kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi akomaa na mradi wa maji uliokwama wa Kifura, sasa kuanza kutoa huduma Agosti 31

    DKT. SAMIZI AKOMAA NA MRADI WA MAJI ULIOKWAMA WA KIFURA, SASA KUANZA KUTOA HUDUMA AGOSTI 31. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi anaendelea kusimama kidete kuwasemea wananchi wake pamoja na kutatua kero zao ili kusukuma maendeleo yao ambapo sasa amekomaa...
  2. JamiiForums Tanzania Attention! Wasafirishaji wa vifurushi vidogo kutoa risiti za EFD

    Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imetangaza kuanzia leo tarehe 1/5/2023 kuanza zoezi la ufuatiliaji katika Mikoa yote wasafirishaji wa vifurushi/ vipeto kuhakikisha wanatoa risiti za EFD kwa wateja wao. Kumbuka: Ukikutwa haujatoa risiti adhabu yake ni kulipa faini kuanzia 3,000,000 hadi 4,000,000...
  3. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali Zanzibar: Dunia yote inasisitiza uhuru wa kutoa maoni

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Zanzibar), Hassan Khatib Hassan akielezea mfumo uliopewa jina la 'Sema na Rais Mwinyi' ambao anadai umesaidia kuwepo kwa #UhuruWaKujieleza kutokana na Wananchi kupata nafasi ya kumuuliza Rais maswali na kutatuliwa kwa changamoto zao Anasema “Dunia yote mashirika...
  4. JamiiForums Tanzania Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea

    Nashangaa sana katika hili taifa mwanzo walisema Kuna mtu/kibaka alifanya hujuma akakamatwa Sasa leo Tena ni Nini? Halafu tunaomba kuandaa afcon kwa hali hii tutakubaliwa kuandaa mashindano ya afcon?? Ni aibu kubwa kwa KWELI/tunaaibika kimataifa. ---
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongeza dau, kutoa Tsh. Milioni 10 kwa kila Goli kwa Yanga na Simba (CAFF na CAFCL)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kuongeza fedha za motisha kwa timu za Simba na Yanga kutoka shilingi Milioni 5 hadi Shilingi Milioni 10 endapo timu hizo zitafuzu kucheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika na Kombe la Shirikisho Barani Afrika...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali kutoa Elimu na kuwapa ujuzi watu wenye Ulemavu wanaoonekana wakiombaomba na wanaotumiwa kama chombo katika kuomba

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Esther Edwin Malleko ameiuliza swali Wizara ya Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu "Watu wenye ulemavu wameonekana wakiwa ombaomba na kutumiwa kama chambo katika kuomba, ni mkakati upi wa Serikali katika kuwasaidia watu hawa kujikwamua...
  7. JamiiForums Tanzania Wanamahesabu kutoa hii kitu hapo posta itagharimu hela ngapi

    Gharama zake mpaka zinafika bongo zinaenda kama hvyo, vp kuzitoa pale mchanganuo wake umekaaje
  8. JamiiForums Tanzania Mwanaume uliumbiwa kutoa

    Mwanaume lazima afanye kazi kwa ajili ya mwanamke wake. Mwanamume ambaye hayuko tayari kutoa hatakiwi kumiliki mwanamke. Kuna huu ujinga unaojitokeza siku hizi kwa wanaume kusubiri wanawake watoe. Hii ni kinyume cha maadili ya uanaume, mwanaume aliumbwa kutoa kila kitu kwa mwanamke wake. Mahaba...
  9. JamiiForums Tanzania Kanuni ya kutoa inatutesa kwenye mahusiano yetu

    Habari zenu wakuu, itifaki imezingatiwa Ndugu zangu jua lilikuwepo tangu zamani na mpaka sasa hivi tunaona uwepo wake. Mwezi ulikuwepo tokea zamani mpaka sasa tunauona mwanga wake. Mvua ilikuwepo tokea zamani nayo inanyesha nyakati zetu. Tokea zamani mvua,mwezi na jua vilifanya kazi yake...
  10. JamiiForums Tanzania Utabiri: Simba kutoa sare ya 1-1 mchezo wa leo dhidi ya Wydad

    Leo April 22 kutapigwa mchezo mkali wa ligi ya mabingwa Africa ambapo Wenyeji Simba ya Dar es salaam watawakaribisha Wydad Casablanca ya pale Morocco. Mchezo wa Simba dhidi ya Wydad haijawahi kuwa rahisi huku Whdad wakionesha ubabe dhidi ya Simba. Mchezo wa mwisho Simba dhidi ya Wydad Simba...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sikukuu za kidini ndio ziwe siku za kutoa msamaha kwa wafungwa badala ya siku ya uhuru

