kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa kutumia mawe laini

    Tunaendelea na topic za ubunifu.. Japo ndio zinafikia tamati.. Leo ni ubunifu wa kutumia mawe laini madogo Mawe haya huhitaji kuyaponda ili kupata maumbo tarajiwa..yenyewe tayari yana maumbo yake
  2. U

    JamiiForums Tanzania Je kiimani ni sahihi kwa muislamu kutumia au kutamka Yahweh Subhana badala ya Allah Subhana akikusudia maana ileile kuwa Mungu ni mkamilifu?

    Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu Usiku mwema
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu kwa kutumia mianzi

    Nje ya kutumika kama miti kwenye ujenzi na chanzo cha pombe ya ulanzi.. Mianzi pia ina matumizi mengine kwenye kupendezesha nyumba hasa kwa wapendao vitu asilia Special dedication kwa Malchiah na wengine wote wapendao ubunifu na asili
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Sanaa bunifu inayotokana na Mbao, masalia ya mbao, miti, magogo na mizizi ya miti

    Fenicha, urembo vitu na nyenzo mbalimbali.. Kwa wapenzi wa asili na wana mazingira
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kusitisha kwa USAID tuamke na kutumia rasilimali za nchi vizuri

    Wakati Trump amesitisha kugharamia shughuli nyingi ambazo zilikuwa zinafanywa na USAID ni wakati wa kujiuliza kwa umakini kitu gani ni muhimu. Hii pesa ilikuwa inasaidia kutoa dawa wa wagojwa wa ukimwi na elimu huko kusini na kusaidia lishe kwa zile kaya ambazo watoto wana dalili za mtapia mlo...
  6. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania THBUB kuendelea kutumia njia mbalimbalimkuifikia Jamiii

    Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Khamis amesema Tume inaendelea kutuma njia mbalimbali za kutoa elimu ya haki za binadamu na misingi ya utawala bora ili wananchi waweze kutambua haki na wajibu wao. Hayo alisema Januari 23, 2025 wakati akitoa elimu...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ongeza salio kwenye simu kwa kutumia kamera ya simu yako

    Kuna app inaitwa 'Voucher Master' inapatikana Google Play store. App hii inakuwezesha kuongeza salio kwenye simu yako kwa kuskani namba za vocha kwa kutumia kamera ya simu yako kisha kuongeza salio. Inauwezo wa kusoma vocha zaidi ya 5 kwa wakati mmoja. Pia inafanya kazi kwenye mitandao yote ya...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutengeneza system kutumia wordpress

    Wataalamu,nilikuwa nauliza inawezekana kutengeneza mfumo kwa kutumia WordPress kwa ajili ya kuplace order! Unahizi functionalities! • Wafanyakazi wa ofisi wanaweza kuweka maombi(order placing) ya vitu vinavyotakiwa kununuliwa mtandaoni. • Mtu wa manunuzi (procurement) anaweza...
  9. GRACE PRODUCTS

    JamiiForums Tanzania Utunzaji wa Ngozi: Changamoto Mbalimbali za Ngozi na Suluhisho Lake kwa kutumia bidhaa za asilia.

    Ngozi zetu zinakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazoweza kuathiri afya na muonekano wake. Hapa tutazungumzia baadhi ya matatizo ya ngozi kama ngozi ya magamba, ngozi ya mafuta, ukurutu, ngozi kavu, na kuzeeka kwa ngozi, pamoja na suluhisho la bidhaa za Grace Products zinazoweza kusaidia...
  10. GRACE PRODUCTS

    JamiiForums Tanzania Usafi wa Choo: Umuhimu wa Kutumia Disinfectant kwa usafi wa choo chako na Madhara ya Kutoitumia

    Choo ni moja ya sehemu muhimu zaidi katika nyumba inayohitaji kusafishwa mara kwa mara. Usafi wa choo unahusisha kuondoa uchafu na vijidudu vinavyoweza kusababisha magonjwa. Kwa kufanya hivyo, tunaweza kudumisha afya njema na mazingira ya kupendeza nyumbani. Umuhimu wa Kutumia Disinfectant...
  11. Logikos

    JamiiForums Tanzania Nishati Safi: Kwanini Tunahimiza / Hamasisha kutumia Fedha za Kigeni katika Mapishi wakati tuna Mbadala

    Usinielewe vibaya mimi sio Mercantilist, na ninakubaliana na Bwana Smith aliposema, "It is the maxim of every prudent master of a family never to attempt to make at home what it will cost him more to make than to buy". Kwahio cha kujiuliza je ? Kuhamasisha matumizi ya LPG badala ya kuhakikisha...
  12. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Pesa Online kwa Kutumia Social Media kama Instagram, X, na Facebook

    Katika dunia ya sasa, social media imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, na kwa wale wanaojua kuitumia vizuri, ni chanzo kizuri cha kipato. Hapa nitakuelezea njia rahisi na za uhakika za kupata pesa online kupitia majukwaa kama Instagram, X (zamani Twitter), na Facebook. 1. Kuanzisha...
  13. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Binti anatafuta kazi , Elimu yake form four na anajua kutumia computer vizuri sana.

