kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tunisia; Mwandishi wa habari kizuizini kwa kutoa maoni kumhusu Rais

    Polisi nchini humo wanadaiwa kumshikilia mwanahabari Salah Atiyah kwa kutoa maoni katika mahojiano ya televisheni kwamba Rais Kais Saied alilitaka jeshi kufunga makao makuu ya chama cha wafanyakazi cha UGTT na kuwafunga viongozi wa upinzani kifungo cha nyumbani Waendesha mashtaka wa jeshi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Rais Samia Kanda ya Ziwa yameanza kutoa picha namna uchaguzi 2025 utakavyokuwa

    Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu. Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida. Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
  3. JamiiForums Tanzania Elon Musk ailaumu Twitter kukiuka makubaliano ya kuinunua kwa kutoa maelezo kuhusu idadi ya spam na fake accounts kama alivyoomba

    Elon Musk ametuma barua ya malalamiko kwa Mkuu wa maswala ya kisheria wa Twitter akisema anaamini Twitter inakiuka merger agreement kwa kutotoa ushirikiano kuhusu idadi ya fake na spam akaunti kama alivyoomba. Wakati wa makubaliano, Twitter alidai spam na fake akaunti zipo chini ya asilimia...
  4. JamiiForums Tanzania NACTE ichunguzwe. Imeshindwa kutoa Vyeti kwa wakati vya Wahitimu wa LITA. Wanaenda kukosa ajira zilizotangazwa na Serikali

    Serikali yetu makini hivi karibuni imetangaza nafasi za ajira lukuki kwa vijana waliohitimu Mafunzo ya mifugo sehemu mbalimbali. LITA kama Taasisi ya Serikali yenye ithibati ya kutoa mafunzo hayo ikisimamiwa na NACTE imekuwa ikitoa wanafunzi lukuki kila mwaka. Ili uweze kutambulika kifani ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, unadhani muda umefika kwa mafundi ujenzi kuanza kusajiliwa na kupewa leseni ili tuwadhibiti?

    Kutokana na uhuni unaofanywa na mafundi ujenzi, wizi na ubora wa chini wa kazi serikali ianze kutoa leseni kwa mafundi ili tuweze kuwa hold accountable pale wanapohalibu kazi kwa makusudi au kuhujumu project ya mtu wawe wanapigwa faini na leseni kufungiwa pia kuwe kuna records zao ili watu...
  6. JamiiForums Tanzania China yaanza mazoezi ya kijeshi kuzunguka Taiwan ili kutoa onyo kwa Marekani

    China imekiri kuwa imeanza kufanya mazoezi kuizunguka anga ya Taiwan ikiwa ni mkakati wao kutoa onyo kwa Marekani ambao wametoa kauli ya kuonesha wameanzisha mchakato wa kuilinda Taiwan. China imesema kuwa inachofanya Marekani ni unafiki na ni kazi bure kusema jambo moja na kufanya lingine...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta apata Tuzo ya Kimataifa kwa Kutoa Uongozi Thabiti Bara Afrika

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametunukiwa Tuzo ya Uongozi Bora wa Mageuzi pamoja na Wakenya wengine saba katika hafla Kongamano la Tuzo za Sekta ya Umma Afrika (APSCA) liliyofanyika Accra, Ghana. Waandalizi wa hafla hiyo walisema kuwa Rais Uhuru alituzwa kwa uthabiti wake wa kutoa uongozi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Manispaa ya Kinondoni yalalamikiwa kuchelewesha Urasimishaji na kutoa Hati Miliki

    Manispaa ya Kinondoni yalalamikiwa kucheleswesha Urasimishaji na kutoa Hati Miliki
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ni kawaida uke kutoa upepo?

    Habari wana bodi, Nilikuwa sijafanya naye mapenzi zaidi ya mwezi mmoja kila mmoja akiwa na hamu na mwenzake. Nilishangaa baada ya kumuaanda na kuzamisha uume ndani kama vile papuchi inajambaa na ilifanya hivyo kama mara mbili kisha ile sauti ilipotea. Haijawahi fanya hivyo kabla binafsi...
  10. JamiiForums Tanzania Yang Vs Dodoma Mji. Tukifungwa au kutoa Draw sisi Yanga nipigwe Ban ya Week na pia nitatembea bila Kinga

    Hii mechi tulishashinda kitambo. Leo Mayele lazima atupie hata 2 kuondoa Gundu mlilomtupia nyie Simba. Hii team yetu kabisa.... Dodoma hawawezi kutukamia... Yanga tumejipanga hasa msimu huu kuchukua Makombe yote. Na nasema hapa tusipochukua Kombe nipigwe Ban ya Mwezi mzima. Sioni wa kutuzuia...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Shangazi Fatma Karume afika mbele ya kikosi kazi kutoa maoni yake kuhusu mambo ya katiba na mengineyo

    Mwanadada mpigania haki za binadamu na demokrasia nchini, amefika mbele ya kikozi kazi cha mheshimiwa rais kwa ajili ya kutoa maoni yake namna gani ya kupata tume huru ya uchaguzi, namna gani kufanya siasa safi nchini na katiba mpya.
  12. JamiiForums Tanzania A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?

