Wahenga wanasema kumpiga teke chura ni kumuongezea hatua sasa Serikali imenikaanga mtaani mwaka wa saba huu bila ajira nikatafuta chimbo likawa linanipa dor za kulipa bills zote za muhimu na vichenchi kidogo kubaki
Sasa kuna wakati natamani ajira maana mishe zinakazaga kiasi kwamba hata kwa...
Msafara wa msiba wa Kadinali Pengo ni wa aina yake.
Kuna men in black, makarao wakiwa makini muda wote.
Tunajua Pengo alikuwa kiongozi mkubwa wa dini, lakini kwa huu uzito aliopewq na gavoo mbona kama alikuwa mserikali?
Kuna bodaboda leo nmemtuma akaniletee futari yangu pendwa "kitimoto" ili niiandae mapema kabla ya mda wa kufuturu, sasa namuagiza anasema eti yeye hawezi kubeba nyama ya Nguruwe kwani amefunga nadini yake hairuhusu.
Sikilizeni nyie, hao mnaowaiga wana pesa na visima vya mafuta, wewe upo huku...
Japo watu wengi wa dini huwa wanaamini dini ndiyo chanzo kikuu cha maadili duniani na kwamba dunia bila dini itageuka kuwa uwanja wa fujo ukweli wa historia unaonyesha tofauti kabisa.
Tukijikita katika dini kubwa tatu za Uyahudi, Ukristo na Uislamu zilizoanzia mashariki ya kati utagundua mambo...
Hamjambo wote!
1. Kwenye mambo ya Intelligence(ujasusi, ushushushu, unjangu) kuna kitu inaitwa Missing System/s.
2. Kitu hii ukikosa hata MTU binafsi mambo yako yanakuwa hatarini, usalama wako unakuwa mashakani.
3. Missing System ni uwepo wa ombwe la kimkakati, mfumo muhimu ambao unapaswa...
Nasubiria kwa hamu sana Bitcoin ishuke hadi 50K USD ninunue za kutosha kama Bitcoin 200 hivi.
Nina budget ya 5 million USD.
Naombeni ushauri ninunue sasa hivi 73k ama nisubiri ishuke hadi 50K.
Narudi kulala hope nikiamka asubuhi nitapata ushauri wenu nijue la kufanya.
Njozi za ushindi!
Kupitia AI,
Picha zinaelekea kutokua ushahidi wa kutosha mahakamani hata kutoka kwa mtu mwingine tu.
Kipindi cha nyuma ukisema ulikuwepo sehemu fulani au ulishuhudia tukio fulani, halafu ukaonyesha na picha bhasi utaaminika mia kwa mia.
Ila kwasasa, picha ambazo zingeweza kutumika kama...
Lipo kundi la vijana la propaganda mitandaonu lililotumwa maalum kubeza, kukejeli na kufubaza harakati zote za ukombozi wa Tanganyika zinazoongozwa na Gen Z
Hili ni kundi mchanganyiko lenye uelewa na maslahi tofauti kwenye hali tuliyo nayo
Wapo wafaidikaji wakuu na wenye maslahi ya moja kwa...
Kauli ya Rais wa Uganda Yoweri Museveni kuhusu kuwapa askari risasi 120 kabla ya uchaguzi mkuu imezua hofu na ukosoaji mkubwa. Upinzani na wananchi waonya vitisho hivyo vinaweza kudhoofisha amani, demokrasia na haki.
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amekosolewa vikali kufuatia kauli yake kuhusu...
Kwanza kabisa ndugu mpendwa ni vyema ukatambua kuwa, damu imebeba uhai wa mtu. Maana Biblia inasema " Linda sana moyo wako maana humo ndimo zitokamo chemchemi za uzima". Lakini Biblia inaendelea kusema, "kuleni wanyama lakini msile damu zao, maana damu zimebeba uhai wao".
Kisa cha Henoko na...
walengwa wakiwa ni waajiriwa zaidi.
Uzeeni ni bora uwe na mzigo wa kutosha unaukata taratibu (Unaweza kuwa na vibiashara vidogo ili usikae sana ndani)
Au
ufungue biashara uwe unasubiria faida
https://www.tcra.go.tz/uploads/documents/sw-1757859650-PAPU_Vacancies_1032107643381814476641029946369102376331757853088906.pdf
Angalia kiunga hapo juu kuhusu hizi nafazi za Pan African Postal Union (PAPU) zinaonekana kabisa ni mpunga mrefu maana ni P3 na P4, maombi inabidi yapitie TCRA, hata...
Leo dunia ipo kwenye mfumo wa kidigitali kuanzia mitandao ya kijamii, benki, barua pepe, hadi mifumo ya kazi. Lakini pia uhalifu mtandaoni umeongezeka.
Njia rahisi ya kujilinda ni kwa kuwezesha Mfumo wa Uthibitisho wa Ziada (Multi-Factor Authentication MFA / Two-Step Verification).
Hii...
Nimepata uamisho kuelekea Isimani-Iringa, mwenye taarifa na eneo hili naomba anisaidie kujua fursa za uchumi zilizopo, pia tamaduni za watu wa huko pamoja na changamoto mbalimbali zilizopo ili niweze kujiandaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.