Bitcoin ikishuka hadi 50K nitanunua za kutosha

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,583
Reaction score
4,776
Nasubiria kwa hamu sana Bitcoin ishuke hadi 50K USD ninunue za kutosha kama Bitcoin 200 hivi.

Nina budget ya 5 million USD.

Naombeni ushauri ninunue sasa hivi 73k ama nisubiri ishuke hadi 50K.

Narudi kulala hope nikiamka asubuhi nitapata ushauri wenu nijue la kufanya.

Njozi za ushindi!
 
Ulipotelea wapi tajiri usiyekua na baya!
Nunua hata sasa hivi tu, hiyo difference ya 23K mbona kwako siyo kitu kabisa 🤣🤣
 
Nasubiria kwa hamu sana Bitcoin ishuke hadi 50K USD ninunue za kutosha kama Bitcoin 200 hivi.

Nina budget ya 5 million USD.

Naombeni ushauri ninunue sasa hivi 73k ama nisubiri ishuke hadi 50K.

Narudi kulala hope nikiamka asubuhi nitapata ushauri wenu nijue la kufanya.

Njozi za ushindi!
nani kakupa ushauri kwamba ikishuka 50k basi ina uwezo wa kurudi juu
 
Back
Top Bottom