kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kwa Israel kukishikilia kituo cha mpaka cha Rafah ndio imekamilisha kampeni yake ya kutumia chakula kama silaha ya vita

    Alfajiri ya kuamkia leo jeshi la Israel kwa kutumia vifaru na mashambulizi ya anga wamefanikiwa kufikia kituo cha mpaka wa Gaza na Misri na kukishikilia kituo hicho kutokea upande wa Gaza. Mara baada ya kufanikiwa kukishika kituo hicho jeshi la Israel limezuia uingizwaji wa misaada ndani ya...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu yaomba kutumia Tsh. 1,968,212,534,000.00 katika mwaka 2024/25

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia chini ya Waziri Mhe. Prof. Adolf Mkenda imeomba bunge kupitisha Makadirio ya Bajeti ya Wizara yenye jumla ya Shilingi 1,968,212,534,000.00. VIPAUMBELE Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania laidhinisha zaidi ya shilingi Trilioni 1.97 zilizoombwa na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania DC kutumia Ofisi ya Umma kwa mambo ya chama ni sawa?

    Habari za wakati huu Wana jukwaa hili. Leo nimekuja hapa na hoja ya matumizi ya mali za Umma katika shughuli za Chama chochote cha siasa. Wote tunajua kuwa siyo sahihi na ni kosa kisheria, mali za Umma, mali za serikali kutumika katika shughuli za Chama chochote cha kisiasa. Zinaweza kutumika...
  4. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Wadada saidia waume zenu kutafuta Hela, sio Kutumia Hela tu Ili ndoa zenu zidumu

    Kuna baadhi ya wanawake wanaenda na kauli mbiu kuwa mwanaume ni wajibu wake kutafuta Hela, yeye kazi yake kutumia.. Hilo janga kwakuwa linapingana na neno la Mungu kuwa asiyefanyakazi na asile. Kila mtu anawajibika kuwa na Mchango katika familia, sio kusubiri kudaka tu. Heshima yako na ndoa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwezesha vijana kutumia rasilimali zetu katika kutatua changamoto ya ajira

    Vijana wawezeshwe kujitegemea katika kukuza uchumi wa nchi kwa kutumia changamoto kama fursa. Mungu ametujalia ardhi yenye rasilimali nyingi ambazo asilimia kubwa hatuzitumii katika kuziongeza thamani Ipo haja serikali kuwasaidia vijana waweze kuongeza thamani katika bidhaa. Mfano sioni haja...
  6. Angyelile99

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuondoa ubaguzi kwa kutumia lugha ya alama kwa walemavu wa kusikia na kuongea

    utangurizi: Pamoja na uwepo wa jitihada za serikali katika kutoa elimu maalumu kwa watu wenye matatizo ya kusikia na kuzungumza, rakini bado kumekua na changamoto mbali mbali ambazo haswa zimekua zikitokana na kukosekana kwa lugha ya pamoja kati ya watu hawa na jamii inayo wazunguka hivo...
  7. Crimea

    JamiiForums Tanzania Napata shida sana kutumia hii app mpya ya JF.

    Haya maboreho kwenye hii app ya jamiiforums.com kwangu naona ni kero sana kuitumia. Kwanini hawa kubaki na muonekano ule ule wa zamani ulikuwa unampa mtu urahisi wa kutumia. Hii ya sasa hakuna tofauti kati ya anaetumia app na Web. Kioo kimeminywa, hebu angalia kama hiii picha hapa chini...
  8. Jamesdominic

    JamiiForums Tanzania Tutatumia ziwa Tanganyika kwenye umwagiliaji

    "Baada ya Bunge la bajeti kukamilika tunatarajia kuanza kuyatumia maji ya ziwa Tanganyika katika shughuli za kilimo na uzuri mitambo tunayo naamini Jambo hili litafanikiwa" - Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo Tanzania Waziri Bashe pia amebainisha kuwa mikakati ya serikali ni kuanza kutumia maji...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Watu wamekuwa waoga kutumia sukari kwa hofu ya kupata kisukari, lakini ukisoma kuhusu chanzo cha kisukari, sioni popote wanaposema sukari ndio chanzo