    Wanabodi, Mimi kama kawaida yangu ni mtu wa maswali na hapa nauliza tuu, ila tuanze na kitu kinachoitwa first thing first Kwanza, Kikao cha Baraza Kuu la Chadema, ni kikao, halali, hivyo maamuzi yaliyofikiwa na kikao hicho, yamefikiwa kihalali kwa kufuata utaratibu, ila uamuzi huo ni uamuzi...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi watoto kutoa sadaka kanisani?

    Habari za leo ndugu zangu katika imani? leo naomba kujua uhalali wa watoto kutoa sadaka unakujaje. mtoto ana chanzo gani cha kipato mpaka atoe sadaka? Maana halisi ya sadaka ni nini hasa? Mada yangu ni hio wazee
  14. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Benki Kuu ya Uganda inatafakari kutoa sarafu ya kidigitali

    Benki kuu ya Uganda ipo kwenye harakati za kutafakari matumizi ya sarafu ya kidigitali Nchini humo, pia haijapiga marufuku sarafu ya kimtandao ‘cryptocurrencies’. Benki kuu ya Uganda inatafakari kutoa sarafu ya kidigitali, na haijapiga marufuku sarafu ya kimtandao “cryptocurrencies” lakini ina...
  15. JamiiForums Tanzania Dunia inatafsiri kutoa kama kupata

    KUTOA NI KANUNI YA ASILI YA ULIMWENGU INAYOMAANISHA KUPATA. Hakuna kiumbe kinachoweza kukwepa kupata. Kupata hapa namaanisha kukidhi mahitaji ya kuendelea kuwepo na pia kuongezeka. Hii ni kanuni ya asili na unapoifuata kwa kujua au kutokujua matokeo yake ni kupata. Kutoa siyo kupoteza katika...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tunajiandaa na kampeni kubwa kabisa ya kutoa chanjo ya UVIKO

    Rais Samia amesema zoezi la uchanjaji limekwenda vizuri lakini kwa sasa kumekuwa na kasi ndogo hivyo serikali imejipanga kuja na kampeni kubwa zaidi ya kuhamasisha uchanjaji ili kujikinga na virusi vya corona Rais amesema hayo alipokuwa katika baraza la Eid, Dar es Salaam
  17. S

    JamiiForums Tanzania "Sikukuu/sherehe imefana sana". Nini kigezo chako kikubwa ktk kutoa hii kauli??

    Nini huwa ni kigezo chako kikubwa kinachopelekea wewe kusema "sikukuu/sherehe fulani imfana?" Je, ni a)- kupiga msosi mzuri? b)- kuvaa nguo mpya au kuvaa vizuri? c)- kutoka out na marafiki? d)- kupata mpenzi mpya au kufanya ngono sana? Au kitu gani?
  18. JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kwa NECTA kutoa certificate za O-level

    Kama mada inavyojieleza hapo naomba kujua wastani wa muda ambao NECTA wanachukua KUTOA certificate kwa mwanafunzi ambaye anastahili kupata?
  19. JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayefahamu API's bora kwa kutoa Livestream za mpira wa miguu

    Nataka kudevelop mobile app ya ku Livestream mpira wa miguu kwa ligi za ulaya. Naomba yoyote mwenye ufahamu wa API's zinazotoa hii huduma anijuze . Au kama kuna alternative nyingine ningependa pia kusikia. Chief-Mkwawa et al
  20. JamiiForums Tanzania Kinana: Viongozi wazuri wanaogopa kugombea sababu wanajua watatakiwa kutoa fedha nyingi

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewata wajumbe wa Mkutano Mkuu Mkoa wa Kilimanjaro kuchagua watu sahihi wanaokubalika na wananchi. Aidha, amewataka kuepukana na kasumba ya kupigana fitna na tabia ya watu wenye uwezo ndani ya chama kupigwa vita ili kuwarudisha nyuma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…