kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Sasa wewe unataka Teuzi/ Umeteuliwa kisha unajifanya kutumia akili? Utaona sasa.

    Haya maneno yamenifikirisha sana. Aliyekuwa ananiambia ni Katibu Wizara flan. Na ni sababu nimemuuliza mbona jina langu halipelekwi kwenye teuzi mbalimbali nami tayari nina uzoefu nshafiri sana na mama na Elimu inaruhusu. Jamaa hakuuma uma maneno.kanichana live(watoto wa mjini mnasema hivyo)...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yazuia mtandao wa X na TikTok, walazimika kutumia VPN ili kupata huduma kwenye mitandao hiyo

    Wakenya wengi waripoti shida ya kuweza kutumia mtandao wa X pamoja na TikTok. Hii ni baada ya mitandao hii kutumika zaidi kupanga harakati za maandamano na kuhamasishana kuunga mkono maandamano hayo.
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani Mwanaume unaweza kutumia ili Usirogwe na Mkeo au Hawara hasa ukishamshtukia kuwa ni Mshirikina au anataka Kukutengeza / Kukuroga?

    Jamani nipeni tu hizi Mbinu haraka ili Nijihami mapema, kwani naziona kabisa dalili za Mimi Kutengenezwa / Kurogwa. ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaacha kutumia Busara kwa kupata Suluhisho la Kudumu ili kuwe na 'Win Win Situation', nyie mnatumia Vitisho mkidhani ndiyo Suluhisho Kuu

    Jeshi la Polisi Nchini limesema linawatafuta watu waliokula njama kuandaa na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii tangazo linalowataka Wafanyabiashara wote wa viunga vya Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia Jumatatu ya Juni 24, 2024, bila ukomo, hadi pale changamoto zao za kibiashara...
  5. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali wa namna ya kudhibiti ukwepaji kodi bila kutumia mabavu.

    Mheshimiwa rais, natumaini unaendelea vema na majukumu yako ya kuongoza serikali. Niende moja kwa moja kwenye ushauri wangu. Tengeneza sera ya kubadili mfumo wa manunuzi nchini kuondoka kutoka kwenye matumizi ya cash na kuwa wa kieletroniki. Na jambo hili lisifanyike kwa kutunga sheria ya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tahadhali: Sishauri Mbowe na Lisu kutumia helicopter katika mikutano ijayo

    Ni wazo langu tu! tahadhali si uoga! Sishauri wapande helicopter moja au all together kutumia helicopter. Tahadhali tu na wala si kuwa kuna any tetesi, NO NOT AT ALL. TAHADHALI TU Mnajiaminisha vipi? kwa ya Iran are you exempted? Ya malawi? take care Erythrocyte
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Rais Samia waanza kutumia silaha ya Uzushi na uongo kumshambulia baada ya njia zao kushindwa.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ni mtu anayeishi mbele ya wakati na muda na kiongozi Mwenye akili na upeo wa hali ya juu sana,ni mtu Mwenye jicho la tatu nje na haya mawili ya kibinadamu.ni kiongozi aliyejaliwa macho ya Rohoni yenye uwezo wa kuona asipoweza kuona Mwenye macho ya kawaida. Ni...
  8. petermichaelpeter

    JamiiForums Tanzania Paracetamol inatengenezwa kwa kutumia nini?

    Je paracetamol inatengenezwa kwa kutumia nini
  9. Kitabu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kutumia Photocopier kama Printer aina ya Ricoh MP 2501 SP

    wakuu nina mashine aina ya RICOH MP 2501 SP , napataje free drivers ili nitumie kama printer? Kila driver ninayoiona mtandaoni inauzwa. Msaada tafadhali
  10. maina23

    JamiiForums Tanzania Afisa Mtumishi Mkuu achana na kulazimisha kutumia nguvu kutumia ESS kama kigezo cha kupanda madaraja watumishi. Kwa sasa nchi iko busy na stationery

    Usome
  11. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutumia Teknolojia na Mitandao ya Kijamii Kukuza Biashara Yako Nchi Tanzania