    Mimi si dakari wala mtaalamu wa mambo ya lishe, bali nimejaribu kusoma vyanzo mbalimbali kuhusu huu ugonjwa na kote nilikupita sijaona palipoandikwa moja kwa moja kuwa sukari ndio chanzo cha kisukari kwa maana ya mtu asie na huu ugonjwa akitumia sukari nyingi ana uwezekano wa kupata kisukari...
  10. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wanaojua kutumia pesa, akaunti zao zinasoma salio kidogo

    Utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua, watu wanaojua matumizi ya hela akaunti zao zinasoma hela ndogo ndogo tu; kama elfu kumi, ishirini au hamsini na haizidi laki; ila kwa wale wasiojua matumizi ya pesa akaunti zao zimenona, zinaweza kusoma kuanzia milioni nakuendelea. Hii inatafsiri...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sylvia Sigula: Watanzania Wanatamani Kutumia Gesi Kwenye Magari Kwasababu Gesi ni Gharama Nafuu

    Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Sylvia Francis Sigula ameihoji Serikali ni magari mangapi ya Serikali yamefungwa mfumo wa gesi baada ya kuanza kwa kuhamasisha matumizi ya mfumo huo. Sigula amehoji hilo Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia Makadiro ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

    Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi. Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles. Silently triggered guns...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hivi tunashida ya kutumia akili kwenye kuendesha michezo yetu??

  14. Z

    JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma ashauri V8 za Mawaziri zifungwe mitungi ya gesi ili kubana matumizi

    Mbunge wa Geita Msukuma ameishauri serikali Kufunga mitungi ya gesi kwenye magari yote ya mawaziri ili kubana matumzi. Ameyasema hayo leo hii 25/04 Bungeni wakati akichangia Bajeti ya wizara ya nishati. Kwa sasa magari ya mawaziri, gari moja yaani V8 ikitoka Dar kwenda Dom inatumia laki 5...
  15. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria. Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais Makamu wa Rais kwa mwaka 2024/25 leo Jumanne Aprili 24,2024, Issa amesema lengo...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mabalozi wa Nchi watakiwa kutumia taaluma, uzoefu kuharakisha mabadiliko ya kimfumo

    Mabalozi wamehimizwa kutumia taaluma, uzoefu na ujuzi tofauti waliokuwa nao kuharakisha mabadiliko ya kimfumo yanayoendelea ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Kauli hiyo imetolewa leo Aprili, 23, 2024 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka wakati...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kutumia Bilioni 33 Kusambaza Maji Jijini Dar es Salaam, Kibamba Yapata Bilioni 13.9 Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025

    "Ipi kauli ya Serikali ya kutokamilika kwa miradi ya Maji katika Jimbo la Kibamba?" - Mhe. Issa Jumanne Mtemvu, Mbunge wa Jimbo la Kibamba "Serikali imekamilisha ujenzi wa miradi mitatu ya usambazaji wa maji kutokea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hadi Bagamoyo (2B2F), Mshikamano na Kitopeni...
  18. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Ujanja mpya umeibuka wa kutapeli wanawake hela kwa kutumia dating page za Instagram

    Uzi umefutwa maana unaharibu biashara za watu.
  19. covid 19

    JamiiForums Tanzania Ongeza thamani kupitia SMS Marketing uone maajabu kwenye mauzo ya biashara yako au michango ya sherehe yako leo

    SMS-marketing ni zana muhimu sana katika mazingira ya biashara ya leo, na hata katika shughuli za kijamii kama vile sherehe. Kipindi hiki cha utandawazi kinahitaji njia za mawasiliano ambazo ni haraka, za moja kwa moja na zenye ufanisi, na hakuna zana bora kuliko SMS katika kufikia lengo hili...
  20. Mr Mjs

    JamiiForums Tanzania Kuna haja gani kwa Watumishi kuomba uhamisho kutumia mfumo ikiwa...

    Utumishi kupitia Tamisemi walianzisha mfumo rasmi kwa watumishi kuweza kuomba uhamisho kupitia online (ESS), lengo likiwa ni kuzuia urasimu unaofanywa na baadhi ya watendaji wasio waadilifu. Japo ni jambo jema lakini kwa sasa ni kama changamoto imekuwa kubwa kuliko awali kwa wale wanaoomba...
Back
Top Bottom