kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi Harmonize kutumia hili neno BOMBOCLAT? Mbele ya viongozi

    Harmonize katika show ya yanga ilikuaje akatumia huu msamiati wa kijamaika wenye maana ya Mother ***** BOMBOCLAT
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Makamanda wa Hamas na Hizbullah waache kutumia simu za satellite za Ellon Musk

    Kufuatia minara yote ya simu na vinu vya umeme kubomolewa huko Gaza,Ellon Musk kwa kile kilichoonekana malengo ya kibiashara alisema ataunganisha jimbo hilo na mtandao wake wa mawasiliano wa star link.Israel ikamshutumu sana na yeye akarudi nyuma. Hata hivyo watu wenye ndugu zao nje huko Gaza...
  3. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa uhuru utafutiwe nishati mbadala ya kuuwezesha kuwaka badala ya kutumia mafuta ya taa na utambi unaotoa moshi

    Bila shaka kichwa cha habari kinajieleza vizuri sana. Binafsi sina tatizo na falsafa ya uanzishwaji wa mbio za mwenge wa uhuru. Tatizo langu kubwa ni namna wanavyoweza kuathiri afya za wanaoukimbiza. Nishati inayotumika sio rafiki kwa afya za wanaoukimbiza na hata walio karibu nao mahali...
  4. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Kusoma nyakati kwa kutumia kivuli cha jua (Sundials)

    Habari zenu wadau, ni Bob tena katika moja na mbili..... Zamani wakati bado hakuna vifaa kama saa kwaajili ya kutazama muda, watu walikuwa wakitumia mbinu hii kujua wakati.( Sundials) Walichora duara chini na kuandika namba tofauti za muda, kisha kuweka kijiti katikati.... Kadri jua...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Propaganda za kisiasa kwa kutumia Akili Mnemba (AI) kuelekea 2024 / 2025

    Mwandishi anatupitisha kina na kutoa tahadhari ya jinsi ya kuepuka kuwa misukule ya habari, kipindi hiki kuelekea 2024 / 2025 Tunaangalia namna mabadiliko ya sekta ya habari na mawasiliano ikiwemo akili mnemba (Artificial intelligence-AI) yanavyoleta changamoto na umuhimu wa kuwa makini ili...
  6. Maleven

    JamiiForums Tanzania Naomba muongoxo kwa Aliewahi kutumia wireless bulb camera

    Kuna hizi wireless bulb, naona ziko portable na unaeeza kuangalia popote, 1. Je cloud/live stream inalipiwa au ni free lifetime? 2. Ubora wake ukoje? Kama nina camera tatu, zote naweza kuzi manage katika app moja? 3. Kampuni gani ni nzuri?
  7. W

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Afrika walitumia Mitindo ya Nywele zao kutengeneza ramani za kutoroka Utumwani Miaka ya 1800

    Inawezekana umesikia mitindo mbalimbali ya nywele kama vile twende kilioni au kilimanjaro. Hiyo mitindo haikuja tu hivi hivi. Kuna Wanawake enzi za Utumwa huko walikuwa na akili za ajabu sana. Inadaiwa kuwa wapo waliotumia nywele zao kuwasiliana kwa siri au kwa mafumbo ili wasikamatwe na...
  8. Kanye2016

    JamiiForums Tanzania Ajira kwa Anayeweza kutumia Linkedin & Indeed

    Habari Wakuu. Kuna mchongo hapa nawalete. Nahitaji mtu Anayeweza kutumia Linkedin na Indeed a apply Virtual Jobs nchini Canada au USA. Tukikubaliana nitakutumia CV, wewe kazi yako ni Ku draft Cover Letter, kufungua account kwenye mtandao hii miwili na Ku apply hizo kazi za Virtual based na CV...
  9. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Modern contemporary house plan design

    Modern contemporary house plan Do you need other samples ? Check me on +255742892195 call text whatsapp WE design and build your dream home
  10. THOMASS SANKARA

    JamiiForums Tanzania Kutumia Azam Max kwenye Android Tv

    Nimekuwa nikijaribu kudownload azam max kwenye android tv kupitia goggle playstore lakini imeshindikana kwa kuwa wanasema hai suppprt kwenye Tv. Je hakuna namna naweza kudownload azam max kwenye tv na kuweza kutazama kwa tv kama ilivyo kupitia simu???
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wananchi tunateseka kupita kwenye Kalavati kuvuka eneo la Reli ya SGR Mitaa ya Banana