    Teknolojia na mitandao ya kijamii zimeleta mapinduzi makubwa katika sekta ya biashara ulimwenguni, na Tanzania siyo tofauti. Kwa kutumia teknolojia ipasavyo, wafanyabiashara wanaweza kuongeza ufanisi, kufikia wateja wengi zaidi, na kuongeza mauzo yao. Makala hii itachunguza jinsi wajasiriamali...
  12. Chakaza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Kutumia Watu Kama Hawa Kujibu Hoja ni Kujifedhehesha na Kutudharau Tunaohitaji Majibu

    Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press? Mnatuonaje Watanzania wa wakati huu 2020's? Unajua kama lipo jambo linamuuzi mtu mwenye akili timamu na anahitaji majibu...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAR: Wakamatwa baada ya kukutwa na Pistol toy (7), AK47 toy (2), Jambia toy (2), Shoka toy (2) walizotaka kutumia katika uhalifu

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mkakati wake maalum wa kuzuia vitendo vyote vya kihalifu katika Jiji la Dar es Salaam. Kazi hii maalum ya kuzuia vitendo vya kihalifu ni muendelezo wa kazi hiyo iliyoanza mwezi Aprili 2024 na inayoedelea kulenga, kufuatilia...
  14. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Athari za Kutumia Simu Wakati Iko Kwenye Chaji

    Hizi ni athari za Kutumia Simu Wakati Iko Kwenye Chaji 1. Kuungua Simu zinazotumika wakati wa kuchaji zinaweza kuwa na joto zaidi. Hii inaweza kusababisha kuungua kwa ngozi ikiwa itaguswa kwa muda mrefu. Kwa mfano, kuna visa ambapo watu wameungua mikononi mwao kutokana na kutumia simu kwa muda...
  15. jikuTech

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli uwezo wa kutumia intaneti unaweza kufundishwa?

    Kuna kitu kidogo kina tengeneza ugumu kwa wanao thubutu kujaribu fursa mbalimbali katika dijitali . Kitu kikubwa kinacho changia kukatisha tamaa ni kukosa ujuzi wa matumizi ya intaneti Ujuzi wa kutumia intaneti Linapokuja suala la mtu kujifunza jinsi ya kutumia intaneti, ni muhimu kuanza...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kujenga vyuo vya VETA na kutumia wataalamu wetu wazawa

    Tanzania ya miaka 15 ijayo inapaswa kuwa nchi yenye mfumo imara wa vyuo vya ufundi stadi (VETA) ambao unatoa mafunzo yanayokidhi mahitaji ya soko la ajira. Kuimarisha vyuo vya VETA ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu, kwani itasaidia kutoa wataalamu wenye ujuzi na maarifa yanayohitajika...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na haja gani kusomba utitiri wa watu wasiokuwa na impact kwenda Korea kutumia kodi za watanzania masikini kwa ajili tu ya kusaini mikopo?

    Naomba kujuzwa wadau hivi kuna haja gani ya kusomba umati wote ule kwenda nao Korea na wakati maisha huko Bongo ni magumu ajabu Nimewashuhudia hapa mpaka mama lishe sijui wa wapi huko, kwa weli naanza kuona Trump alikuwa sahihi kabisa kusema waafrika ni lazima tutawaliwe upya.
  18. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Tuliokuwa tunajua kutumia computer kabla ya Windows XP tukutane hapa, Hofu ya Y2K n.k

    Wale wakongwe walio anza kutumia computer na operating system za Ms DOS, Windows 95, Windows 98 na kabla ya hapo njoo tupe historia yako ulijifunzia wapi computer. Nini au tukio gani linakukumbusha mbali na ilikuwaje. Unakumbuka nini juu ya hofu ya Y2K? Ilisemekana computer zote zitazima...
  19. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa Offline Bible Software ya kutumia kwenye pc

    Tafadhali Mwenye Offline Biblia software ninayoweza kutumia kwenye laptop au desktop yangu anitumie ni dowload!
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi kutumia Tsh. Trilioni 1.76 mwaka 2024/25

    Katika mwaka wa fedha 2024/25, Wizara ya Ujenzi inaomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi 1,769,296,152,000 kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida na utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo. Kati ya fedha hizo Shilingi 81,407,438,000 ni kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida ya Wizara na Taasisi na Shilingi...
Back
Top Bottom