    Huu ndio ushauri wangu kwasababu dini zote zinatambua na kuhuburi msamaha kwa wakosaji. Kwa msingi huo, kiongozi mwenye imani ya kidini, atakuwa sahihi zaidu kutoa msamaha kwa wafungwa katika sikukuu za kidini. Na jatika hili, sidhani kama kuna sheria inatamka kuwa misamaha hiyo itolewe...
  12. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Kutoa ajira 21,000 ni ishara uchumi wetu unaenda vizuri

  13. JamiiForums Tanzania G7 Waahidi kutoa msaada zaidi huku Ukraine wakijiandaa kuanza mashambulizi

    Ukraine wamekua wakifanya maandalizi ya kufanya mashambulizi "spring counteroffensive", kwa muda walikua wanasklizia ubabe wote wa Urusi na mpaka hapo hamna jipya, Mrusi amekwama kashindwa kufumua kamji ka Bakhmut, sasa ni zamu yake ya kupokea. G7 wameahidi kutoa msaada na kusimama na Ukraine...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Mafisadi jitahdini angalau kutoa mikopo kwa vijana

    Bila shaka pesa ya hii nchi ipo mikononi mwa mafisadi , mama anakusanya huko na kule ikifika mezani wahuni wanagawana , the worst ni kuwa wengi huficha hzo hela nje ya nchi , Kama hii video inaonyesha kabisa huyu fisadi hajui hata pa kuzipeleka hzo hela ameishia kuzitandaza tuu sebuleni ...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Pesa anataka lakini mbususu hataki kutoa

    Huyu Binti wa miaka 20 pesa anazipenda lakini kutoa mbususu kipengele. Ana kiboy chake wanazinguka nae kila Kona kakitongozwa kanakubali. Kanaomba pesa kila kukicha lakini mbususu hakatoi.
  16. JamiiForums Tanzania Serikali yetu ianze kutoa tuzo kwa watunza (wazungumzaji) Kiswahili kutoka mataifa ya nje

    Ni ukweli usiopingika kwamba dunia nzima inatambua lugha ya Kiswahili ina unasaba mkubwa na Tanzania. Kwa tafsiri fupi ni kwamba Tanzania tunaweza kuiita ardhi ya Kiswahili. Sasa nataka niongee kidogo kuhusu lugha hii adhimu na wizara yenye dhamana ya lugha hii kwamba lazima itumie mbinu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mama Masaburi anapaswa kutoa ushahidi kwa kuwataja wabunge ambao ni mashoga

    Bunge linaloongozwa na Tulia Akson limekosa mvuto, limeshuka hadhi na limepoteza meno kabisa. Tangu Tulia akalie kiti cha uspika hatujaona mijadala yenye tija, maazimio yenye tija na maamuzi yenye tija. Bunge halina tofauti na kijiwe. Mbunge anatoa tuhuma za jumla jumla zinazochafua bunge na...
  18. JamiiForums Tanzania China yaendelea kujitetea haijawahi kuwa na lengo la kutoa msaada wa sila Urusi

    China yaendelea kuomba isije ikaeleweka vibaya, imejitetea mara kadhaa sasa kwamba haijawahi kuwa na nia ya kutoa misaada ya silaha kwa Urusi...... Aisei Mrusi analo....Kwa sasa hivi hata fununu kuhusu nchi yoyote kwamba inampa msaada Putin itakua kwenye tabu...hata mataifa ya Kiarabu...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wa kutoa harufu ya sigara kwenye gari

    Gari ya mtumba imekuja kutoka mbele. Kumbe walikuwa wanakula sigara humo ndani. Nahitaji msaada namna ya kuitoa harufu huko ndani.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Kimaro: Matajiri ndio Walimzika Yesu, akina Petro na wenzake waliokula bure miaka 3 walimkimbia!

    Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema Tajiri Yusuf wa Almathaya ndio aliyemzika Yesu katika kaburi lake la kifahari Kimaro amesema Kanisa linawahitaji Matajiri kwa sababu ndio wanaoliondolea Kanisa aibu Wakati wa uhitaji Hivyo tusiwape majina mabaya Matajiri kwa kuwaita Mafisadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…