kutosha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Bitcoin ikishuka hadi 50K nitanunua za kutosha

    Nasubiria kwa hamu sana Bitcoin ishuke hadi 50K USD ninunue za kutosha kama Bitcoin 200 hivi. Nina budget ya 5 million USD. Naombeni ushauri ninunue sasa hivi 73k ama nisubiri ishuke hadi 50K. Narudi kulala hope nikiamka asubuhi nitapata ushauri wenu nijue la kufanya. Njozi za ushindi!
  2. Ibn Unuq

    JamiiForums Tanzania AI na ushahidi wa picha

    Kupitia AI, Picha zinaelekea kutokua ushahidi wa kutosha mahakamani hata kutoka kwa mtu mwingine tu. Kipindi cha nyuma ukisema ulikuwepo sehemu fulani au ulishuhudia tukio fulani, halafu ukaonyesha na picha bhasi utaaminika mia kwa mia. Ila kwasasa, picha ambazo zingeweza kutumika kama...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je, hawa vijana wana uelewa na weledi wa kutosha?

    Lipo kundi la vijana la propaganda mitandaonu lililotumwa maalum kubeza, kukejeli na kufubaza harakati zote za ukombozi wa Tanganyika zinazoongozwa na Gen Z Hili ni kundi mchanganyiko lenye uelewa na maslahi tofauti kwenye hali tuliyo nayo Wapo wafaidikaji wakuu na wenye maslahi ya moja kwa...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni kwa wanaopanga kuandamana: "Tuna risasi za kutosha

    Kauli ya Rais wa Uganda Yoweri Museveni kuhusu kuwapa askari risasi 120 kabla ya uchaguzi mkuu imezua hofu na ukosoaji mkubwa. Upinzani na wananchi waonya vitisho hivyo vinaweza kudhoofisha amani, demokrasia na haki. Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amekosolewa vikali kufuatia kauli yake kuhusu...
  5. Avith almachius

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa heshima yake Madowo naomba like za kutosha apo chini

  6. M

    JamiiForums Tanzania Je! Ardhi Inapokunywa Damu ya Kutosha ni Kitu Gani kinachotokea?* 💫💫💫💫💫

    Kwanza kabisa ndugu mpendwa ni vyema ukatambua kuwa, damu imebeba uhai wa mtu. Maana Biblia inasema " Linda sana moyo wako maana humo ndimo zitokamo chemchemi za uzima". Lakini Biblia inaendelea kusema, "kuleni wanyama lakini msile damu zao, maana damu zimebeba uhai wao". Kisa cha Henoko na...
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Day 3: Tunaelekea Ikulu. Jamani njooni, njia ni nyeupe na tupo wa kutosha hakuna wa kutuzuia. Chakula kitakuwepo

    Mlio dar maelfu ya wananchi wanaelekea kuchukua Ikulu yao jitokezeni kwa wingi tuchukue nyumba yetu kwa mafisadi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Uzeeni ni heri uwe na mzigo wako wa kutosha unaukata taratibu au uwekeze kwenye biashara usubiri faida ?

    walengwa wakiwa ni waajiriwa zaidi. Uzeeni ni bora uwe na mzigo wa kutosha unaukata taratibu (Unaweza kuwa na vibiashara vidogo ili usikae sana ndani) Au ufungue biashara uwe unasubiria faida
  9. M

    JamiiForums Tanzania Huyo unaemleta aje kulala kwako, ikitokea hajaamka unayo maelezo ya kutosha kwa ndugu zake pamoja na kulisaidia jeshi la polisi ?

    Hii hoja ni ya kuwekea lamination maana kimasihara unaweza kuishia nyuma ya nondo bila kosa.
  10. bob_fundi

    JamiiForums Tanzania Huyu anahitaji viboko vya kutosha

    Habari wa JF Nimekutana na hiyo video roho imeniuma sana ya mwanaume unafanya mambo kama hayo.Daaah🤔🤔🤔
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Hizi nafasi za kazi za PAPU zinazopitia TCRA hazina infomation za kutosha rekebisheni

    https://www.tcra.go.tz/uploads/documents/sw-1757859650-PAPU_Vacancies_1032107643381814476641029946369102376331757853088906.pdf Angalia kiunga hapo juu kuhusu hizi nafazi za Pan African Postal Union (PAPU) zinaonekana kabisa ni mpunga mrefu maana ni P3 na P4, maombi inabidi yapitie TCRA, hata...
  12. Bongo Tech Giant

    JamiiForums Tanzania Je, unalinda akaunti zako mtandaoni kwa usalama wa kutosha?

    Leo dunia ipo kwenye mfumo wa kidigitali kuanzia mitandao ya kijamii, benki, barua pepe, hadi mifumo ya kazi. Lakini pia uhalifu mtandaoni umeongezeka. Njia rahisi ya kujilinda ni kwa kuwezesha Mfumo wa Uthibitisho wa Ziada (Multi-Factor Authentication MFA / Two-Step Verification). Hii...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa za kutosha kuhusu Isimani- Iringa

    Nimepata uamisho kuelekea Isimani-Iringa, mwenye taarifa na eneo hili naomba anisaidie kujua fursa za uchumi zilizopo, pia tamaduni za watu wa huko pamoja na changamoto mbalimbali zilizopo ili niweze kujiandaa.
  14. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Serikali mpeni ulinzi wa kutosha Nassoro Katuga, sahivi amekimbia hadi social media zake

    Bwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu. Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike, Hadi kwao kabisa...
  15. ruby garnet

    JamiiForums Tanzania Polepole umepuuzwa vya kutosha, chukua hatua

    Sina mengi Sana Wana JF Bandiko langu ni kumsihi ndugu yetu Kwanza atubu waliyofanya na Magufuli ya kinyume na katiba. Pili hadi sasa hivi press zake si kitu Kwa CCM, uliahidi mama asipokusikia maboya yatafanya kazi yake. Kwa sasa press zako si kitu kabisa. Chagua moja kukaa kimya au maboya...
  16. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Karatu kuna hoteli za kutosha kupokea timu 4?

    Sijawahi kufika karatu kwa siku za karibuni.Timu za taifa 3 zitakuwa hapo kucheza michezo ya cecafa,naulizia kwa mliopo huko,je kuna hoteli zenye hadhi kupokea ugeni mkubwa huo?
  17. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Wadada mnaotoa tangazo humu kutafuta wapenzi muwe mnasema kama mna mzigo wa kutosha ama laa

    Unakuta mdada anaandika uzi kutafuta mpenzi au mume, eti anaandika mara nina diglii ya biashara, mara ninaishi sijui mbagala, mara mrefu kidogo mweupe! Jambo la kusikitisha ni kwamba ataeleza yote hayo halafu anashindwa kuandika kama ana makalio makubwa ama la.. Nani kakwambia anashida na hiyo...
  18. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye nyashi ya kutosha

    Mwenye nyashi njoo dm
  19. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Marekani imehusika kwa kiwango cha kutosha kabisa katika kuisaidia Israel kuitandika Iran

    Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran. Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani. Uwezo huo wa midair refueling Israel haina. Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo. Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan...
  20. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa umma hawako makini vya kutosha wanamwaibisha Rais Samia

    Ni mara nyingi kuna nyaraka zinazunguka mtandaoni za kiserikali, zingine barua zingine amri n.k unahisi kabisa wafanyakazi waliopewa nyadhifa kubwa huwa wanafanya kazi bila umakini wa kutosha na kwa sababu hiyo wanaaibisha serikali na Rais aonekane hayuko makini vya kutosha. kuna barua nyingi...
Back
Top Bottom