    Habari ya uzima. Yupo binti anatafuta kazi , Elimu yake kidato cha nne, Ila anajua kutumia computer vizuri. Kazi yoyote anaweza kufanya mfano dukani , kwenye taasisi Kama office attendant, n.k Angependa alipwe 200-250K Sifa zake. Umri 24 Mchapaka Kazi Anafundishika. Mtu wa kujituma na kutoa...
  14. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Je, Waafrika Tuna Akili ya Kutumia Utajiri Wetu?

    Kwa karne nyingi, Afrika imekuwa ikijulikana kama bara tajiri kwa rasilimali zake za asili. Tunapenda kujigamba kuwa tuna dhahabu, almasi, mafuta, gesi, ardhi yenye rutuba, na madini adimu. Lakini ukitazama takwimu za rasilimali duniani, hali ni tofauti. Marekani, Ujerumani, Ufaransa, Italia, na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Huu ni mtindo wa kuunganisha kenchi kutumia vyuma kama hawa mafundi huko Zimbabwe unatumika sana hapa?

    Hawa ni mafundi wanatayarisha kenchi kwa kutumia "truss plates" huko Zimbabwe kijijini.
  16. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Kuoa mwanamke aliemaliza chuo kikuu ni sawa na kutumia kondomu iilitumika na mtu mwingine

    Wanachuo wanatumika zaidi ya madada poa ni wajuaji, wabishi na wajeuri now days wanajiita feminist ni uchafu mtupu. Ona Binti wa kidato Cha nne au aliemaliza darasa la Saba inatosha. Utapata mke wa kulea watoto wako na kupata malezi Bora Wanachuo wa kike ni takataka
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kiasili na kisheria, uchaguzi ni gharama. Ni muhimu sana wagombea uongozi wa CHADEMA kutumia fedha ipasavyo bila rushwa wala hofu ili kushinda uchaguz

    Nimeona nakuskia watu mbalimbali mitandaoni na kwenye vyombo vya habari wakipiga wayowe na kulalamika ati mgombea uongozi Fulani wa uongozi chadema Taifa ametenga kiasi fulani cha fedha kwaajili ya uchaguzi. Nikashangaa na kucheka sana, kwamba mpaka karne hii ya sayansi na teknolijia kuna watu...
  18. Loading failed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kutumia P-2 hawezi kushika ujauzito , je afanye nini ili akae sawa

    Ndugu zangu salaam sana.. Naombeni msaada wa nini kifanyike baada ya huyu mwanadada kutumia P-2 na sasa anashindwa kushika ujauzito. Je, kuna dawa yeyote au vitu vya asili anatakiwa ameze na ale ili aweze kukaa sawa na aweze kutunga ujauzito atokane kwenye hayo madhila ya madhara ya P-2 Baada...
  19. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutumia P-2 sasa anashindwa kubeba ujauzito, je afanye nini aweze kukaa sawa

    Ndugu zangu salaam sana.. Naombeni msaada wa nini kifanyike baada ya huyu mwanadada kutumia P-2 na sasa anashindwa kushika ujauzito. Je, kuna dawa yeyote au vitu vya asili anatakiwa ameze na ale ili aweze kukaa sawa na aweze kutunga ujauzito atokane kwenye hayo madhila ya madhara ya P-2...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee Polisi wanakukamata halafu ndio wanaanza kutafuta wakufikishe mahakamani kwa kutumia sheria gani!

    Si mara ya kwanza hili limefanyika, kwamba Polisi watamkamata mtu, watamuweka ndani, halafu akiwa ndani ndio wanaanza kujiuliza, sasa huyu tumfikishe mahakamani kwa kutumia vifungu gani vya sheria? Ndio maana ni rahisi sana Tanzania kukamatwa na kupelekwa mahakamani, kuachiwa na hakimu, kisha...
Back
Top Bottom