kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji zaidi kutoka China kuleta kuwanufaisha watanzania na uchumi wa Tanzania

    Mwishoni mwa mwezi Aprili mamlaka za Tanzania ziliualika ujumbe wa wafanyabiashara kutoka China kutoka mkoani Guangdong nchini China kwa lengo la kufahamisha fursa za uwekezaji nchini Tanzania, wakati Tanzania ikiendelea na utekelezaji wa ajenda ya maendeleo ya viwanda. Mamlaka hizo ziliualika...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Haijawahi tokea, ni kufuru! Yanga yachangiwa zaidi ya tiketi elfu 30 kutoka kwa Rais, Wizara, viongozi, Mabenki, na bado zoezi linaendelea

    MUHIMU: Hawa wahusika wameguswa na mafanikio ya yanga na ni wao kwa hiari yao wameamua kushow love wameongeza hamasa kwa kuwanuulia mashabiki tiketi, wala hawakuombwa wala kulazimishwa. Rais wa nchi - Tiketi 5,000 Wizara ya Michezo>BMT -Tiketi 10,000 Benki ya NBC - Tiketi 5,000 Benki ya...
  3. Desierto

    JamiiForums Tanzania Fundi simu leo nusu nichezee kipigo kutoka kwa mteja

    Leo nikiwa zangu ofisini kwangu jua la mchana hivi nikiwa napiga tu miayo kwa njaa ya pesa, Akaja mdada mmoja akiwa na simu ya batani imevujia kioo, sasa kwa bahati mbaya nikawa sina kioo cha aina hiyo, kwa haraka haraka nikapiga hesabu kuna simu moja ya mteja nilimtengenezeaga spika akawa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kitendo chenu cha Kufurahia sana Refa wa Mechi yenu kutoka Congo DR Kwao Wakongo mlionao Kutawaponza

    Taarifa za ndani nilizozipata kutoka Jikoni katika Klabu moja na hata kule Kwenyewe kabisa CAF ni kwamba kama kuna Refa ( Mwamuzi ) ambaye atachunguzwa mno Maamuzi yake Kiuchezeshaji Siku hiyo basi ni huyu kutoka Congo DR. Na Watu fulani wasivyo na Siri mpaka akina MINOCYCLINE tunapata Taarifa...
  5. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Yanga kutocheza fainali usiku ni uoga wa wasimamizi wa uwanja ama ni tamko kutoka CAF?

    Naona hii ya kucheza match saa 10:00 jioni ni kama uoga hivi wa wasimamizi wa uwanja kuhusu swala la kuzimika taa. Maana huu muda sijawahi kuupenda katika maisha yangu. Wangeweka hata saa 12:00 jioni.
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Manyara: Ujenzi wa Barabara ya lami ya km 25 kutoka Labbay hadi Haydom sasa unaanza rasmi

    Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) inatarajia kujenga kwa kiwango cha lami miradi mitatu mikubwa ya barabara mkoani Manyara ambayo itaunganisha mkoa huo na mikoa ya Jirani. Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya amesema hayo leo tarehe 19 Mei 2023 mji...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: jinsi ya kupokea hela kutoka nepal kuja bongo

    Nina ndugu yangu yuko nepal, sasa western Union ya nepal hairushi hela toka huko kuja Tanzania, je bank to bank itafaa, au kuna international agency ingine ipo..wenye uzoefu wanisaidie
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Makusanyo ya Kodi kupanda kutoka trilioni 1.2, mpaka trilioni 2 awamu ya 6, ni nani hawa walikuwa wanakwepa Kodi ya bilioni 800 Kila mwezi?

    Samia Suluhu Hassan katika makusanyo ya Kodi, amepanda kutoka trilioni 1.2 mpaka trilioni 2, swali la kujiuliza, hii Kodi ya bilioni 800 nani alikuwa anakwepa kuilipa? Na je akibanwa? Tunatarajia hatapiga au hawatapiga yowe? Piga hesabu bilioni 800 zilikuwa haziingii hazina zikajenge...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Misri Abdel Fattah El Sisi, Ikulu Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El Sisi uliowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum ambae pia ni Waziri anaeshughulikia masuala ya Nyumba Mhe. Hassem El Gazzar mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar...
  10. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Dar iko chini ya amri kutoka ngome ya Wahehe Iringa

    Wadau nipo hapa nimetulia nikasema niwachokoze kidogo Dar sasa hivi ipo chini ya himaya ya wahehe baada ya chalamila kuwa mkuuu wa mkoa wahehe wanajidai sana nimeona kwenye magroup yao WhatsApp. Kwa sasa kwenye ulingo wa siasa kutoka iringa anawika sana ni chalamila hivyo ngome...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Watalii kutoka China wahimiza maendeleo ya sekta ya utalii Tanzania

