kutolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MICHAEL JACKSONN

    JamiiForums Tanzania Tathmini fupi baada ya tamko la Mzee Kinana kuhusu kero ya Polisi wa Usalama Barabarani

    Ni kama wiki sasa imepita mara baada ya naibu mwenyekiti ccm taifa, Dkt. Abdulahman Kinana, zimeshatokea ajali mbili za magari na kuondoka na roho za watu kadhaa, sababu ni mwendokasi. Tukiangalia kisiasa na kimihemko,traffic police hawana cha maana wanachofanya barabarani zaidi ya...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bidhaa za taulo za kike kutolewa bure kwa Wanawake wote Scotland

    Kuanzia leo Agosti 15, Wanawake nchini Scotland wanaanza kupata Taulo za Kike bila malipo kufuatia Sheria muhimu iliyopitishwa mwaka 2020. Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali iliyotolewa na Katibu wa Haki Jamii, Shona Robinson imesema Halmashauri na watoa Elimu watalazimika kisheria kuhakikisha...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania NHIF yazusha taharuki tena licha ya tamko la Waziri, wateja walalamika kutolewa katika huduma

    Maboresho yanayoendelea kufanywa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), yameibua malalamiko na taharuki kwa wanachama, hasa baada ya baadhi ya wategemezi wakiwamo wazazi, kuanza kuondolewa katika mfumo wa matibabu. Taharuki hiyo imeibuka siku moja tangu Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuagiza...
  4. M

    JamiiForums Tanzania kutolewa kwa ela za field (HELSB) baadhi ya vyuo vikuu Tanzania inaumiza wanafunzi wa hali ya chini (watoto wa wakulima)

    Bodi ya mkopo ya elimu ya juu hutoa mikopo kwa wanafunzi wenye vigezo na sifa zinazo stahili kupokea ambapo fedha hizo hujumuisha Ada , field, book and stationary na research ambapo kama mwanafunzi akibahatika kupata vyote huwa ni nafuu kwa mzazi. Lakini mwaka huu 2022 kwa wanafunzi wengi wa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tenda ya kuingiza mafuta nchini yadaiwa kutolewa kwa 'uswahiba', mmiliki wa Super Markets za TSN atajwa

    Wadau habari zenu? Poleni na majukumu ya siku. Zipo habari kwamba, tenda ya kuingiza mafuta nchini ambayo wamepewa baadhi ya wafanyabiashara wachache nchini ambao wana uswahiba na kigogo wa wizara hiyo. Kwa mujibu wa mtoa habari mmoja wa ndani ya wizara hiyo, kigogo huyo amewapa tenda...
  6. ReTHMI

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya Mahusiano ianze kutolewa shuleni

    Wengi watapigwa na butwaa kwanini natamani elimu ya mahusiano itolewe mashuleni tena mahusiano ya kimapenzi. Nitabaki kusimamia kwamba elimu ya mahusiano ya kimapenzi itolewe mashuleni, ikiwezekana kama somo la lazima kuanzia ngazi ya elimu ya msingi mpaka elimu ya sekondari. Elimu inatakiwa...
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Bajeti yapendekeza Elimu ya kidato cha tano na sita kutolewa bure

    Bajeti yapendekeza Elimu ya kidato cha tano na sita kutolewa bure. Wanafunzi 90000 wa kidato cha tano na wanafunzi 50000 wa kidato cha sita. Ili kupunguza adha wanazokumbana nazo ada za watu hao imefutwa. Hivyo elimu bila ada itakuwa kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita. Pia inaangaliwa...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Lengai Ole Sabaya yaahirishwa hadi Juni 10, 2022

    Hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita inatarajiwa kusomwa leo Mei 31, 2022 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Kesi hiyo imeendeshwa tangu ilipoanza Julai, 2021. Hukumu hiyo inatarajiwa kuamua hatima ya kiongozi...
  9. Shark

    JamiiForums Tanzania Simba kutolewa Nusu Fainali ya FA Cup, MO Awaka

  10. Q

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mkubwa wa CHADEMA alikuwa na fununu ya kutolewa kwa Nusrat gerezani

    Aliyewahi kuwa kiongozi wa Chadema. Nani huyo? Gazeti la Mwananchi. ========================= Mratibu wa uhamasishaji wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), Twaha Mwaipaya-- ambaye aliachiwa pamoja na Nusrat, anasimulia jinsi walivyotolewa gerezani saa 1 jioni. Nusrat, Mwaipaya na wenzao...
  11. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mimba ikiharibika, kutolewa au kutoka yenyewe mwanamke anatakiwa kupatiwa cPAC haraka, ni muhimu

