kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Mr Why

    Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako

    Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako Binadamu wanatofautiana sana, wema ni wachache, jinsia yetu ya kiume inatofautiana sana kifikra, wapo baadhi ya wenzetu fikra zao zimejikita sana kwenye ngono kwa maana...
  2. L

    Bado Wengine Wazito kutoka ndani ya Sekretarieti Ya CHADEMA Wataondoka. CHADEMA itabakia Kama Pagala.

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi nimejaliwa macho ya Kuona Mbali sana kabla ya jambo kutokea. Na wakati mwingine hutoa tahadhali Kwa muhusika au wahusika ili wachukue hatua. Niliwatahadhalisha sana CHADEMA,niliwasihi sana wana CHADEMA kuwa msithubutu hata siku moja wala kurogwa mkamchagua Lissu...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Kuruhusu wachina kuuza bidhaa kutoka China kunaweza kusababisha matumizi ya dolla kuongezeka (Import itakuwa kubwa)

    Kuruhusu Wachina au makampuni ya kigeni kuuza bidhaa kutoka nchini mwao moja kwa moja katika soko la Tanzania, kunaweza kuwa na athari kadhaa kiuchumi mojawapo ikiwa ni kuongezeka kwa matumizi ya dola za Kimarekani (USD). Hii hutokana na mambo haya: 1. Kuongezeka kwa uagizaji (imports); Bidhaa...
  4. Fbn

    Mtu mwngine amepandikiziwa kifaa cha akili bandia kwenye ubongo kutoka kampuni ya Elon Musk imeleta faraja kubwa

    Los Angeles, Mei 7, 2025 – Mr. Smith ameweka historia kwa kuwa miongoni mwa watu wachache waliopokea upandikizaji wa kifaa cha Neuralink – teknolojia ya hali ya juu inayowezesha mawasiliano ya moja kwa moja kati ya ubongo na kompyuta. Operesheni hiyo ilifanyika kwa mafanikio katika kituo cha...
  5. stabilityman

    Jinsi ya kutoka kwenye kifungo cha madeni

    JINSI YA KUTOKA KWENYE KIFUNGO CHA MADENI Hii ni kwa wale walioko kwenye madeni tayari. 01.ONGEZA KIPATO CHAKO Hakikisha unaongeza uzalishaji wa kipato chako, tafuta somo linaloeleza Jinsi ya kuongeza kipato chako hapa Darasani.Hakikisha matumizi huongezi. 02.PUNGUZA MATUMIZI YAKO Lengo ni...
  6. M

    Je, Tanzania ipo tayari kukabilian na vikwazo kutoka umoja wa Ulaya?

    Kwa jinsi hali ya hewa ya kisiasa ilivyo nchini ni wazi kuwa kuna vikwazo vinakuja huko mbele. Je, Tanzania inaweza kukabiliana navyo? Pia soma > Pre GE2025 - Bunge la Ulaya kufanya kikao cha dharura Mei 7, 2025 kujadili suala la Tundu Lissu, baadae kupiga kura Mei 8, 2025
  7. Echolima1

    Baraza la mawaziri la usalama la Israel liliidhinisha mpango wa Kuitwaa Gaza kutoka mikono ya Magaidi wa Hamas

    Baraza la mawaziri la usalama la Israel liliidhinisha mpango wa kupanua mashambulizi ya kijeshi huko Gaza, kwa lengo la kuishinda Hamas, kudhibiti eneo na kuwaachilia mateka. Mpango huo ni pamoja na kuwahamisha raia, kuwazuia Hamas kuchukua misaada, na kudhoofisha udhibiti wake. Utekelezaji...
  8. Mende mdudu

    Mpango wa Rwanda kupokea wahamiaji kutoka Marekani (kwa Trump) si tishio kwa usalama wa Afrika Mashariki?

    Serikali ya Rwanda imetangaza kwamba iko katika mazungumzo ya awali na serikali ya Rais Donald Trump kuhusu kuwapeleka nchini Rwanda wahalifu waliokamilisha adhabu zao magerezani nchini Marekani. Kauli hii imezua maoni mseto nchini Rwanda na hata kwa africa mashariki watu wenye historia ya...
  9. mirindimo

    JINSI PESA INAVYOIBWA KWENYE SIMU ILIYOPOTEA KUTOKA KWENYE MTANDAO AU BANK

    Unapo poteza simu na kuacha ku block ile line kinachofanyika yule aliechukua simu iliyopotea anatoa line kisha anaenda kwa mtu anae sajili line ambao tumewaona wengi sana mtaani na mashine zao, anampa ile line ya simu ili waweze kupata taarifa za usajili wa NIDA wa line husika. Kisha baada ya...
  10. U

    Hawa ni Mapapa watatu kutoka Afrika na namna walivyoubadilisha Ukristo

    Hatimaye BBC wameokoteza habari kuonesha kwamba hata bara la Afrika lilishawahi kutoa papa. Hii inaua hoja kwamba, safari hii Papa atoke Afrika. Ikiibuka hoja ya kutaka Papa Mweusi, tutasema huo ni ubaguzi wa rangi katika dini! Habari kamili; Afrika Kaskazini ambayo wengi wao ni Waislamu...
  11. ELI COHEN