    Muda mfupi baada ya serikali ya China kuondoa kizuizi cha mwisho cha hatua za kupambana na janga la COVID-19, wachina walianza kusafiri kwenda katika nchi mbalimbali duniani. Mwishoni mwa mwezi Aprili kundi la watalii 28 kutoka China, lilikuwa ni moja kati ya makundi ya mwanzo kusafiri kwenye...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa utambuzi wa kitabu kutoka kwa java developer

    Kwa mtu aliesoma kitabu hicho chini naomba title. Nimekiokota mtandaoni chapter moja tu, hakina title book. Nimevutiwa nacho ninahitaji title na mwaandishi ili niweze kukidownload. Thanks
  13. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Ipe maneno picha hii

  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ni Tabia gani unazo na ungependa Watoto wako warithi kutoka kwako?

    Tukiacha na mali ulizonazo, ni tabia gani ambazo unazo ungependa wanao warithi kutoka kwako? Ni tabia gani ambayo unayo unaisi wanao wakiwa nayo itawasaidia sana kwenye maisha yao? Mimi kwa upande wangu ningependa warithi, (UTU) hii kitu kwa upande wangu ninahisi ninayo sana vingine waachane...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Haya ndio maisha ya Marehemu Diego Maradona aliewahi kuwa mwanasoka Nguli kutoka Argentina,

    Ni moja kati ya wanasoka nguli waliowahi kutikisa ulimwengu wa soka zama zake, Fatilia mkasa wake.. Part 1:: Diego alizaliwa sehemu masikini alishindwa kuweza hata kumudu nauli ya kwenda kufanya majaribio ya kujiunga na academy, Rafiki yake anampigia connection ili apate nauli: WHILE THIS...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali Kupunguza Gharama za Kusafisha Figo Kutoka 350,000 hadi Kati ya 90,000-150,000

    Serikali imedhamiria kupunguza gharama za kusafisha figo kutoka Shilingi 350,000 mpaka Shilingi 90,000 hadi 150,000 kwa lengo la kuwapunguzia wananchi mzigo wa gharama za matibabu hasa kwa wenye vipato vya chini. Taarifa hizo zimetolewa leo bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Wizara ya...
  17. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania USHAURI:Kama namna naweza kuzuia na hali hii

    Natumaini wazima Naomba niwashirikishe hili jambo linanisumbua sana Miaka ya nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na kijana mmoja tulikuwa tunapendana sana,nilikuwa Niko chuo nae alikuwa anafnya kazi kwenye private sector tulivumiliana baadae nikamaliza nae akapata kazi serikalini tukaanza kuweka...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mabomba kwa ajili ya Upanuzi wa Mradi wa Maji ya Ziwa Victoria kutoka Bomba Kuu kwenda Igunga

    📍 Igunga, Tabora IGUNGA: TUTAFIKA MWAKA 2025 TUKIWA TUMEMTUA MAMA NDOO KICHWANI Mabomba kwa ajili ya Upanuzi wa Mradi wa Maji ya Ziwa Victoria kutoka Bomba Kuu kwenda Vijiji na Vitongoji vya Kata za Mwamashiga, Mbutu, Isakamaliwa, Kining'inila, Mwamakona, Igurubi na Kinungu. Mradi wenye...
  19. Boqin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mwanaume mmoja aokolewa kutoka kwenye kifusi miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi nchini Uturuki

    Picha moja iliyosambaa mtandaoni – ikiwemo hapa JamiiForums – inamuonesha mwanaume mmoja akiwa katika hali mbaya ya kiafya. Maelezo katika picha hiyo yameandikwa kwa lugha ya Kiarabu yakieleza: “Kutoka tetemeko la ardhi la Februari 6, leo ametolewa chini ya vifusi huko Antakya, Uturuki hai na...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Barabara ya kwenda Mbopo kupitia Madale Mikoroshini, Bwawani hadi Panga Boy ni mbovu

    Barabara ya kwenda Mbopo kupitia Madale Mikoroshini, Bwawani hadi Panga Boy ni mbaya, kipande cha kutoka Panga Boy hadi Mbopo kiasi fulani imerekebishwa. Wananchi waiomba Serikali iwatazame kwa jicho la Huruma. Awali kuna mtu alilalamika mtandaoni kwa kuandika: “Tunaomba mtusaidie Barabara ya...
Back
Top Bottom