Mwenye taarifa za kutosha kuhusu Isimani- Iringa

Mwenye taarifa za kutosha kuhusu Isimani- Iringa

Kama una alizeti na mahind njoo nazo ukaanze kilimo mwezi November
Maji kuyapata lazima uenyeke
Ujuaji wako uache huko huko we ukfka uwe Tyr ku adopt utakachokuta
 
Kama una alizeti na mahind njoo nazo ukaanze kilimo mwezi November
Maji kuyapata lazima uenyeke
Ujuaji wako uache huko huko we ukfka uwe Tyr ku adopt utakachokuta
Maji hakuna halafu unanambia nije na mbegu??!!

Kwenye ujuaji unamaanisha nini mkuu??
 
Nimepata uamisho kuelekea Isimani-Iringa, mwenye taarifa na eneo hili naomba anisaidie kujua fursa za uchumi zilizopo, pia tamaduni za watu wa huko pamoja na changamoto mbalimbali zilizopo ili niweze kujiandaa.
Pako vizuri, changamoto ni Joto lipo sana. Karibu sana Iringa.
 
Hapo
Maji hakuna halafu unanambia nije na mbegu??!!

Kwenye ujuaji unamaanisha nini mkuu??
Nimekutajia had lini msimu wa kilimo unaanza
Lkn pia maeneo ya isiman Yana joto sio kama mafinga au Tanangoz had kihesa
 
Watu wa iringa ni wakarimu sana iwapo hutowaonesha dharau na kujifanya unajua sana
We kuwa mpole na mkimya utafurahia hii ardhi ya mkwawa
Kamwene mnogage ndizo salamu zetu
Ulanzi kinywaji malidhawa had watoto wanatumia kama maziwa
 
Back
Top Bottom