    Mtu anahangaisha kichwa chake kuhakikisha kuwa Yesu sio Mwana wa Mungu lakini mtu huyo huyo anaamini kitabu chao cha dini kilipokelea kutoka mbiguni😁

    Sawa, wala sijali unaamini nini, naheshimu unacho kiamini. Ila kama unaamini vitu ambavyo wewe mwenyewe haukuwahi kushuhudia sasa kwanini unakataa kuamini vitu vingine vinavyoaminiwa na watu wengine walio kama wewe ingawa wana itikadi tofauti. Sasa nani mshamba? wewe unaepata maelekezo ya mtu...
  12. M

    Umuhimu wa Kuweka Spare Parts Halisi kutoka jerry spare parts and services Tanzania – Je, Watumiaji Wengi Wanaelewa?

    Kama fundi ambaye nimekuwa kwenye hii fani kwa muda sasa, nimegundua jambo moja ambalo linaumiza wateja wengi – matumizi ya spare parts zisizo halisi kwa sababu tu ya bei kuwa ndogo. Watu wengi wanapokuwa kwenye harakati za kutengeneza magari yao, hasa kwenye maeneo muhimu kama brake system...
  13. S

    Maono: Tundu Lissu yuko jela ili awe salama na kisha aje achukue uongozi wa nchi hii kutoka jela

    Sina mengi ya kusema ila ukweli ndio huo na hii ni kazi ya Mungu (NATURE). Angebki uraiani, ingekuwa ni hatari zaidi kwake . Kwahiyo, NATURE imemtafutia sehemu salama ingawa tunaona kama anateseka. Pia, kuwepo kwake ndani, kunachochea hamasa ya mabadiliko. Kwa kifupi, yuko jela kwasababu kuu...
  14. GENTAMYCINE

    Je, Mfanyakazi wa Tanzania anatakiwa kabisa kufurahia kwa Mshahara wake kupandishwa kutoka Shilingi 370,000 hadi Shilingi 500,000?

    Kwa Ukokotoaji wangu wa huo Mshahara mpya wa Shilingi 500,000 na kwa hali ya sasa ya Kimaisha nimejikuta nikiutumia Kikamilifu kama ambavyo Roho Mtakatifu anataka, Katiba ya Tanzania inavyotaka, Mke na Mahawara wanavyotaka wote utaisha ndani ya Siku Saba tu za mwanzo na kwa Siku zote ama 21 au...
  15. MK254

    Nimekumbana na matusi ya kufa mtu kutoka kwa GenZ kisa nimehoji uhakiki wa "maendeleo" anayofanya Ibrahim Traore

    Huyu dogo alichukua uongozi kimabavu na baada ya hapo akawa anasifiwa Afrika yote na mitandao ya kijamii, sawa tufumbie macho hilo la kutumia nguvu kwenye kuchukua uongozi, maana kuna viongozi wengine huganda kwenye uongozi na kuharibu nchi mpaka unatamani tu hata jeshi lichukue nchi, tuje...
  16. Webabu

    Wadruze huko Syria wasema hawataki misaada ya kichonganishi kutoka Israel

    Viongozi na wanajamii wa Druze huko kusini ya Damascus wameweka wazi kuwa wao wapo pamoja na serikali mpya Syria katika kujenga Syria mpya. Siku chache zilizopita kulisambaa ujumbe wa sauti maeneo ya Ashrafieh Sahnaya ukihusishwa na kiongozi wa jamii ya Druze kumtukana mtume Muhammad saw.Jambo...
  17. ELI COHEN

    Kama umekuta umejaliwa wingi wa mali then kuwa makini na ushauri dhidi ya uendeshaji wa familia yako haswa kutoka kwa ndugu.

    Mara nyingi unakuta roho zinauwaumia kwa ndani kutokana na makali ya mafanikio yako,. Watoto wao kutoweza kukufikia maendeleo, Shuguli zake hazilipi kama zako, etc Directly, hawawezi kuku-affect ili ushuke na ubaki kufanana na wao so wanapopata chance adhimu ya kukushauri jambo lililo personal...
  18. radhiya

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Contact/Mawasiliano: 0784...
  19. Just Pray

    PreGE2025 Mbunge Kibamba: Ndani ya uhai wangu CCM haiwezi kutoka madarakani, labda nisiwe hai

    “Ndani ya uhai wangu CCM haiwezi kutoka madarakani, labda nisiwe hai” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba
  20. Championship

    Kutoka Dar kwenda Mtwara ni aibu kwa barabara hii

    Watu wa kusini mlitenda dhambi gani hata mkaachwa na barabara mbovu hivi? Sitarudia tena kuendesha gari binafsi njia hii.
Back
Top Bottom