Ni kawaida uke kutoa upepo?

May 29, 2020
11
52
Habari wana bodi,

Nilikuwa sijafanya naye mapenzi zaidi ya mwezi mmoja kila mmoja akiwa na hamu na mwenzake.

Nilishangaa baada ya kumuaanda na kuzamisha uume ndani kama vile papuchi inajambaa na ilifanya hivyo kama mara mbili kisha ile sauti ilipotea.

Haijawahi fanya hivyo kabla binafsi nilishangaa na kuwa na hisia kuwa labda imechakatwa siku chache before hatujakutana.

Swali langu je hii ni hari ya kawaida?
 
Habari wana bodi.
Nilikuwa sijafanya naye mapenzi zaidi ya mwezi mmoja kila mmoja akiwa na hamu na mwenzake...
Wazungu wanaita queefing huwa inatokea pale upepo unapoingia kwenye k kisha ukafosiwa kutoka nje ndo huwa inatoa mlio wa kujamba nothing else mkuu inawezekana hajaliwa au usijione una uume mdogo ni jambo la kawaida tu .

N.b
Muoe huyo binti acha maisha ya stress
 
Back
Top Bottom