kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Wabunge na watumishi wa umma isikieni sauti iliayo nyikani

    Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alisema mwaka 1995 kuwa "Ukipewa kazi ya nchi, lazima ujiheshimu. Huwezi kupewa kazi ya nchi halafu ukaishi kihunihuni." Ni kweli kuwa dunia inaenda kasi na pia wakati ni ukuta; muda ni mchache na mambo ni mengi lakini kama umepewa kazi ya nchi ni...
  2. L

    Hongera wanawake wa Afrika Mashariki, lakini kuna ya kujifunza kutoka kwa wanawake wa China

    Katika nusu ya kwanza ya mwaka huu eneo la Afrika Mashariki limeng’ara tena kwenye ramani ya dunia, kwa wanawake wake kuwa kwenye nyadhifa za juu za utawala. Kwanza ni nchini Tanzania ambako rais Samia Suluhu aliapishwa kuwa Rais, na nchi Kenya ambako Bibi Martha Koome alichaguliwa kuwa jaji...
  3. Rais Samia kutoka nia ya kukutana na vyama vya upinzani hadi "Ngoja tuimarishe uchumi kwanza"

    Moja ya kauli za mwanzo kabisa za Rais Samia ambazo zilileta msisimko nchini ni kusudio lake la kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani. Msisimko ulitokana na ukweli kwamba Rais Magufuli hakuwa na mpango wa aina hiyo kabisa, badala yake mkakati wake ulikuwa kuviua kabisa vyama vya upinzani...
  4. A

    Hii ni picha ya kuchora, inamuonyesha binti mtumwa kutoka Afrika akiwa Uarabuni

    Inauzwa katika minada ya antique, ni picha chache za kuchora ambazo bado zinapatikana. Nimevuta hisia, maisha way huyu binti si ajabu hajui hata wazazi wake walipo. Sura yake haionyeshi furaha bali ina ujasiri. Ni mara chache sana kuona kumbu kumbu za Watumwa waliokwenda Arabuni. Wengi wao...
  5. Ujumbe wa Tahadhari kutoka Hospitali ya Taifa

    UJUMBE KUTOKA HOSPITALI KUU YA TAIFA Tafadhali mjulishe mkeo kuhusiana na hili, , Hii ni tahdhari muhimu kutoka wataalamu wa afya [ LUTH ] kwa wanawake wote wawe watoto wachanga, wasichana, mabinti, wanawake, akina mama; saratani ya kizazi imeenea tafadhali epuka kuosha sehemu zako za siri kwa...
  6. Nchi zenye Uchumi mkubwa Afrika -Tanzania yaporokoma na kutoka 10 bora

    Nawasalimu kwa Jina la JMT. Kwa Mujibu wa makadirio ya Nchi zenye Uchumi mkubwa yaliyofanywa na shirika la fedha Duniani IMF kwa mwaka 2021,Tanzania imeporomoka na kushika nafasi ya 11. Kwa miaka zaidi ya 10 ,Tzn imekuwa miongoni mwa Nchi zenye Uchumi mkubwa barani Africa kwa GDP,lakini kwa...
  7. Msaada: Jinsi ya kutuma sms kutoka excel

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka Nataka kutuma sms kwa watu wengi kila mtu na sms yake Nimeshatengeneza excel file yenye collum Jina|Phone number|SMS Ujumbe upo tayari tatizo ni jinsi kutuma kwenye hizo phone number
  8. W

    Tunauza vifaa mbalimbali vya magari

    Usiharibu gari yako kwa Spacer nitafute kwanamba +255742662669 kwa sport shock-ups zasaizi yauvungu unaouhitaji katika gari yako.Kwa spare nyingine za Magari pia karibu Dukani Mwananyamala Komakoma.
  9. Uzinduzi wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo ya Taifa: Kutoka Hofu na Mashaka Hadi Furaha na Matumaini

    Waziri Mkuu wa Tanzania akionyesha nakala za Mpango wa tatu wa Maendeleo wa Taifa wa 2021/22 hadi 2025/26 leo wakati wa uzinduzi wake Mjini Dodoma Nimefurahi kuona luninga ya TBC1 leo asubuhi ikizindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa kwa ajili ya kipindi cha 2021/22 hadi 2025/26. Wakati...
  10. B

    TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

    Patrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi tajwa nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS. Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP ===== Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Injinia Mfugale amefariki Jijini Dodoma. Mfugale jana aliondoka na ndege akiwa na...
  11. Baada ya Mdude Nyagali kutoka, sasa waliomtesa wafunguliwe mashtaka

