Kuna yule mwamba alio omba ushauri namna ya kutembea na mke wa mtu bila mme wake kujua, sasa nikawa najiuliza vp kwa mfano baadhi ya suggestions atakazopewa moja wapo itatoka kwa mme wa huyo "mke wa mtu" 🤣🤣
Kuna mwamba humu aliwahi kusema sijui amebakiza siku chache kufa, saaa kumbe akawa...
Akihutubia katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika mjini Singida, Rais Samia Suluhu Hassan amesema,
“Kwa kuwa mcheza kwao hutunzwa, mimi na wenzangu na baada ya kuangalia uchumi ulivyppanda na umepanda kwa sababu ya nguvu zenu wafanyalazi, Ninayo furaha ya kuwatangazia kwamba, katika kuleta...
Ni kwamba......
1. Hata siku moja usije Kumuamini 100% kiumbe kiitwacho Mwanamke
2. Hata siku moja usipende Kujimaliza 100% kwa Mwanamke / Mkeo
. Hata siku moja ukiwa katika Public usipende sana kumtambia Mkeo wa Watu kwani hawa Hawatabiriki
4. Hata siku moja usiyaamini maneno matamu matamu...
Kwa namna mabeki wa Al MAsry wanavyocheza na kwa aina ya uchezaji wa Elia Mpanzu Kibisawala na pacha wake KIbbu Dennis, hakyamungu waarabu kesho kazi ipo.
Na kama hakutakuwa na figisu kutoka kwa jamaa yetu pale uwanjani ambaye anajifanya hana uzalendo basi kesho ni wimbo tu kuanzia nje ya...
Mpaka sasa 90% ya Online Tv za Watu Maarufu Tanzania zinaelekea Kufa huku wakiwa na Madeni na Wafanyakazi wao Kulia kwa kutokulipwa Mishahara. Na kuna Mmoja nae kaanzisha yake, ila Kutwa ni Kujiposti Yeye tu na Mkewe kwa Events zao, ila nina uhakika Mdhamini wake (Tajiri Mkubwa) akimchoka tu...
"Siku moja mtanikumbuka, na mtanikumbuka kwa mazuri si mabaya"
"Nimetoa maisha yangu kwaajili ya Watanzania, msifikiri mafisadi wanapenda"
https://youtu.be/NaJCiQydU6U?si=i3Ux3On5vuQwMpuw
Habari zenu wapendwa,
Karibu ujipatie matairi ya aina mbalimbali Kwa bei ya punguzo la mwezi wa Ramadhani bei zetu ni nafuu kabisa .
Matairi ya brands mbalimbali na size zote yanapatikana mikoani tunatuma pia Dar es salaam, Tanzania tunafanya delivery Kwa uaminifu mkubwa.
Location Vingunguti...
WOMEN, ATTENTION
$Uza cha kumfanya mwanamke wa miaka 40 aonekane wa miaka 30.
$Uza cha kumfanya mwanamke awageuze shingo wanaume.
$Uza cha kumfanya mwanamke asemwe na mwanamke mwenzake.
$Uza cha kumfanya mwanamke kutuliza munkali wa hisia na stress zake
MEN, LUST
$Uza cha kumfanya mwanaume...
Wakuu,
Wizara ya Afya imewatoa wasiwasi Watanzania juu ya uvumi uliokuwa ukiendelea kuhusu uhaba wa ARV kutokana na maamuzi yaliyochukuliwa na Rais Trump hivi karibuni ya kusitisha misaada kwa siku 90 kupitia shirika lake la USAID.
Pia soma...
Kinujumu (Kinyota) na hata Kihistoria ya Klabu yetu ya Simba ikiwa na Mechi zake katika Siku za Alhamisi kama ya hii Leo huwa inapata Matokeo makubwa mawili tu ambayo ni ama Kusare au Kufungwa.
Tukishinda leo basi ni Asante Kubwa kwa Mwenyezi Mungu ila kwa Uzoefu wangu na Ubobezi wa mambo...
Habari ,
Nimepata taarifa kuwa, T.RA inawatangazia Watu kuwa Kuna mfumo mpya unatakiwa kuanza matumizi mwezi February 2025,
Mfumo huu unampa access ya Moja Kwa Moja mteja mwenye tin namba kuweza kubadili umiliki wa chombo chake direct kupitia mfumo mpya wa T.RA Portal .
Pia upatikanaji wa...
Ndugu Mbowe ni mwenyekiti wa Chadema, ndiye kiongozi wa ngazi ya juu zaidi wa chama hicho.
Kama ilivyoada kwa kiongozi yeye ndiye kama baba wa familia, ana wajibu wa kujali usitawi wa makada wake, kuwalinda na kuwatetea na kuwafariji.
Hata hivyo huwa nashangazwa na Mbowe ambaye yeye kama...
Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya.
Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja
Elimu nzuri ni gharama wakuu.
Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri.
Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama...
Mitego ya Utopolo ilikuwa mingi Sanaa, mingine wameikwepa kwa kusaidiwa na wakongo wenzao waliopo hapa nchini, mitego mingine wamesaidiwa na waliokuwa wachezaji wao wa zamani ambao ni raia wa Congo.
Lakini Mazembe wameingia kwenye mfumo wa Gusa Achia Twende Kwao.
Miiba wameikanyaga tayar...
MPANGO WA KUNYWA MAJI YA KUTOSHA MWAKA 2025
Heri ya Mwaka Mpya 2025 Wana Jf!
Tukianza mwaka mpya wa 2025, kipaumbele nambari moja, kipindi chote cha mwaka kiwe afya zetu. Tufanye hivyo kwa kuanzia na unywaji wa maji ya kutosha.
Sote tunafahamu faida za maji mwilini, lakini ni vipi hatunywi...
Kama una mdogo wako wa kike awe makini aache tamaa ya mambo ambayo hana uwezo nayo, kwa sababu mabinti wengi wanaingia kwenye vishawishi vya kutembea na wanaume walio wazidi umri (Sugar dads) ili kupata fedha.
Pia mdogo wako wa kiume wa chuo mwambie afunge zipu asome kwani wengi wa wanachuo...
Licha ya sisi vijana kushabikia Simba na Yanga muda wowote bado hutujafanikiwa
kutambulika kimataifa kama nchi ya Nigeria na nchi zingine za Afrika Magharibi na Kaskazini
wanaofanya vizuri kwenye Soccer na pia hata kwenye kupigania mustakabali wa maisha yao hawapo nyuma.
Bora hata jirani zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.