Mzalendomorogoro
Member
- Mar 15, 2018
- 26
- 36
Bodi ya mkopo ya elimu ya juu hutoa mikopo kwa wanafunzi wenye vigezo na sifa zinazo stahili kupokea ambapo fedha hizo hujumuisha Ada , field, book and stationary na research ambapo kama mwanafunzi akibahatika kupata vyote huwa ni nafuu kwa mzazi.
Lakini mwaka huu 2022 kwa wanafunzi wengi wa mwaka wa pili ambapo kwa mwaka jana hawakuwa na field kutokana na kozi mbalimbali wanazo somea kutokuwa na field mwaka wa kwanza ikumbukwe mwanzoni kabla ya kuanza chuo katika majibu ya wanafunzi waliopokea mkopo bodi ilionesha mwaka wa pili watapokea mkopo lakini kuingia mwaka wa pili zile elazote za field zimetolewa bila kutoa taarifa au kutangaza kutolewa kwa ela izo na sababu za kutolewa mfano wa vyuo ni UDSM ,TUDARCO ,ARDHI.
Fikiria mwanafunzi anayesomea elimu ya miamba yani Geology anapangiwa field akafanye Geita harafu anakaa Mtwara ambapo alitegemea izo ela za field imuwezeshe kujikimu kipindi chote cha wiki nane za field ilihali familia anayotoka ni ya kipato cha chini.
Jee kuna hatua zozote zinaweza kuchukulia ili kusuluisha suala ilo maana unaweza ukajikuta umemaliza chuo unakuta deni kubwa kutoka bodi ya mkopo ikionesha ela ya field nayo imo kwenye deni ilo japo hukusaini na bodi waliondoa kimyakimya.
suala la bodi ya mkopo ni bado changamoto kubwa na gharama ya maisha imezidi kuongezeka.