kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Maoni kutoka ughaibuni juu ya tawala wetu

    sikiliza
  2. Damaso

    Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Ruvuma, kimeiomba serikali kuwaongezea walimu kikokotoo kutoka asilimia 40 mpaka asilimia 50

    Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Ruvuma, kimeiomba serikali kuwongezea walimu kikokotoo kutoka asilimia 40 wanayopokea sasa hadi kufikia asilimia 50 waliyokua wakiipokea awali ili iweze kuwapunguzia makali ya maisha na kuongeza ari na tija zaidi kwa walimu kufundisha wanafunzi...
  3. The redemeer

    Papa Francis kutoka mbeba taka hadi kuwa pope

    Kuanzia Mkusanya Taka Hadi Papa wa Watu — Safari ya Jorge Mario Bergoglio Alizaliwa Buenos Aires kwa wazazi wahamiaji kutoka Italia, Jorge Mario Bergoglio alikulia katika familia ya hali ya chini yenye maisha ya kazi na kujituma. Maisha yake ya awali hayakuwa ya kifahari—alifanya kazi kama...
  4. Under-cover

    Mawakili wako kazini kesi ya Lissu kwa Hoja hizi

    MAWAKILI WAKO KAZINI KWA HOJA HIZI- 1. Lissu kagoma kuhudhuria Mahakama kwa njia ya Matandao. Anataka aletwe Mahakamani kwa mujibu wa sheria. 2. MAWAKILI wametoa hoja nzito sana kwamba kwa kuwa shauri limepangwa kusikilizwa kwa awali [Preliminary Hearing] masharti ya kifungu cha 192 [1] cha...
  5. radhiya

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Contact/Mawasiliano: 0784...
  6. radhiya

  7. radhiya

  8. K

    Siku hizi wadada hawaombwi tena namba, bali mvulana unaulizwa kwa nini hunaga namba yangu

    Hasa Hawa wadada wanaocheza michezo ya mtu kutoka kila siku😃😁😁
  9. Bhikalamba

    Kumekucha! Kumekucha ! Huyu ni Askofu Bagonza

    Ni vyema watawala wetu wakazingatia ujumbe huu mahususi kutoka Kwa mtumishi huyu wa Mungu mwenye maono aliyekataa nira ya watawala. Mtu huru na aliye objective. Nisiwachoshe hebu tumusikie wenyewe
  10. radhiya

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Contact/Mawasiliano: 0784...
  11. Cainan

    Kuagiza Lorry kama spare kutoka nje ya nchi ili kupunguza makali ya Kodi

    Habari za jioni wakuu , nimeangalia kikokotoo Cha TRA kuhusiana na uagizwaji wa scania P420 8x4 skip loader ya 2011 na Kodi yake imekuja wa kutosha almost 82,000,000Tsh Sasa nilikuwa Nauliza kwa wajuzi kuwa inawezekana ukaagiza gari ambayo ikatenganishwa cabin , engine na Chasis ili kuja...
  12. Fbn

    Na wasiwasi na Harusi ya JUX na pesa zinachezewa na CCM kutoka serikali

    Lisemwalo lipo mtakuja kusikia Ripot nyengine ya CAG kuhusu ccm inavyotumia pesa vibaya kwa kutumia wasanii. JUX uwezo wa kukatia tiketi watu wote au waliokuja naijeria ni uwongo na wote waliokwenda kule hawana pesa za kuchezea. Usijeshangaa pesa walizopata ni kuishawishi CCM ya serikali kuwa...
  13. Echolima1

    Kombola la Ballistic kutoka Yemen lapopolewa asubuhi hii huko Israel

    Baada ya magaidi kupata kipondo cha kufa mtu baada ya hifadhi zao za mafuta kuangamizwa Wahouth wa kaamua kumali Zia hasira zao kwa kurusha makombola ya Ballistic kwa israel ambayo nayo yote yamepopolewa kwa ustami wa hali ya juu na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel. Wahouthi sasa hivi...
  14. radhiya

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Contact/Mawasiliano: 0784...
  15. Echolima1

    Marekani inafanya mashambulizi kwenye vituo vya kuhifadhia mafuta Yemen

    Magaidi wa Houth huko Yemen wanaendelea kupata kipondo cha kufa mtu kutoka majeshi ya Marekani baada ya vituo vyao vya kuhifadhia mafuta kuangamizwa na majeshi ya Marekani usiku wa kuamkia leo. Kipigo cha leo kitasababisha upatikanaji wa mafuta nchin humo kuwa mgumu sana kwa wananchi na utawala...
  16. L

    Huwezi Kupata Kamwe Picha Kama Hii kutoka CHADEMA ya Stephen Wasira Akisalimiana Na Protase Kardinali Rugambwa hii Leo.

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa na heshima na kuheshimika ni jambo la kawaida kukutana na kukutanishwa na watu wenye heshima kubwa katika jamii. Ni kawaida kwa mtu anayeheshimika kuona akifanya mazungumzo na majadiliano na watu wenye heshima kubwa . Ni kawaida kwa chama kinachoheshimika kama CCM...
  17. johari Joh

    Pata samaki fresh kutoka ziwa Victoria

    Kama unahitaji Samaki weka order yako lipia utumiwe mzigo wako . • SATO. 1. Wabichi. 2. Kukaanga. 3. Kg 13,000. • SANGARA. 1. Wabichi. 2. Wakavu. 3. wakukaanga. 4. Kg 11,000. • DAGAA. 1. Wabichi Kg 5,000. 2. Wakavu Kg 8.000. 3. Wakukaanga. 18,000. •...
  18. Msela Wa Kitaa

    Je, jeshi linalolinda mfumo usio wa haki bado ni la wananchi? (mtazamo kutoka Afrika Mashariki hadi Sahel)

    Katika siasa za Afrika, kuna tofauti kubwa kati ya majeshi ya baadhi ya nchi. Wengine hujiona kama watumishi wa dola, wengine kama watumishi wa watawala, na wachache kama wakombozi wa kweli. Nimekuwa nikifuatilia mifano mbalimbali, na hii ndiyo taswira niliyoona: 1. Madikteta wengi huweka watu...
  19. FestoKaguo

    Feedback kutoka kwenye ule uzi wa OKX na give away zake

    Habari wana JF hope mnajiandaa vyema kabisa na pasaka wiki hii Wiki kadhaa zilizopita nilishare thread humu iliyokuwa inahusu blockchain and cyptocurrency especially kwenye kipengele cha crypto exchanges. Kwenye huo uzi nilielezea kuhusu zawadi au Give away zilizokuwa zinatolewa na exchange ya...
  20. UMUGHAKA

    Hii Dunia Ina vituko sana,Kuna watu wanasema Real Madrid anamtoa Arsenal

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Yaani Kuna Vichaa wanywa komoni kutoka pale Bitaraguru na Wanywa Ulanzi kutoka pale Kilolo wanapanua na kukenua Kwa bashasha wakiamini kabisa ya kwamba Arsenal (The Gunners )anakwenda kutolewa na timu ya Wazee Vijana (Real Madrid). Huwa kila siku...
Back
Top Bottom