Badala ya kutoa magoli ya mchongo sasa marefa wa bahasha za khaki wageukia red kadi za mchongo

Algore

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
2,097
3,362
Baada ya mashabiki kulalamika kwamba marefa wanahongwa kuruhusu magoli ya mchongo, sasa wapuliza filimbi hao wa mchongo wamekuja na mbinu nyingine: kudhoofisha timu kiakili na kimwili kwa kuwalima wachezaji red kadi za magumashi.

Juzi hapa baada ya kuonekana kuwa wakata miwa wa turiani wamekaza, zilipigwa red kadi mbili za mchongo, wakata kuhamaki wameishapigwa mkono.

Jana sasa ndiyo ilitia fora kwani pamoja na ihefu kukomaa hadi wakata miwa wa bagamoyo kutaka kukata roho, red kadi moja tu ya mchongo kwa ihefu iliwakata maini na kuambulia kupigwa kimoja.
 
Hakika aliewaita utopolo aliwaza mbali sana
Baada ya mashabiki kulalamika kwamba marefa wanahongwa kuruhusu magoli ya mchongo, sasa wapuliza filimbi hao wa mchongo wamekuja na mbinu nyingine: kudhoofisha timu kiakili na kimwili kwa kuwalima wachezaji...
 
Baada ya mashabiki kulalamika kwamba marefa wanahongwa kuruhusu magoli ya mchongo, sasa wapuliza filimbi hao wa mchongo wamekuja na mbinu nyingine: kudhoofisha timu kiakili na kimwili kwa kuwalima wachezaji red kadi za magumashi..
Mama yako akiona ujinga ulioandika atajuta kwanini hakutoa mimba kipindi hicho.
 
Baada ya mashabiki kulalamika kwamba marefa wanahongwa kuruhusu magoli ya mchongo, sasa wapuliza filimbi hao wa mchongo wamekuja na mbinu nyingine: kudhoofisha timu kiakili na kimwili...
Kinye fc hata muandikeje,mlipewa penalty kama fadhila .

Uto acheni kuharibu soka la Tanzania.

Imagine mabingwa wa kihistoria mara 28 ila CAF wana 0.5 points tu.

Hii ni dalili kuwa wamezoea kubebwa mechi za hapa ndani.

Uto mmegeuza soka kama michezo ya kuigiza
 
Kule hakuna Kadi nyekundu za mchongo, Game zikiwa fair Aya ndio matokeo yake.
Screenshot_20221101-120651.jpg
 
Mimi nadhani kuhesabu watu syo maendeleo tu pia tujue watu wenye ulemavu wa akili Na ambao hawana ulemavu wa akili hivi Ile faulo ya juma nyoso unashindwa VP kutoa red card haya njoo sakho yupo chini mtu anakanyaga Na c Mara moja kweli mpira hauko hivyo
 
Mimi nadhani kuhesabu watu syo maendeleo tu pia tujue watu wenye ulemavu wa akili Na ambao hawana ulemavu wa akili hivi Ile faulo ya juma nyoso unashindwa VP kutoa red card haya njoo sakho yupo chini mtu anakanyaga Na c Mara moja kweli mpira hauko hivyo
Bahati mbaya jana mfalme zumaridi hakutaja idadi yetu, inawezekana tupo wengi sana. Ila kwa ile statistics ya 1:4 na wewe huchomoi
 
Back
Top Bottom