kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo vikuu vya Sudan wahamishiwa vyuo vikuu vya Tanzania. Hongera kwa Serikali ya Tanzania

    Hongera kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hasa Rais wetu mpendwa kwa kupokea Wanafunzi wa Udaktari toka nchini Sudan. Ikumbukwe nchi ya Sudan ipo katika vita vya wenyewe kwa wenyenye. Mungu akawape utulivu, wepesi na waendelee vema na masomo yao katika Chuo cha Kikuu cha tiba...
  2. JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu zinazofanya Makocha na Wachezaji wengi kuondoka Yanga

    1. Wachezaji hawakuwa Mali yao bali ni wa Mkopo kutoka kwa Wakata Congo. 2. Kukopwa sana Pesa na Viongozi na kulipwa kwa kusumbuana mno. 3. Kilichomtokea mwenzao mmoja kuhusu Mkataba wake, kunyanyasika na kudhalilika kumewachukiza wengi. 4. Wachezaji hawataki tena kuwa sehemu ya kushuhusdia...
  3. JamiiForums Tanzania Anayejua mchakato wa nyongeza ya mshahara 2023/2024 kwa kuwa kima cha chini kimetajwa kutoka 300,000/- Hadi 370,000/-

    Naomba wale wataalam wa kimahesabu watuchakatie tujue makisio ya ongezeko la mshahara mwaka 2023/2024 Tukiwa kwenye majukwaa kama hivi si mbaya kujua Kwa sababu iliishatangazwa kianzio kutoka 300k-370k TSH. Rejea hotuba ya waziri wa fedha bungeni. Sasa tujie hizi Naomba kuwasilisha
  4. JamiiForums Tanzania Ushindi wa Taifa Stars waipa Milioni 10 kutoka kwa Rais Samia

    Baada ya Tanzania kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Niger katika uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kwa goli la Simon Msuva, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa kupitia ukurasa wake wa Instagram amendika kuwa #GoliLaMama linaendelea na Taifa Stars imejinyakulia Shilingi...
  5. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu "Operesheni Acoustic Kitty" jinsi CIA ilivyotaka kutumia Paka kama chanzo cha taarifa kutoka Soviet

    Miaka ya 1960 Shirikia la Ujasusi la Marekani lilikuww linapambana na Urusi katika vita baridi. Katika kipindi hiko Marekani ilianzisha program na miradi mbalimbali dhidi ya kupambana na Ujamaa ulioanza kuenea sehemu mbalimbali za Dunia. Kule Langley, Virginia yalipo makao makuu ya CIA walikuwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Serikali yakaribisha wawekezaji kutoka Urusi

    Serikali ya Tanzania imewakaribisha Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Serikali ya Urusi kuwekeza Tanzania kwa maslahi ya pande zote mbili na ustawi wa Dunia kwa ujumla. Mwaliko huo umetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk...
  7. JamiiForums Tanzania Furaha kutoka Gerezani, huzuni kufika Nyumbani

    Baada ya kuiona habari hii nikaona acha nivae uhusika. Ya watuhumiwa wa ugaidi kuachiwa huru baada ya miaka tisa ( 2014-2023). Katika hali ya kawaida tu mtu anapotoka kwenye matatizo basi roho yake na nafsi yake usawajika. Tokea 2014- 2023 ni miaka 9 imekatika wale walioingia gerezani kwa...
  8. JamiiForums Tanzania SoC03 Zijue taratibu za kisheria katika kudai malipo kutoka kwenye kampuni ya bima baada ya kumpoteza ndugu kwenye ajali

    UTANGULIZI Tumekuwa tukishuhudia ajali nyingi nchini Tanzania zinazokea mara kwa mara ambapo kupitia ajali hizo wapendwa wetu huweza kupoteza maisha, wengine huweza kupata vilema vya kudumu. Jambo la kusikitisha wengi wetu hatuna elimu au uelewa wa kisheria kuhusu hatua zipi zichukuliwe na...
  9. JamiiForums Tanzania List yangu ya movie/series bora za muda wote kutoka industries mbalimbali duniani

    English series 1. Game of thrones 2. Prison break 3. Breaking bad 4. Blindspot Korean Drama 1. Jumong 2. A man called god Spanish series 1. Money heist Indian movies 1. Movie yoyote ambayo yumo Aamir khana au Salman khan. 2. Baahubali the beginning na the conclusion NB: kama zitatokea kali...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania yawakaribisha wawekezaji kutoka Urusi, Balozi Mbarouk atoa neno

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Serikali ya Urusi kuwekeza nchini kwa maslahi ya pande zote mbili na ustawi wa dunia kwa ujumla. Mwaliko huo umetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi...
  11. JamiiForums Tanzania Ufike Wakati Tutamani Kuona Mtu Kutoka Bara na kwenda kuwa Rais wa Zanzibar

    MBUNGE TAUHIDA NYIMBO - TUFIKIE WAKATI MTU KUTOKA BARA AENDE KUWA RAIS ZANZIBAR "Ufike wakati tutamani kuona mtu kutoka bara na kwenda kuwa Rais wa Zanzibar tuipelekeni Tanzania huko itikadi za kisiasa tusiivunje Tanzania kwani upande wetu ndiyo umoja wetu" - Mhe. Tauhida Cassian Gallos, Mbunge...
  12. JamiiForums Tanzania Somo kutoka Uchina, namna walivyoweza kuendeleza biashara ya Bandari

    Tusilaumiane bali tujifunze na tutoe mustakabali wa Taifa letu kwa upendo tu, naweka document ili tuendelee kujifunza.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya rasmi ya Shirika la Nyumba (NHC) kuhusu utekelezaji wa Sera ya Ubia wa Uwekezaji

    Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa za wapangaji wa majengo ya nyumba za shirika hilo waliopo Kariakoo Jijini Dar es Salaam kutoa malalamiko kuwa wanahamishwa pasipokuwa na mazungomzo yoyote baina ya oande zote mbili. Hii hapa taarifa kamili kutoka NHC…...
  14. JamiiForums Tanzania Weka aya/ mstari kutoka kitabu cha dini yako unaoona umeandikwa kwa ustadi, weledi na hekima ya hali ya juu

    Ukisoma vitabu vya watu mashuhuri kama shakespeare, kuna ile unakuta mwandishi ameandika kwa ustadi wa hali ya juu...yani ametumia maneno vizuri, yani maneno ameyatumia kama rangi vile kuchora picha nzuri sana inayovutia kutazama machoni. Bila stori nyingi au maelezo mengi, weka fungu la kitabu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Pump ipi bora ya kumwagilia shamba ekari 50 umbali wa mita 800 kutoka ziwani?

    Wadau ninashamba la ekari 50 ukanda wa ziwa victoria Nataka nifanye kilimo cha umwagiliaji WA mahindi na mpungu wakati wa masika na kiangazi. Shamba Kikimit 700 800 kutoka ziwani. Je, wazoefu nitumie aina gani ya pump naomba na ushauri na specifications Kwa pump za solar dizek na petrol.
  16. I

    JamiiForums Tanzania Ujerumani kutumia dola bilioni 4.3 kununulia mfumo wa ulinzi wa anga aina ya Arrow 3 kutoka nchini Israel.

    Ujerumani inapanga kutumia kiasi cha dola za kimarekani bilioni 4.3 kununulia mfumo wa ulinzi wa anga aina ya Arrow 3 kutoka nchini Israel. --- Germany is one step closer to acquiring Israel's Arrow-3 missile defence system. The German government has expressed its willingness to buy the...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini kodi ya magari mapya ni kubwa kuliko kodi ya magari ya miaka ya zamani? 2)

    Habari wana JF, Mimi naomba kuuliza: 1). Hivi ni kwanini kodi ya magari mapya ni kubwa kuliko kodi ya magari ya miaka ya zamani? 2). Inakuaje kodi ikawa kubwa kuliko bei ya kununua+kusafirisha hadi linafika bandarini Dar es Salaam?
  18. JamiiForums Tanzania Taarifa ya balozi wa Tanzania nchini Japan na fursa katika zao la kahawa kutoka Tanzania

    "Jina langu ni Baraka Luvanda, Balozi wa Tanzania nchini Japan, nikiwa na dhamana ya kuiwakilisha pia nchi yetu katika nchi za Australia, New Zealand na Papua New Guinea. Leo tumekusanyika hapa katika mojawapo ya makampuni makubwa nchini Japan yanayojishughulisha na biashara ya chakula Japan na...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

    Salaam ndugu zangu, Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake. Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa. Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC...
  20. JamiiForums Tanzania Twitter kutoka kuwa mtandao wenye heshima mpaka kuwa mtandao wa ngono

    Binafsi nilijiunga Twitter 2009, kipindi hicho ni mwendo wa internet cafe tu. Kati ya social media platform zilizoanzishwa miaka hiyo basi Twitter ilikuwa tulivu na ilitumiwa mostly with proffecionals, jonals na baadhi ya watu tunaojielewa kiufupi ilikuwa na hoja nyingi za msingi kama ilivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…