kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nauli ya basi la kutoka moshi mpaka mwanza ni kiasi gani

    Habari wakuu , naomba kuuliza...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Billionaire kutoka Abu Dhabi aongozana na watu 680 kufanya utalii. Je, Tanzania tunaweza kuvutia utalii huu?

    Bhisho Bulembu Eastern Cape, Republic of South Africa REKODI HII YA RAIS WA UAE MTAWALA WA ABU DHABI Katika mwezi Aprili mwaka 2023 mji mdogo wa Bhisho Bulembu jimbo la mashariki la Cape ambapo kulikuwa na uwanja wa ndege pekee wa,nchi ya Bantustan nchini Afrika ya Kusini uliotelekezwa na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Serikali inapambana na Wamasai kutoka Arusha kwenda pwani na Morogoro; hakuna kabila linalopitia magumu haya

    Masai amejionea rangi zote; kila anapokwenda anaambiwa kaa mbali waache wawekezaji. Amechapwa huko Ngorongoro, Manyara, Pwani na sasa huko Morogoro. Hawa jamaa hadi unawaonea huruma kwa namna wanavyopitia wakati mgumu. Kibaya zaidi viongozi wao wamekaa kimya wasisulubiwe. Sijui...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ushuru upoje kama ukiagiza mfano piece 50,000 za container za urine kutoka China

    Naombeni msaada hivi ukiagiza bidhaa online mfano pieces 50,000 za urine container kutoka Alibaba zenye thamani mfano sh. 2500000 ushuru wake hapa bongo unaweza fika shilingi ngapi
  5. JamiiForums Tanzania Hongera Mwakilema kwa kupandishwa kutoka Kamishna TANAPA hadi kuwa Mkuu wa Wilaya

    William Simon Mwakilema alikuwa ndio Kamishna wa Uhifadhi TANAPA , sasa leo Mh Rais amempandisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga , akiwa ndiye Mrithi wa Jokate ambaye ameondolewa serikalini na kupelekwa CCM , kwenye ukatibu mkuu wa UWT . Nachukua nafasi hii kumpongeza Mwakilema kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Vyombo vya dola vimeipora Ikulu kutoka kwa wananchi

    Nikiwasalimu itikieni Enzi za Mwalimu, Ikulu ya Dar ilikuwa na uzio wa michongoma na maua sambamba na uzio wa wavu eneo lenye wanyamapori wanaofugwa Ikulu. Enzi hizo tuliweza kuona uzuri na umaridadi wa Ikulu yetu. Wapita njia hususan wageni waliweza kutembea pembeni ya uzio wa Ikulu bila...
  7. JamiiForums Tanzania Jarida la Africa Events Kutoka Maktaba Lipo Katika Kavazi la Dr. Salim Ahmed Salim

    JARIDA LA AFRICA EVENTS KUTOKA MAKTABA LIPO KATIKA KAVAZI LA DR. SALIM AHMED SALIM Hiki kisa nimepata kukieleza siku za nyuma na hivi karibuni nilipokuwa naandika kuhusu uzinduzi wa Kavazi la Dr. Salim. Mke wangu alikuwa katika Tume ya Warioba ya Katiba pamoja na Dr. Salim Ahmed Salim. Siku...
  8. JamiiForums Tanzania Nimepokea mzigo wa kwanza kutoka AliExpress

    Wakuu habari. Baada ya kusoma ule uzi ambao jamaa alielezea jinsi ya kuagiza smart watch kutoka AliExpress na mimi nikasema wacha nijaribu. Kuna simu yangu ilivunjika kioo nilipouliza dukani nikaambiwa kinauzwa laki na nusu. Nikasearch AliExpress nikakuta kinauzwa 58,000. Niliweka oda na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sababu ya kusafirisha mafuta kutoka Uganda kupitia Bomba mpaka Tanga

    Za weekend wanaJF, Nimekuwa nikifikiria sababu inayotumiwa na nchi za Afrika kusafirisha mafuta kupeleka nchi za mbali bila kupata majibu. Nilitegemea mafuta ya Uganda na Tanzania tungeya-,process hapa kwetu Africa sababu sisi ni watumiaji wa bidhaa hii muhimu halafu ndio tuuze nje. Lakini...
  10. JamiiForums Tanzania Kampuni ya basi Machame safari Kutoka Dar ~ Arusha zimeadimika barabarani shida nini?