    Sisi Wakazi wa Banana, Gongolamboto Jijini Dar es Salaam tunakumbana na kero kubwa kwenye andaki (kalavati) ambalo tunalitumia kukatiza kwa chini kutoka upande mmoja kwenda mwingine kwenye eneo inapokatiza Reli ya Mwendokasi (SGR). Licha ya mradi huo unaoratibiwa na Shirika la Reli Tanzania...
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Aomba kazi kwa kutumia Uchawa

    Angalia hapa jinsi huyu Chawa alivyoomba kazi,
  13. donlucchese

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanajua kutumia fursa

    Habari za jioni wakuu, Straight to the point, mimi ni mmoja ya watu wanaopenda kutunza vitu kama coins, picha, etc. as souvenirs. Sasa mwaka 2016, BoT ilipotimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake walitoa sarafu ya shilingi elfu hamsini. Hii sarafu nilijaribu kuitafuta bila mafanikio kwani...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Nape amenusa badiliko la baraza la mawaziri. Ameamua kutumia saikolojia ili tusishangae akienguliwa.

    Iko hivi Nape na yule wa Nje wataenguliwa kwa uchu wa madaraka. Wao wanautaka Urais hata leo. Bahati mbaya Bosi amepata taarifa zao zote na wanaoshirikiana nao ktk mchezo huo mchafu. Elimu ya kuungaunga na kujisikia kwiiiingi. Sasa urais wanautaka ilihali kijiti kinashikiliwa bado. Updates...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Wananchi ipeni thamani miradi ya minara kwa kutumia huduma za mawasiliano

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (Mb) amewataka wananchi wa vijijini waliofikishiwa huduma za mawasiliano kuipa thamani miradi hiyo kwa kuitumia vinginevyo uwekezaji uliofanywa na Serikali kwa kushirikiana na Sekta binafsi hautakuwa na maana. Waziri Nape...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani safarini kutoka Dar- DodomaA au kwingineko maeneo gani njiani hayana network kabisa na huwezi kutumia simu yako

    Yaani ukifika maeneo hayo network inakua hakuna kabisa. huwezi kutumia simu kuwasiliana, yaani huwezi kupiga simu wala kupokea, huwezi kutuma sms au kupokea sms. Network inakua hakuna kwa ujumla, na zaidi sana hakuna kabisa Internet network.. Yapo maeneo humo humo njiani network iko full tena...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa pili sasa Na enjoy Dstv bure mahali popote kwa kutumia internet.

    Nimeifuta watu wanaweza kui abuse, nashukuru hata walioiona ni wachache
  18. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Wewe kama uliwahi kutumia hii chanuo alafu bado unajitafuta umeishafeli

    Je, ulitumia hii chanuo na bado unajitafuta hujajipata? Angalau uwe na mtoto wa kukuita baba inatosha
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Injinia: Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi umefikia 88.61%, litaanza kutumia Desemba 30, 2024

    Daraja la J.P. Magufuli (Kigongo – Busisi) lenye urefu wa Kilomita 3.0 na barabara unganishi Kilomita 1.66 linatarajiwa kuanza kutumika Tarehe 30 Disemba 2024 likiunganisha Barabara Kuu ya Usagara – Sengerema – Geita zenye urefu wa Kilomita 90. Daraja hilo linajengwa Urefu wa kilometa 3.0 Upana...
  20. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bingwa wa Masuala ya Umma alitoa Ushauri wa Kukuza Uandishi wenye Tija nchini Tanzania kwa kutumia Akili Mnemba

    UTANGULIZI Mnamo tarehe 30 Juni 2024, Bingwa wa Masuala ya Umma alitoa ushauri muhimu kuhusu njia za kuongeza matumizi ya Akili Mnemba katika kuchochea uandishi wenye tija kwa maslahi ya umma katika miaka 5-25 ijayo na kujenga 'Tanzania Tuitakayo'. Mtaalamu alisisitiza kuwa kwa kufuata mikakati...
Back
Top Bottom