Mbappe na Bernado Silva, kutoka Monaco hadi Real Madrid

Mbappe na Bernado Silva, kutoka Monaco hadi Real Madrid

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
441
Reaction score
1,081
Miaka tisa iliyopita, Kylian Mbappé na Bernardo Silva walikuwa sehemu ya kikosi cha Monaco kilichotikisa soka la Ulaya mwaka 2017.

Wawili hao walicheza pamoja katika kikosi hicho kabla ya kutengeneza njia zao tofauti kwenye soka la kimataifa.

Sasa, mwaka 2026, historia imewarudisha pamoja tena safari hii wakiwa wachezaji wenza wa Real Madrid.

1787317128079.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom