Mara nyingi timu inaposhinda nyumbani, ikienda ugenini hujipanga kutafuta sare ya aina yoyote na kwa maana hiyo, hucheza zaidi mchezo wa kujihami na si kutafuta magoli.
Hali hii huzigharimu timu nyingi kwani hupelekea kushambuliwa huku yenyewe hushambulia kwa kukabiliana zaidi badala ya...