kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Police Force kuwa Police Service!

    Nimesikiliza Leo bungeni, mbunge Ado akiichangia kutaka mfumo wa police uwe wa police service! Najiuliza wataanza upya mafunzo? Na Hawa waliopo madarakani Police watabadilika au wataachishwa kazi? Mazoea mabaya! Ahsanteni sana .
  2. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 3,000/= tu. Delivery...
  3. JamiiForums Tanzania Mpina: Kuna tuhuma za wizi wa kutisha! Deni la serikali lapaa kutoka trilioni 60.7 hadi 115.2 kwa miaka mitano

    "Kuna tuhuma ya wizi wa kutisha kwenye mikopo ya serikali ambapo kwa miaka mitano iliyopita deni la serikali limeongezeka kutoka trilioni 60.7 Machi 2022 hadi trilioni 115.2 Februari 2026, sawa na ongezeko la trilioni 54.3. Deni limeongezeka kutoka ukuaji wa wa asilimia 7 hadi ukuaji wa asilimia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania TUNASAMBAZA MBAO KAVU KWA BEI YA JUMLA KILA WIKI KUTOKA NJOMBE KUJA DAR ES SALAAM & PWANI.

    •Unahitaji mbao kwa bei ya jumla na upo Dar ea salaam au pwani? •L & J TIMBER SUPPLIERS tunakuletea mbao kwa bei ya jumla hadi mahali ulipo ndani ya Dar es salaam na Pwani moja kwa moja kutoka Njombe. •Mbao zetu zimekidhi ubora & bei zetu ni nafuu sana. •Kubwa zaidi ni kwamba malipo...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wiki tatu bila maji: Wananchi wa Unyinga, Mamise na Unyakumi tunataka ufafanuzi kutoka SUWASA

    Tunapenda kufichua kero kubwa inayowakabili wananchi wa maeneo ya Unyinga, Mamise na Unyakumi na maeneo mengine mjini Singida kutokana na ukosefu wa huduma ya maji takribani wiki tatu sasa Kwa kipindi cha hivi karibuni, maeneo haya yamekuwa yakikumbwa na ukosefu wa maji kwa siku nyingi...
  6. JamiiForums Tanzania Wakimbizi wa Ulaya kutoka Mashariki ya kati na nchi za kiislamu wana matatizo!!

    Angalia video hapo chini ndipo utajua Wafuga Midevu na Majini wana matatizo sana vichwani mwao!!
  7. JamiiForums Tanzania Ni kweli Wanaume hawapendi kuulizwa maswali haya sita kutoka kwa wenza wao?

    1. "Uko wapi?" (The Tracking Syndrome) Kisaikolojia: Mwanamke huuliza kwa usalama, lakini mwanaume husikia kama anafuatiliwa au haaminiki (distrust). Ushauri: Badala yake, sema: "Natumai uko salama huko uliko, nakusubiri nyumbani." Hii inampa hamu ya kurudi. 2. "Nipike nini?" au "Tule nini...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kuna ongezeko kubwa sana la chuki kutoka kwa wananchi kwenda kwa viongozi wao

    Nimekuwa nafuatilia vyombo vya habari hususan mitandao ya kijamii na mazungumzo ya watu mitaani. Siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la chuki kwa viongozi wakuu wa nchi. Chuki hizi zaweza kuipeleka nchi pabaya, je nini kifanyike.
  9. JamiiForums Tanzania Usijifunze mafanikio kutoka kwa wanawake, utaumia!

    Nimeona Instagram influencer mmoja anaitwa niffer, anauza cosmetics ameshare historia ya maisha yake, kwamba alikua anauza chakula 2019 hapo mijini daresalam kariakoo, 2023 akaanza kuuza vipodozi, ana mall kama 4 ivi, anasafiri kila sehemu duniani, naona watu wakimpongeza kweli kweli. Broo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi: Kutoka Kwenye Udhibiti wa Kisiasa Hadi Kwenye Ulinzi wa Nguvu Kazi na Mamlaka ya Kidijitali.

