Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.
Kwa kipindi cha miezi 12 iliyopita, nchi ya Senegal imeonyesha outstanding performance katika mchezo wa Soka Barani Afrika. Senegal ni:-
1. Mabingwa wa Kombe la Mataifa Afrika,
2. Mabingwa wa Kombe la Africa kwa wachezaji wa ndani,
3. Mabingwa wa Kombe la Soka la Beach kwa Afrika,
4. Sadio Mane...
Bila shaka, kijana mdogo Mohamed Mussa ni hazina. Mchezaji huyo aliyesajiliwa na Simba katika dirisha dogo kutoka Malindi ya Zanzibar alikuwa kwenye kiwango bora sana katika Ligi ya Zanzibar na mashindano ya Mapinduzi. Binafsi huwezi kunishawishi kuwa Kibu Dennis ni bora kuliko Mohammed Mussa...
Ndizi tokan Tanganyka zazuiwa huko Zanzibar
👇
Waziri aeleza sababu mwanamke aliyezuiwa kuingiza ndizi Zanzibar
Zanzibar. Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Mifugo na Biashara wa Zanzibar, Shamata Shaame Khamis ametoa ufafanuzi kuhusu tukio la kutaifisha tenga 30 za ndizi za Veronica Mwanjala...
Kuna sakata kama tatu zimejitokeza kuhusu mikataba, Morrison, Fei toto, na sasa ni sportpesa. Sitaki kuchimbua sana lakini ukiangalia kwa umakini unaona kabisa mtu anayesimama kwenye kusainiana mikataba ni mtu asiye na maono, asiyekuwa na uwezo wa kufikiria na asiyejua kusimamia mikataba yenye...
Mada inajieleza. Lile jiwe la Tanzanite limewekwa wapi na linatunzwa na Nani?
Kama lipo litahifadhiwa hadi lini? Kama halipo Lili kwenda wapi baada ya kifo cha mpendwa wetu?
Habari wana JF,
Pasipo kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtumishi kwenye Halmshauri X, nimeajiriwa kama afisa mtendaji, ila kwa bahati mzuri nina diploma ya shipping and port operation management pale Bandari College sasa lengo langu...
Wana Jukwaa la JF Shalom Shalom, Assalamu aleykumu, Tumsifu Kristo Yesu.
Bila kuwapotezea mda wadau naomba msaada wa maelekezo kwa mwenye information kuhusu kampuni ya Zion medical ya huko Israel, kuwa ina tengeneza dawa aina ya Gommora ya kutibu H.iv.
Kumekuwa na matangazo kwenye baadhi ya...
Hi,leo tutajifunza kuhusiana kitabu cha RICH DAD, POOR DAD.
1. Wote tunahitaji elimu ya fedha.
Mwandishi anasema kuwa wanafunzi wengi wanamaliza shule bila ya ujuzi wa fedha. Wanajifunza kutengeneza fedha lakini hawana mawazo juu ya namna ya kutengeneza fedha kutoka katika fedha walizonazo.
2...
Sasa CHADEMA mkiambiwa msikusanye watu mpaka tishio liishe, mtasema mnaonewa, aliyesema ndio moja ya watu wenu. Na mtu wenu akiambiwa asifanye mkutano wa hadhara analia, akiachiwa akadhurika, anaililia serikali.
Habari wakuu,
Naomba mwenye usafiri au mwenye kujua bei za kusafisha mazao kutoka Karagwe kwenda Dar anijuze ni shilingi ngapi kwa gunia la kilo 100.
Asanteni
Kama una pesa za kupoteza yaweza usijali sana.
Wafanya biashara na watoa bidhaa wanafanya kila mbinu kuitaka pesa yako. Wana kila mitego ambayo usipoangalia unaweza kuwa mtumwa wa kununua vitu bila mpango. Matangazo kila station ya redio na tv kupamba bidhaa.
Hii kesi hasa ni kwa bidhaa za...
Kutokana na juhudi za serikali kuboresha huduma za afya nchini, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila imeanza kupokea wagonjwa kutoka nje ya nchi wanaofuata huduma za kibingwa, ikiwemo huduma tiba ya kuweka puto kwenye tumbo la chakula (Intragastric balloon), ili kusaidia watu wenye uzito...
Mpira wa Jana na Dodoma Jiji Yes Tumeshinda lakini Mwanasimba yeyote hajafurahi sana kwa sbb uwezo wa kupass ulipotea kabisa jana. Hakuna mchezaji hata mmoja wa Simba aliyewez kuwa na utulivu. Simba why hawawez kufanya passing passing kuwa creative kwa maana hiyo michezo ya CAF inayokuja kazi...
OFISI YA MBUNGE JIMBO LA LUDEWA
Januari 21, 2023 Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mhe. Joseph Kamonga akiambatana na Mweneykiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Ndg. Wise Mgina na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa Ndg. Gervas Ndaki wameupokea ugeni kutoka mamlaka ya bandari Tanzania (...
Katika malezi ya watoto si kila wakati wote awe mkubwa au mdogo kuna wakati watoto wanafanya mambo wakiwa mbali na wazazi wao na huficha yasijulikane nyumbani.
Ukisikia lawama juu ya mtoto wako au kuwa anatabia ya aina fulani ambayo wewe huijui usikimbilie kumuadhibu/ kumuonya au kumtetea...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linatarajia kuanza majaribio ya kutoa huduma katika Reli ya Kisasa (SGR) kati ya Dar es Salaam na Morogoro mwezi Februari 2023
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa alisema kazi ya ujenzi wa SGR, awamu ya kwanza kilometa 1,219 kati ya Dar es Salaam na Mwanza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.