    Kwa Tanzania kitendo cha kutoa mimba bila sababu za kitabibu ambazo hazikwepeki kufanya hivyo kwa faida ya mwanamke aliyebeba ujauzito ni kosa kisheria. Pamoja na hivyo, bila kujali mimba imetoka yenyewe au imetoka bahati mbaya au imetolewa makusudi, hiyo haiondoi huduma ambayo mwanamke...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya rufani ya Sabaya kupinga kifungo cha miaka 30 jela kutolewa leo Mei 6, 2022

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, leo inatarajia kutoa hukumu ya rufani namba 129, katika kesi ya jinai iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wa wawili. Washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Silvester Nyegu na Daniel Mbura, waliokuwa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Huu ndio unaweza kuwa muarobaini wa ajira za serikali kutolewa kwa upendeleo?

    Kulingana na namna malalamiko yamekuwa mengi sana kwenye suala la namna ya kutuma maombi ya ajira za serikali kupitia mfumo uliopo kwa sasa ambao maombi yote hupitiwa na binadamu ambao uzoefu unaonesha kuwa huwa na maslahi ya binafsi ya wazi ama kificho kwenye kuchagua waombaji wapi wapatiwe...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mahakama yapanga Hukumu kesi ya Ole Sabaya, wenzake Mei 31, 2022

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imepanga Mei 31, 2022 kutoa hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita. Katika kesi hiyo washitakiwa wengine ni Enock Mnkeni, Watson Mwahomange, John Aweyo, Sylvester Nyegu, Jackson Macha na...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyenusurika kifo kwa manyanyaso ya ndugu, atoa shukrani kwa kutolewa gizani

    Anord Patrick Kalinga (21) mkazi Mlevelwa, Kata ya Mdabulo, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa ambae ni miongoni mwa vijana 100 kutoka kwenye familia duni walioibuliwa na Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi na mradi wa Youth Agency Mufindi (YAM) amepongeza mradi huo kwa kumuona. Anord alisema akiwa...
  16. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Watoto ombaomba ni halali kutolewa Mjini? Wakikamatwa Serikali inawapeleka wapi?

    Suala la watoto wa mitaani kwa sasa ni kama halizungumzwi kwa sauti kubwa kwa kuwa hapo kati mamlaka zikishughulika nao kwa kiwango cha juu. Nakumbuka kuna wakati Mzee Yusuph Makamba miaka ya nyuma alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipambana sana na ombaomba wakiwemo watoto waliokuwa...
  17. RWANTANG

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu kutolewa kizazi

    Habari wana jukwaa.Mwenza wangu ametakiwa kuondolewa kizazi kwakua kina uvimbe. Sasa swali langu je akitolewa kizazi dushe si itakuwa kama inaingia kwenye ndoo? Au haina athari hiyo? Tafadhali naomba kuelimishwa naamini jf kuna wanao fahamu hukusu hili.
  18. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Nape, Mimi ni Miongoni mwa tulioumizwa sana kutolewa kwako bila sababu

    Hongera Sana Mkuu, Umerudi kwenye Jungu Kuu, Wahuni walifanya sikukuu, Pale ulipokamuliwa jipu na Mkuu, Waoneshe kazi unaiweza, Wala usihangaike nao. Ulikuwa ukitimizaajukumu Yako, Tena Kwa kutumia weledi wako, Ukakumbana na likambako, Ambalo baba alilipaka upako, Waoneshe kazi unaiweza, Wala...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mbiwe kutolewa gerezani kwa nguvu ?

    Najiuliza kwa sauti kubwa
  20. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mifumo imeanza kuchezewa na kuonesha makasha yamelipiwa na kuruhusiwa kutolewa Bandarini

    "...ninazo taarifa za hivi karibuni wafanyakazi wasio waaminifu wamechezea mifumo na kuonyesha mizigo imelipiwa Bandarini na kuruhusiwa kuondolewa ilhali malipo hayajafanyika." Amesema Rais Samia. My take; Je, ni rasmi upigaji umerejea kwa kasi namna ile?! Je, wenye dhamana za uongozi katika...
Back
Top Bottom