kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi kutumia Tsh. Trilioni 1.76 mwaka 2024/25

    Katika mwaka wa fedha 2024/25, Wizara ya Ujenzi inaomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi 1,769,296,152,000 kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida na utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo. Kati ya fedha hizo Shilingi 81,407,438,000 ni kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida ya Wizara na Taasisi na Shilingi...
  2. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania ATCL, Reli ya Kati, TAZARA na SGR tuwape wanaoweza kuendesha kwa ufanisi mapema kabla ya kuumizwa

    Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri. Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali? Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza. ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena. Reli ya kati na TAZARA...
  3. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwekeza kwenye Teknolojia kwa kutumia vyuo vyetu kuyasogelea kwa Karibu Mapinduzi ya Nne ya Viwanda

    Tanzania kama tunavyojiita kuwa ni moja ya Nchi zinazoendelea, hatuwezi kukwepa kujiingiza moja kwa moja kwenye MAPINDUZI YA NNE ya viwanda. Mapinduzi ya Nne ya Viwanda, ni mapinduzi makubwa ya kiteknolojia ambayo yanaendelea hivi sasa, na yana athari kubwa kwa biashara na jamii kote...
  4. Logikos

    JamiiForums Tanzania Algeria wameshabadilisha Magari zaidi ya Milioni Moja kutumia LPG (Sio CNG bali LPG) - Gesi tunayopikia Majumbani

    Gesi hii ambayo wanaiita Auto-Gas ndio mixture ya (Butane na Propane au Propane) na ndio huku tunapikia majumbani...; nimetoa hii habari hapa kuonyesha kwamba ni busara kutumia ulichonacho na Algeria hii gesi ndio bei rahisi sana nadhani kuliko sehemu nyingine... Wamefanikisha hayo kwa kutumia...
  5. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Kweli mioyo ya watanzania imekuwa migumu zaidi ya mawe. Unaanza vipi kutumia vidonge vya PrEP ?

    Kuna daktari mmoja hapa mtaani ana ka pharmacy kake kadogo ka mchongo ambako hutumia muda wa jioni kusogezea siku. Basi bhana, ikabidi nikaonane naye kutokana na masuala mazima ya ushauri nasaha kuhusu matumizi ya pombe yaliyokithiri yaliyosababishwa na homa ya mapenzi Wakati nilikuwa nikipata...
  6. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na UKIMWI, ni ugonjwa gani wa maambukizi Mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote??

    Wakuu Magonjwa ya kuambukizwa -Magonjwa yanayosababishwa na vimelea kama virus,bakteria na fungus. Magonjwa yasiyoambukiza -magonjwa ambayo hayahusishi vimelea fulan kama kisukar pressure magonjwa ya moyo. Swali je ni ugonjwa gan wa vimelea mtu hulazimika kutumia dawa maisha yake yote?
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali: Ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa utagharimu jumla ya Tsh. Bilioni 31 hadi kukamilika

    Serikali inatarajia kutumia Tsh. 31,329,180,963.16 kwaajili ya Ukarabati wa Uwanja wa Michezo wa Benjamin Mkapa kwa awamu ya kwanza ambapo hadi kufikia Aprili 2024 Tsh. Bilioni. 7.44 zimelipwa kwa Mkandarasi Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kupitia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Utamaduni...
  8. Meneja CoLtd

    JamiiForums Tanzania Unamjua Wu Zunyou, Mchina aliyejaza upepo kwenye puto kwa kutumia macho?

    Bwana Zunyou alizaliwa huko nchini china mwaka 1963 na baadae alihudumu kama Mtaalamu wa Magonjwa katika kituo cha China cha Magongwa na tiba. Zunyou alihumu kama mkufunzi wa maswala ya magongwa na utafiti katika chuo kikuu cha California, Los Angeles. Mwaka 2011 Zunyou aliwaacha mashabiki...
  9. Abubakari Mussa

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Mic bora

    Habari wadau Siku ya leo nakupa hii kwa wale wa podcast ba studio Mic ya kwenda kabisa SURE CONDENSER MIC KWA PODCAST , STUDIO & VIDEO MAKING 🏷️ 490.000 Tunapatikana kariakoo mtaa wa aggrey na ndanda Kwa mawasiliano zaidi kwa wasap na normal call - 0692690033
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ulinzi kutumia Tsh. Trilioni 3.32 kwa mwaka 2024/25

    DODOMA: Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. 3,326,230,419,000 kwaajili ya matumizi ya Wizara, Vikosi vya Ulinzi kutoka Jeshi la Wananchi (JWTZ) na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa mwaka 2024/25. Kwa mujibu wa Hotuba ya Bajeti iliyowasilishwa na Waziri...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inajaribu kuvuruga juhudi za China za amani kwa kutumia nadharia ya “zabibu chungu”

