Demu tulikutana kwenye mishemishe za kutafuta Door, longtime ago , japo hatukutongozana ila tulikuwa na intimacy , jana namchek kama masikhara njoo ntembelee na akaja kwel tena usiku, demu nimelala nae kitanda kimoja godoro moja ila kakaza kabisa kutoa mzigo.
Anasema kila muhuni akimchakata...
Kuna mdau amelalamika sana kwamba ameenda hospitali ya Umma akakuta huduma ni mbovu na wagonjwa ni wengi sana ila watumishi wanapiga tu story mpaka wagonjwa wengine wanazidiwa mapokezi.
Amedai mgonjwa anapokelewa saa mbili ila hadi saa nne hajapata huduma yoyote!
Naomba nikanushe na nijibu...
Mahakama Kuu ya Dar es Salaam, Masijala Kuu inatarajia kutoa uamuzi wa maombi ya Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Halima Mdee na wenzake 18 mnamo Julai 6, 2022.
Wabunge hao wameomba kibali cha Mahakama ili kuwasilisha mapitio ya kimahakama wakipinga kuvuliwa uanachama wa chama hicho...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akitoa hoja ya kuahirisha mkutano wa saba wa Bunge la 12 la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Katika mengi aliyoyazungumzia mimi nimefurashishwa na kitendo cha...
Imebainika kuzuka kwa mbinu mpya haramu za utoaji mimba ambapo dawa zilizotengenezwa maalumu kutibu magonjwa ya aina fulani, ndizo zinazotumika kinyume kufanikisha vitendo hivyo.
Hatua hiyo inakuja kutokana na baadhi ya maduka ya dawa hivi sasa kutaka vyeti vya daktari ili kuuza dawa za kutolea...
Habari wanabodi wenzangu, Katika maisha kuna kuoa na kuolewa, hivyo kuna kutoa talaka na kupewa talaka.
Katika hali zote hizo maisha yanaendelea, kuna ambao hufanikiwa zaidi au kurudi nyuma kimaisha chanzo kikiwa ni talaka. Changamoto na faida pia hujitokeza, wengine hufikia hali kujuta kwanini...
Imekuwa ni kama kawaida sana kwa siku hizi na tokea zamani pale inapotokea mwendesha pikipiki za abilia maarufu kama bodaboda. pale inapotea bodaboda yeyote kugonga mtu au kusababisha ajari,na bodaboda huyo kutoweka kabisa na hakuna wa kumfatilia.
Tatizo kuu ambalo lipo,huyu bodaboda anaweza...
Kuna Mtu Kanikera mno leo asubuhi kaja haraka haraka kunipa Taarifa ya Mtu aliye Mgonjwa Mahututi huku akiniharakisha Kuvaa ili twende Zahanati ya Awali ili Kumuona na tutoe Msaada Kwake cha Kushangaza kufika pale nikakuta Maelezo yake na nilichokikuta kwa Mgonjwa Mahututi husika ni Vitu viwili...
Ivi Kwanini? Wasichana Wengi Uwa Wanajiona Wana Haki ya Kupewa Salamu na Sio Kutoa?
Habarini wanajamii Forums nimekuwa na kitu kinanishangaza sana tangu utoto hadi sasa kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu , imekuwa kawaida kwa jamii ya kiafrica mvulana kumshobokea mtoto wa kike yaani...
Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki, Juni 22/06/2022inatarajia kutoa hukumu dhidi Mwanasheria Mkuu wa serikali ya Tanzania katika kesi ya mwaka 2017 iliyofunguliwa na vijiji vya Loliondo wakipinga kuondolewa katika maeneo yao.
Hukumu hiyo itatolewa na jopo la majaji watatu wakiongozwa na...
Diwani wa Kata ya Bomambuzi Manispaa ya Moshi Raibu Juma akiongea na Redio Moshi Fm kupitia kipindi cha Darasa mseto ameweka wazi kutoa Dollar 5000 ikiwa atapata video inayoeleza kutetea wapenzi wa jinsia moja (Ushoga) katika sherehe aliyohudhuria.
"Ishu ya kuhudhuria sherehe ya wapenzi wa...
Serikali imesema inaboresha vituo vya walimu kwa lengo la kuendelea kutoa fursa kwa walimu kupata mafunzo wakiwa kazini ili kuwejengea uzoefu.
Hatua hiyo inakwenda sambamba na maboresho ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 pamoja na mabadiliko ya mitaala ili kuwa na wahitimu wenye ujuzi na...
Polisi nchini humo wanadaiwa kumshikilia mwanahabari Salah Atiyah kwa kutoa maoni katika mahojiano ya televisheni kwamba Rais Kais Saied alilitaka jeshi kufunga makao makuu ya chama cha wafanyakazi cha UGTT na kuwafunga viongozi wa upinzani kifungo cha nyumbani
Waendesha mashtaka wa jeshi...
Nimeona kwa macho yangu Bwanga amepokelewa na watoto wa shule, wanaCCM kiduchu.
Kuna hasira ya kuwa sasa amefeli kudhibiti ugumu wa maisha kwa wananchi wa kawaida.
Kuna kisasi kitachomuandama kwenye uchaguzi mkuu wa 2025.
Elon Musk ametuma barua ya malalamiko kwa Mkuu wa maswala ya kisheria wa Twitter akisema anaamini Twitter inakiuka merger agreement kwa kutotoa ushirikiano kuhusu idadi ya fake na spam akaunti kama alivyoomba.
Wakati wa makubaliano, Twitter alidai spam na fake akaunti zipo chini ya asilimia...
Serikali yetu makini hivi karibuni imetangaza nafasi za ajira lukuki kwa vijana waliohitimu Mafunzo ya mifugo sehemu mbalimbali.
LITA kama Taasisi ya Serikali yenye ithibati ya kutoa mafunzo hayo ikisimamiwa na NACTE imekuwa ikitoa wanafunzi lukuki kila mwaka.
Ili uweze kutambulika kifani ni...
Kutokana na uhuni unaofanywa na mafundi ujenzi, wizi na ubora wa chini wa kazi serikali ianze kutoa leseni kwa mafundi ili tuweze kuwa hold accountable pale wanapohalibu kazi kwa makusudi au kuhujumu project ya mtu wawe wanapigwa faini na leseni kufungiwa pia kuwe kuna records zao ili watu...
China imekiri kuwa imeanza kufanya mazoezi kuizunguka anga ya Taiwan ikiwa ni mkakati wao kutoa onyo kwa Marekani ambao wametoa kauli ya kuonesha wameanzisha mchakato wa kuilinda Taiwan.
China imesema kuwa inachofanya Marekani ni unafiki na ni kazi bure kusema jambo moja na kufanya lingine...
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametunukiwa Tuzo ya Uongozi Bora wa Mageuzi pamoja na Wakenya wengine saba katika hafla Kongamano la Tuzo za Sekta ya Umma Afrika (APSCA) liliyofanyika Accra, Ghana.
Waandalizi wa hafla hiyo walisema kuwa Rais Uhuru alituzwa kwa uthabiti wake wa kutoa uongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.