kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania China kurejesha raia wake kutoka Sudan kwathibitisha tena nia ya China ya kulinda raia wake vizuri

    Ndege ya kukodi ya China iliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing jumanne tarehe 2, ikibeba abiria zaidi ya 140 wa China waliorejea kutoka nchini Sudan. Kabla ya hapo, manowari za China zilizokuwa zikifanya kazi ya ulinzi katika Ghuba ya Aden zilikwenda Sudan na kuwachukua karibu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

    Mimi ilikuwa hivi, Ilikuwa kama ajali tu. Mimi nilikuwa nasali nae kanisani mume wake engineer kuwepo nyumbani ngumu mtu wa kusafiri safiri kwa hiyo ili mke asiwe mpweke nilikuwa kama namsaidia maana mimi sio mchoyo akija anaendeleza 🤣🤣 akitoka namfanya mke wake asitoke kwa wengine ila Mimi tu...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wa Kisheria kwa Ndugu aliyekataa Kuondoka kwenye Kiwanja Alichopewa Kukaa kwa Muda

    Sheria inasemaje Kwa mwanaukoo aliyekatalia kwenye kiwanja alichopewa na ukoo kuishi Kwa muda mpaka pale itakapoamriwa vinginevyo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Video: Mchina apokea mkong'oto kutoka kwa waganda ndani ya Ethiopian Airlines ikiwa angani kwa kushukiwa kuwaibia pesa

    Sijui kweli aliiba ama wanamsingizia wamuibie?
  5. JamiiForums Tanzania Taarifa za uongo kutoka BBC

    Jioni hii nilikuwa nasikiliza habari za dira ya dunia nimemsikia muandishi wa habari David Nkya, akisema yupo kambi la wakimbizi la Mtendeli iliyopo Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma Kwanza hilo kambi halipo, tulilifunga miaka mitatu iliyopita. Akaongeza uongo wake kuwa Tanzania ina makambi...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kibaka huyu ni kutoka mamlaka gani?

    Huyu hafuzu kuwa mfanyakazi wa umma. Ana nini huyu kumtofautisha na mhuni mvuta bangi wa mtaani?
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto alalamika namna viongozi kutoka mataifa ya Afrika wanavyotendewa wakiwa Ulaya na USA

    Hawa watu tukiwa nao huku Africa wanajidai kuishi kama miungu watu. Kumbe huko ulaya na usa hawana muda nao --- President William Ruto has complained over hospitality to African leaders in global summits Ruto said African leaders are in some instances mistreated when they travel abroad to...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani ashusha Wadau kutoka Korea kuunga mkono shughuli za maendeleo Jimboni Chalinze

    Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete licha ya shughuli zake kubwa za kitaifa kama Naibu Waziri lakini kamwe hasahau Jimbo lake na amekuwa mstari wa mbele kila siku kusukuma na...
  9. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba SC tusipoenda Kuwapokea Wachezaji wakirejea kutoka Morocco tutawakosea sana

    Tusidanganyane hakuna Mtu ambaye Jana aliangalia Mpira na alidhani Simba SC ingetoka Salama kwa Waarabu ( tena Mabingwa Watetezi Wydad Casablanca FC ) hadi Kufungwa Goli Moja na aggregate kuwa 1 - 1 mpaka dakika 90. Watu wengi ( hata Wanasimba Wenyewe ) achilia mbali wale Wendawazimu FC Wengine...
  10. B

    JamiiForums Tanzania CCM yajifunza kusukuma maendeleo makubwa kwa wananchi kutoka China

    TAARIFA YA KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI NDUGU SOPHIA MJEMA KUHUSU ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU DANIEL CHONGOLO NA UJUMBE WAKE NCHINI CHINA. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema leo Ijumaa Aprili 28, 2023 kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba...
  11. JamiiForums Tanzania Usikose mnada huu kutoka Ubalozi wa Marekani

    Ubalozi wa Marekani utauza kwa njia ya mnada wa kimtandao (online auction) vifaa mbalimbali vikiwemo samani, vifaa vya nyumbani, vifaa vya kielektroniki na magari ya serikali: Mnada utafunguliwa ili kuona vitu vinavyouzwa siku ya Jumatatu tarehe 1 Mei kuanzia saa 00:00, na kufungwa siku ya...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Pre Order Mzigo kutoka Kiwandani China

    Wanaotaka huduma ya mizigo mikubwa(bulk goods) kutoka kiwandani China pre order mzigo unaotaka utlpia 60% mzigo unakuja na meli very cheap ukifka unamlzia Nina connection na watu wa viwandani 0713310711
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge: Kwanini mwananchi akileta TV Bara kutoka Zanzibar analipia kodi wakati nchi ni moja?