    Hivi karibuni makundi ya Fatah na Hamas ya Palestina yalifanya mazungumzo ya mardhiano mjini Beijing, mazungumzo ambayo yaliitwa na chombo cha habari cha Marekani, Associated Press, kuwa juhudi za karibuni za China kujiweka katika nafasi ya upatanishi katika Mashariki ya Kati kama mbadala wa...
  12. Baba Kisarii

    JamiiForums Tanzania Sijapenda Roboti wa Bungeni kutumia jina la mzazi wangu

    Hapa simlaumu Roboti aliyepewa jina la Eunice bali namlaumu mwanadamu aliyempatia huyo robot jina hilo ambalo mama yangu amelitumia kwa muda mrefu. Mama alipewa jina hilo baada ya kubatizwa na kuwa mkristo kamili, huu ni mwaka wa 75 tangu mama aanze kulitumia jina la Eunice. Yaani nimeumia...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ni Aibu na Fedheha kubwa sana kwa CHADEMA Nzima kushindwa kumpatia Gari la Ofisi Makamu Mwenyekiti wake Mpaka anaamua kutumia la kukodi

    Ndugu zangu Watanzania, Inasikitisha sana,ni aibu kubwa ,inafedhehesha,inaleta maswali mengi sana juu ya umakini na akili za chama hiki cha CHADEMA. Hii ni baada ya kusikika kwa taarifa kuwa Lissu alikuwa hana gari la kutumia katika shughuli za chama, na kwamba gari alilokuwa akitumia lilikuwa...
  14. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kutumia Mifumo ya Blockchain katika Usimamizi wa Ardhi na Hati za Umiliki

    Wazo hili linahusu matumizi ya teknolojia ya blockchain katika usimamizi wa ardhi na hati za umiliki ili kuongeza uwazi, usalama, na ufanisi katika sekta ya ardhi nchini Tanzania. Blockchain ni teknolojia ya kuhifadhi taarifa katika mfumo wa kidijitali ambao ni salama na haubadiliki. Kila...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mifugo na Uvuvi kutumia Tsh. 460,333,602,000 kwa mwaka 2024/25

    Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2024/25 Jumla Kuu: Tsh. 460,333,602,000 Matumizi ya Kawaida: Tsh. Bilioni 97.21 ➼ Mishahara - Tsh. Bilioni 44.84 ➼ Matumizi Mengineyo - Tsh. Bilioni 52.36 Miradi ya Maendeleo: Tsh. Bilioni 363.11 ➼ Fedha za Ndani - Tsh. Bilioni 242.07 ➼ Misaada -...
  16. Mwislam by choice

    JamiiForums Tanzania Leseni za udaktari kutumia kinyume na idhini ya mwenyewe

    Huu mchongo unawahusu wataalamu wa afya tabibu, daktar, nesi! Iko hivi kuna vigezo vimewekwa na Wizara ya afya kusajili kituo cha afya iwe zahanati, kituo cha afya nk. Sasa kuna idadi ya watalaam ukiwanao unaupgrade kituo ama kupata usajili. Mwenye kituo hawezi kuwa na idadi ya hao watalaam...
  17. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Madhara yanayotupata kwa sababu ya kutumia simu muda mwingi

    Unaweza kujikuta unakuwa sio mfanya mazoezi Tena sababu kuu ikiwa ni simu kuniletea Dunia karibu vitu kama vyote live sasa muda wa kujiweka fit umechukuliwa. Unaweza kujikuta wengi wa vijana tunaishia kujichua wengine hata Mara nne Kwa siku Kwa sababu una access ya porno all the time hivyo...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya kutumia Tsh. Trilioni 1.3 kwa mwaka 2024/25. Tsh. Bilioni 632.2 ni matumizi ya kawaida

    Wizara ya Afya imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. Trilioni 1.31 itakayotumika kwa mwaka 2024/25 ambapo Tsh. Bilioni 632.26 (48%) ya Bajeti zitaenda katika Matumizi ya Kawaida ikiwemo Mishahara na Matumizi Mengineyo Pia, Wizara itatumia Tsh. Bilioni 679.57 (52%) ya Bajeti katika Miradi ya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Naomba turuhusiwe kutumia VPN wakati wa hili janga la Internet

    Tangu jana sisi ambao asilimia kubwa ya kazi zetu zinategemea mtandao wa internet tumeathirika vibaya. Ningeomba mamlaka ya mawasiliano itoe ruhusa ya kutumia VPN bila kuomba kibali kwa kipindi hiki kigumu maana sidhani kama tatizo hili litatatuliwa mapema. Kuna sites kadhaa natumia kwa kazi...
  20. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

    Nina kijana wa miaka 17 wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija kuongea unaweza ukajiuliza ameongea wire ukiwa connected kwene switch au Laaah. Shuleni ni average sana...
Back
Top Bottom