    1. Waliohusika kumkamata wafunguliwe mashtaka. 2. Waliomtesa wafunguliwe mashtaka. Tatizo kubwa la Watanzani wengi wana short term vision. Tayari wamesharidhika. Mdude asaidiwe waliomtendea huyo Unyama wote wafunguliwe mashtaka. Wasiachwe hivi hivi. Ili next time wanapotakwa kufanya huo unyama...
  12. Q

    Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

    Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya. Mpaluka Mdude Nyagali alikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin gramu 23.4 mwaka 2020. Mdude...
  13. J

    Rais Samia kupokea ripoti ya miezi mitatu (Januari-Machi) ya Benki Kuu kutoka kwa CAG

    Rais Samia amesema CAG ameshakamilisha ripoti ya CAG kuhusu Benki kuu kwa kipindi cha kuanzia January hadi March 2021 na ataikabidhi kwake siku ya Jumatano au Alhamisi. Umma utaelezwa yaliyomo ndani ya ripoti hiyo, amesisitiza Rais Samia. Chanzo: ITV
  14. Museveni is very ill and admitted in a hospital here in Nairobi

  15. Kwakuwa alituvusha salama kutoka Awamu ya Tano, nashauri daraja la Tanzanite liitwe Samia

    Ni shauri wangu Kwanza linavuka bahari, ni ishara ya kuvuka awamu moja kwenda nyingine, pili in ishara ya upatanisho kati ya upande mmoja na mwingine, kisiasa, kiuchumi, kijamii, anapatanisha nchi, anaunganisha kama daraja linavyounga pande mbili. Tanzanite ina asili ya huko ilikotoka, iwepo...
  16. M

    Rabbi Mkuu wa Israel aagiza muinjilisti aliyejifanya myahudi afukuliwe kutoka kwenye makaburi ya wayahudi

    Chief Rabbi wa Israel, ameagiza Muinjilisti mwanamama Amanda Elkohen aliyefafariki kwa ugonjwa kansa ya utumbo na kuzikwa katika Makaburi ya wayahudi huko Israel, mwili wake ufukuliwe kutoka katika makaburi hayo. Muinjilist Amanda pamoja na mumewe, walikuwa wakijifanya nao ni wafuasi wa dini ya...
  17. FAIDA ZA EAC: Tanzania tunapokea wafanyakazi & wanafunzi wengi zaidi kutoka nchi wanachama kuliko nchi nyingine

    Niko napitia gazeti la The East African hapa ukurasa wa tatu wanasema Tanzania tunaomgoza kwa kuwakaribisha watu wa nchi wanachama kuja nchini mwetu KUISHI na KUFANYA KAZI. Kwa ufupi ni kwamba Tanzania tunaongoza kutoa vibali vya kazi na makazi katika EAC. Kenya wanafuatia wa tatu ni Burundi...
  18. Mwanza inapokea 10% tu ya mizigo kutoka Dar huku Kigoma ikipokea 41% ya mizigo. SGR ya Mwanza ni White Elephant project

    Wakuu mnogage. Kwa mujibu wa BBC ikimhoji mtaalam wa Uchumi imebainika kwamba mzigo unaoingia bandari ya Dar es Salaam kuelekea Nchi za jirani via Central corridor ni asilimia 10% tu ya mzigo huo unaelekea bandari ya Mwanza wakati asilimia 41% huelekea bandari ya Kigoma. Cha kushangaza...
  19. Zanzibar: Wageni kutoka nchi tisa watafanyiwa vipimo vya haraka kabla ya kuingia

    Wizara ya Afya ya Zanzibar imetangaza watu kutoka nchi tisa ambazo tayari zimethibitisha kuwa na maambukizi ya virusi vipya watalazimika kufanyiwa vipimo vya haraka kabla ya kuingia Zanzibar Nchi zilizotajwa ni India, Uganda, Marekani, Uingereza, Peru, DR Congo, Afrika Kusini, Ufilipino na Brazil
  20. Mama anaendelea kuupiga mwingi. Anapanga safu yake kwa akili kubwa sana. Akina Kheri walipoteuliwa kuwa MaDC hawakujua ni mtego

    Kamati kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao viongozi wakuu wa umoja wa vijana baada ya viongozi hao kukubali uteuzi wa nafasi nyingine. Viongozi hao ni Mwenyekiti Kheri James, Makamu Mwenyekiti Tabia Maulid na Katibu mkuu Raymond Mangwala. Kamati kuu imewavua vyeo vyao kwa mujibu wa kanuni za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…