Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE) Waungana na CFA East Africa kutoa Mafunzo ya CFA

KingOligarchy

Senior Member
Sep 28, 2013
130
350
Wakuu,

Kama kawaida kila siku lazima nipitie kwenye mambo yangu ya uwekezaji , ndipo nilipokutana na hili



Naona Mzigo umeivaa... DSE kupitia DSE academy yao wameungana na CFA EAST AFRICA SOciety kutoa prep classes za CFA, ikabidi nimpigie simu mtu wangu wa karibu kumuuliza! ndipo aliponiambia kuwa mafunzo yataanza January na kwamba Tayari Tanzania kuna CFA EXAM Testing Centre .

Inasemekana British council ndio itayokuwa Test centre ya CFA hapa tanzania. Kwahiyo hamna tena mambo ya kwenda Nairobi.

Nilipopitia maandiko ndipo nilipoona CFA holders africa mashariki wako kama ifuatavyo:

Tanzania – 7 (Mimi nilikuwa wa Tatu Tanzania kuwa na CFA,)

Uganda- 47

Kenya – 176

Rwanda – 5

Sudan –2

Congo- 1
 
Braza KingOligarchy salama?
Unataarifa za mitihani ya CFA chini ya DSE kama...
1. Gharama ya course zote kwa level one
2. Na gharama za mitihani yenyewe?

#YNWA
 
Back
Top Bottom