Waziri Makamba: Iwe Mjini au Kijijini Gharama wanayatumia Tanesco kumuingizia mtu umeme ni Tsh 800,000

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
63,736
96,135
Waziri wa Nishati January Makamba amemshukuru Rais Samia kwa kuwapa tsh 500bil kwa ajili ya ukarabati wa Miundombinu ya Umeme, jumla ya Fedha inayohitajika ni zaidi ya tsh trillion 1.

Makamba amesema iwe Mjini au Kijijini Gharama za kuunganisha Umeme wanazotumia Tanesco ni wastani wa tsh 800,000

Source ITV Dakika 45

Mytake Baada ya ufafanuzi wa Tanesco ni wazi Shirika linatumia Gharama kubwa kuwasambazia Umeme Wananchi ikilinganishwa na kile mteja anachochangia.
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
34,230
61,125
Waziri wa Nishati January Makamba amemshukuru Rais Samia kwa kuwapa tsh 500bil kwa ajili ya ukarabati wa Miundo mbinu ya Umeme, jumla ya Fedha inayohitajika ni zaidi ya tsh trillion 1

Makamba amesema iwe Mjini au Kijijini Gharama za kuunganisha Umeme wanazotumia Tanesco ni tsh 800,000

Source ITV Dakika 45
This is rubbish! Ndiyo maana Jiwe aliwafurumusha. Eti naye huyu ni waziri. hana sifa ila anabebwa na UCCM wa baba yake, Rubbish!
 
Lwiva

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
10,067
11,659
Waziri wa Nishati January Makamba amemshukuru Rais Samia kwa kuwapa tsh 500bil kwa ajili ya ukarabati wa Miundo mbinu ya Umeme, jumla ya Fedha inayohitajika ni zaidi ya tsh trillion 1

Makamba amesema iwe Mjini au Kijijini Gharama za kuunganisha Umeme wanazotumia Tanesco ni tsh 800,000

Source ITV Dakika 45
Wale wapumbavu waliosema umeme wa REA NA ELIMU BURE BADO VIPO WAPO WAPI tuliwaambia kuwa SA100 hana akili yoyote ya kuongoza hata nguruwe wakabisha
 
Sierra One

JF-Expert Member
Mar 22, 2019
991
3,886
Hiyo inainclude mita?

Maana kamwe gharama ya kuvuta umeme haijawahi kufanana vijijini na mijini..

Hata mijini kuna eneo na eneo..

Mimi naweza nikawa nimejenga karibu na nguzo, ambapo kinachohitajika ni mita na nyaya za kuingiza umeme ndani tuu, sasa iweje gharama iwe fixed?
 
vvm

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
5,172
7,499
Nadhani Hizo ni gharama wanazotumia Tanesco, shirika ni la Uma linalotumia Tozo na kodi zetu. Pia kila tunaponunua umeme tunakatwa rea, so Waziri atulize kichwa, in fact umeme ulipaswa tuunganishiwe Bure.

Wakihaimisha hiyo laki 8 kwa mfungaji, Tutarudi kwenye sola Mkopo.
 
Jorojik

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
5,012
5,650
Waziri wa Nishati January Makamba amemshukuru Rais Samia kwa kuwapa tsh 500bil kwa ajili ya ukarabati wa Miundo mbinu ya Umeme, jumla ya Fedha inayohitajika ni zaidi ya tsh trillion 1

Makamba amesema iwe Mjini au Kijijini Gharama za kuunganisha Umeme wanazotumia Tanesco ni tsh 800,000

Source ITV Dakika 45
Juzijuzi katembeteza mitungi midogo ya gesi ya kupikia huko Musoma kupunguza gharama kubwa nishati ya umeme huko vijijini? Leo yamekuwa Haya? Au nasema uwongo Bwashe?
 
peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
8,697
14,100
Waziri wa Nishati January Makamba amemshukuru Rais Samia kwa kuwapa tsh 500bil kwa ajili ya ukarabati wa Miundo mbinu ya Umeme, jumla ya Fedha inayohitajika ni zaidi ya tsh trillion 1

Makamba amesema iwe Mjini au Kijijini Gharama za kuunganisha Umeme wanazotumia Tanesco ni tsh 800,000

Source ITV Dakika 45
 
9 Reactions
Reply
Top Bottom