    KWA: Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Viongozi Wote wa Mataifa ya Afrika. KUHUSU: Vita Mufilisi Dhidi ya Sauti za Wananchi na Kupuuza Bomu Halisi la Kiuchumi na Usalama wa Taifa. Waheshimiwa Viongozi, Nawaandikia waraka huu wa wazi kutoa tahadhari ya kimkakati kuhusu mwelekeo wa sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Wawekezaji wengi hasa kutoka nje wananyanyasa wazawa Tanzania

    Salama. Wawekezaji wengi hasa kutoka bala la Asia hawa wachina ,wakorea ,Mahindi ni watu ambao wanawanyanyasa sana wazawa kwenye maeneo waliyowaajili. Hawa watu ni hawazingatii kabisa sheria za kazi na wanakuaga na kauli Tata za matusi ,malipo kidogo ,hawana huruma wala utu kwao wanaamini...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna import maji kutoka nje baada ya miaka 64 ya uhuru

    Hii chupa ya dripu ina nusu lita ya kimiminika aina ya ‘maji’. Lebo hapo inasema "0.9% w/v" Sodium Chloride (chumvi). Kwa kifupi, maana yake ni kwamba 99.1% ya hii chupa ni maji. Kwenye hii dripu ya 500 ml, kuna gram 4.5 ya chumvi. Kilichobaki 495ml ni maji. Haya maji yamekuja kutoka India kwa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutohama kwa Mshahara wa Mtumishi baada ya kuhama kutoka halmashauri moja kwenda nyingine

    OW-TAMISEMI wanatumia vigezo gani kuhamisha mishahara na taarifa za utumishi? Kama wanataka rushwa waseme ili niwatumie wanihamishie taarifa zangu, haiwezekani mwaka wa pili huu tangu nihamie halmashauri nyingine lakini taarifa na mshahara zinasoma halmashauri nilikotoka hii siyo sawa...
  14. JamiiForums Tanzania Eti mtakatifu kashia utuombee, hauwezi kukuta bwana Mabula kutoka Manolea Tabora wazungu kumkiri ni mtakatifu, Waafrika bwana ni shida kwelikweli

    Mtakatifu Rita alizaliwa tarehe 22 Mei 1381 huko Kashia (italia). Alibatizwa akaitwa Margarita, tangu utoto wake aliazimia kumtumikia Mungu katika Konventi ya Mt. Austino huko Kashia, lakini alipokuwa na umri wa miaka Kumi na miwili, alilazimishwa na Wazazi wake na kuolewa na Kijana mmoja...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Soko la Maua la Dounan ni pepo ya duniani inayovutia wageni kutoka nchi mbalimbali

    Soko la Maua la Dounan, lililoko Wilaya ya Chenggong, mji wa Kunming, Mkoa wa Yunnan, ni soko kubwa zaidi la biashara ya maua barani Asia. Soko hili lenye shughuli nyingi huvutia wageni kutoka nchi mbalimbali kutokana na aina zake nyingi na za kustaajabisha za maua. Wakati huohuo soko hili...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubovu uliopindukia wa barabara ya kutoka Mbalizi - Songwe Viwandani

    Barabara ya lami kutokea junction pale Mbalizi kuelekea Songwe viwandani ina mashimo mengi sana ambayo yamechangia kuharibu vyombo vya usafiri. Mamlaka husika imekuwa ikiziba mashimo hayo kwa kutumia malighafi isiyokuwa na ubora, ambayo imepelekea mashimo yaliyozibwa kuibuka tena. Lakini kuna...
  17. JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Picha Adimu Hazikupata Kuwepo za Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    Mkutano wa ndani wa TANU nyumbani kwa Ali Msham Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa miaka ya mwanzoni 1950 Fatilia ukurusa huu In Shaa Allah nitaweka picha zaidi kila nipatapo nafasi. Tumia picha upendavyo hazina hati miliki. Picha hii ilipigwa 1942 wakati Abdul Sykes alipokuja Dar es Salaam...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kutoka kwenye mahusiano bila vurugu?

    Wakuu, haya mahusino naona kabisa hatuna future, ila tumezoea kuwa pamoja na ndio kitu pekee kinatubakisha. Kwa namna nilivyoishi na huyu bibie sihitaji kuachana naye kwa vurugu, nahitaji tuachane kwa amani kila mtu ashike lake. NIpeni mbinu wakuu, nifanyaleje? Maana kama ni kupunguza...
  19. JamiiForums Tanzania Ulega: Nimepokea simu kutoka kwa Bibi wa Miaka 70, anapongeza Serikali kwa kukamilisha Daraja la JP Magufuli

    Bibi Hellen Bugoye (70) kutoka Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maboresho makubwa ya usafiri yaliyotokana na ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (zamani Kigongo-Busisi) linalounganisha Kigongo na Busisi. Shuhuda za...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za Wafanyakazi wa Afya Wanaojiendeleza Kimasomo Kutoka Mikoa ya Pembezoni

    Naomba kuwasilisha kilio cha wafanyakazi wa afya kutoka mikoa ya pembezoni kama Kigoma, Mara, Kagera, na Katavi, ambao wamepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo lakini wanakutana na changamoto kubwa sana ya kifedha. Wafanyakazi hawa, wakiwemo manesi, madaktari, na hata wanaosomea udaktari bingwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…