisha watoto kupigana ngumi, Karate na kutumia silaha za jadi na baadhi wanatoa hata maelekezo ya silaha za moto huenda. Sasa wanajiandaa na nini? Na maandalizi yao wapo very secret na...
  17. JamiiForums Tanzania Ukraine waanza kutembeza kichapo kwa kutumia cluster bombs, Putin alisema zikitumika atafanya jambo

    Putin amekua akichora mistari na kusogesha magoli ya mikwara, juzi alisema Ukraine wakipewa cluster bombs hapo mstari utakua umevukwa na atafanya kitu, haya sasa wamepewa na zinatembeza kichapo ile mbaya, sijui atachora mstari upi mwingine. US-supplied cluster munitions have been deployed in...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kuanza kutumia jamii namba (namba ya kipekee) kufikia uchumi wa kidigitali

    Mpango wa kuanza kutumia jamii namba (unique number) kwa ajili ya utoaji wa huduma nchini katika ujenzi wa mfumo wa utambulisho wa kidigitali kufikia uchumi wa kidijitali Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (WHMTH) kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wanaume wengi hatupendi kutumia kondomu

    Kwenye #SupaBreakfast ya @EastAfricaRadio Baada ya Waziri wa Afya @ummymwalimu kutaja mambo matatu yatakayo maliza ukimwi, Babu @david.gumbo.5 ametoa maoni yake yanayochangia ugonjwa huo kuenea. "Nimefanya research ndogo asilimia kubwa ya sisi wanaume hatupendi kutumia mipira (kondomu) mwanamke...
  20. JamiiForums Tanzania Makamba Ayataka Makampuni ya BIMA Nchini Kutumia Fursa Katika Sekta ya Nishati

    MAKAMBA AYATAKA MAKAMPUNI YA BIMA NCHINI KUTUMIA FURSA KATIKA SEKTA YA NISHATI Makampuni ya Bima nchini, yametakiwa kuhakikisha kwamba yanazitumia fursa zilizopo katika Sekta ya Nishati, kuzitambua na kufahamu kuwa wana nafasi ya kuzifikia na kuzipata. Wito huo umetolewa tarehe 15 Julai, 2023...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…