Mwanaume uliumbiwa kutoa

G70

JF-Expert Member
Jul 13, 2022
1,109
2,252
Mwanaume lazima afanye kazi kwa ajili ya mwanamke wake. Mwanamume ambaye hayuko tayari kutoa hatakiwi kumiliki mwanamke. Kuna huu ujinga unaojitokeza siku hizi kwa wanaume kusubiri wanawake watoe.

Hii ni kinyume cha maadili ya uanaume, mwanaume aliumbwa kutoa kila kitu kwa mwanamke wake. Mahaba yote, hela zote pamoja na mbegu zake za kiume lazima atoe kwa mwanamke wake.
 
Mwanaume LAZIMA Afanye Kazi kwa ajili ya Mwanamke wake

Mwanamume ambaye hayuko tayari kutoa hatakiwi kumiliki mwanamke.

Kuna huu ujinga unaojitokeza siku hizi kwa wanaume kusubiri wanawake watoe.

Hii ni kinyume cha maadili ya uanaume, mwanaume aliumbwa kutoa kila kitu kwa mwanamke wake. Mahaba yote, hela zote pamoja na mbegu zake za kiume lazima atoe kwa mwanamke wake.
Na wanawake mliumbiwa nn?😅😅
 
Huu utapeli wenu tulishaustukia kitambo Sana.

Kuna wanawake Wanapenda hela mpaka unajiuliza Kama huyu mtu anapenda hela kiasi hiki si angesema tu kwamba anauza nikaelewa moja kwamba tubabadilishana mbususu kwa pesa?

Ukimwendekeza mwanamke lazima ufe masikini.
 
Mwanaume lazima afanye kazi kwa ajili ya mwanamke wake. Mwanamume ambaye hayuko tayari kutoa hatakiwi kumiliki mwanamke.

Kuna huu ujinga unaojitokeza siku hizi kwa wanaume kusubiri wanawake watoe.

Hii ni kinyume cha maadili ya uanaume, mwanaume aliumbwa kutoa kila kitu kwa mwanamke wake. Mahaba yote, hela zote pamoja na mbegu zake za kiume lazima atoe kwa mwanamke wake.
Hela hatukupi na mbususu tutaila

Bladifakeni
 
Back
Top Bottom