    Hii kampuni ilianza Kwa speed ya 5G , Kwa safari Za Dar Es Salaam kwenda arusha. Ili fungua Ofisi kila mahali Huku Dar Es Salaam na Arusha . Ukilipanda ulikuwa Unapewa soda , juice na pipi sasa gari zimeadimika barabarani Tatizo ni nini!! Au wanahisi walichomoa Huku Hisa zao!!
  11. R

    JamiiForums Tanzania Live kutoka kuzimu!

    INTRODUCTION. Sikutishi, Ninakupa UKWELI Ili uamue mahali pa kwenda utakapokufa. MBINGUNI ni makazi ya Walio hai. KUZIMU: Ni nyumbani kwa wafu, ni gereza la kuwatunza wafu wakipitia mateso kabla ya HUKUMU ya Mungu. Mateso yanayoendelea mahali hapa yanafanywa na Mapepo na Mashetani Kwa Roho...
  12. JamiiForums Tanzania Nataka shift kutoka DUCE niende main campus

    Hello, Je, mtu akitaka kushift kutoka DUCE kwenda main campus inawezekana? First year GPA 4.8 , na ni step zipi za muhimu za kufata. Reason: Kuna course ambazo hazipo Duce Bali zipo UDSM main campus kwa mwaka wa pili na wa tatu ambazo muhusika anataka to take along with his degree Thanks in...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa tumeshindwa kweli kutoka hapa tulipo hata kwa mambo madogo?

    Wakuu habari za wakati huu, Kama Taifa kwa miaka 60 tumeshindwa kupiga hatua katika kila nyanja hata mambo madogo yametushinda inashangaza hata mambo madogo ya wananchi kuzaa kwa mpangilio tu ili kumudu gharama za maisha haiwezekani? Mtu ana chumba kimoja ana watoto wanne mtu huyu atapiga...
  14. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua Wasafirishaji mizigo kwa anga kutoka UK to Tanzania?

    Habari, mwenye kujua kampuni kongwe inayohusika na usafirishaji mizigo kutoka Uk ilionunuliwa kupitia ebay au amazon ama duka lolote, nitashukuru kwa msaada
  15. JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha umissionari wa kupeleka Ukristo kutoka Afrika kwenda Ulaya na Marekani, naombeni mawazo

    Wakuu nimegundua Ulaya na Marekani kuna upagani mwingi sana. Wala hakuna ukristo kule ni zuga tu. Sina wasiwasi na uarabuni na china, Maana huko kwa utafiti wangu kuna wakristo kificho wengi sana ila wanaingia misikitini na kuswali kwa ajili tu ya usalama wao. Nimefikilia hawa wazungu kabla...
  16. JamiiForums Tanzania Maharage Chande kutoka Ukurugenzi TANESCO hadi Postamasta - amepanda au ameshuka?

    Umofia kwenu Uteuzi uliofanywa na Rais Samia kwa kumtoa Maharage Chande TANESCO na kumpeleka kuwa Mkurugenzi TTCL na hatimaye ndani ya siku mbili akamteua kuwa PostaMasta inaleta tafakuri jadidifu kidogo. Sisi wanaNzengo tunaweza kuwa na maswali yanayosumbua bongo zetu Cheo cha Postamsta kina...
  17. JamiiForums Tanzania Tupeane uzoefu wale walioanzia chini na kutoka kimaisha

    Miaka ya nyuma kidogo tulikuwa tunasikia shuhuda za watu waliofanikiwa kimaisha kuna matajiri walianza kufanya biashara za ajabu ukimuona sasa huwezi kuamin Wapo walioanza biashara kuuza karanga kutembeza mitaani hadi kuja kumiliki magorofa Wapo walikuwa machinga mitaani wanatembeza ungo na...
  18. JamiiForums Tanzania Walioenda interview ya TRA UDSM mliingia na kutoka saa ngapi? Kuna mchezo nataka kuchezewa hapa

    Kabla sijafikiria vibaya, naomba nifahamu muda mlioingia na kutoka katika interview ya TRA UDSM, ahsanteni
  19. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia weka maDED kutoka taasis zilizofanya vema usimamizi wa Miradi

    Kumekuwa na shida ya kupata MADED waliokuwa na uwezo wa kusimamia Halmashauri hasa upande wa Miradi ambako Fedha zimekuwa zikichotwa hovyo, hii ni kutokana na MADED wengi wamekuwa wakiteuliwa kutoka LUMUMBA, wengi wao wakiwa ni makada na hawana taaluma au uzoefu wa kuendesha ofisi hasa katika...
  20. JamiiForums Tanzania Sho Madjozi: Msanii kutoka South Africa anae zungumza kiswahili kwa ufasaha

    Am so proud of my language Kiswahili. We must promote kiswahili . Kiswahili the language of Africa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…