    Haiwezekani mwananchi amesafiri kutoka Zanzibar na TV moja used anakuja kutumia nyumbani anafika Bara anaambiwa alipe kodi na hii ni nchi moja, akini anayetoka Morogoro kwenda Dar halipi kodi, lakini anayetoka Zanzibar kuja Bara alipe kodi, hii ni kero kubwa,"- Bakar Hamad
  14. JamiiForums Tanzania Simba Sc tuna mengi ya kujifunza kutoka Yanga

    Kwanza nikiri kwamba nitazungumza bila unafiki na kwa nia ya dhati kabisa naomba nitoe mtazamo wangu kwamba tukiwa kama moja ya klabu inayokuja kwa kasi nadhani wanasimba tuna mengi ya kujifuñza kutoka kwa watani zetu Young Africans wanaofanya vizuri nyumbani na kimataifa. 1.Mpira ni uwekezaji...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Update: Miili iliyofukuliwa ya Waumini waliofunga hadi kufa yafikia 83

    UPDATE: Miili zaidi imefukuliwa katika Makaburi yanayohusishwa na 'ibada ya njaa', na kufanya jumla ya vifo kufikia 83, huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka - Polisi wamekuwa wakizunguka msitu wa #Shakahola kwa takriban Siku 4 baada ya kupokea taarifa kuhusu dhehebu linaloongozwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Sauti ya Kiongozi kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara akiponda ubunifu wa Gari ya Masoud Kipanya yavuja

    Sauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya Viwanda. Hivi kama watu wenye mawazo ya aini hii ndio wamepewa mamlaka ya kusimamia masuala ya ukuzaji...
  17. JamiiForums Tanzania Rocket ya 'Starship' kutoka SpaceX yalipuka kabla ya kufika Obiti

    Starship ndiyo Roketi yenye nguvu zaidi kuwahi kutengenezwa na imeundwa kutuma wanaanga kwenye Mwezi, Mihiri au kwingineko. Chombo cha anga za juu cha chuma cha pua kilichoundwa na chombo cha anga kilichokaa juu ya roketi inayoitwa Super Heavy booster - kilipaa kwenye eneo la uzinduzi katika...
  18. JamiiForums Tanzania Forex: Sandile Shezi kutoka South Africa kawapiga na kitu kizito wanafunzi wake yeye huyo Asia

    Mwaka 2017 May ni mdau niliye shawishika sana kujiunga na jamii forum, kabla ya hapo nilikuwa nasoma tu na kupita hivi na sikuwa member. Ikaja thread moja kutoka kwa kijana machachali ontario kuhusu forex nikasoma na nikashawishika sana, kwa kipindi hicho nilikuwa mwa watatu chuo so kuna course...
  19. JamiiForums Tanzania Kali kutoka AM Records

    KALI KUTOKA AM RECORDS Hapa kuna majina mawili; MANECKY na BOB MAKNECKY na hizi ndizo kazi kali kutoka AM RECORDS; 1. NIMEDATA - JUX 2. NAPATA RAHA- JUX 3. NITASUBIRI - JUX 4. UTANIUA - JUX 5. SISIKII - JUX 6. UZURI WAKO - JUX 7. NIWE NAWE - JUX 8. UZURI WAKO- JUX 9. NIKUITE NANI- JUX 10. KALAMU...
  20. JamiiForums Tanzania Nchi jirani na Ukraine zatangaza marufuku ya uagizaji wa bidhaa za kilimo kutoka Ukraine

    Poland na Hungary, ambazo ni nchi jirani na Ukraine, Jumamosi wiki iliyopita zilitangaza marufuku ya uagizaji kutoka Ukraine wa bidhaa za kilimo hadi Juni 30. Serikali za nchi hizo zinasema hatua hiyo inalenga kulinda wakulima wa ndani. Slovakia imefanya hivyo pia jana Jumatatu. Bidhaa za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…