kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    Video: Makonda akitoa watu mapepo

    Msitoe lugha chafu tafadhali.
  2. Suley2019

    Suala la Rais Samia kutoa pesa na ndege kwa timu kusafiria ni kwa gharama ya nani?

    Habari ndugu zangu, Hivi karibuni nimeshuhudia mara kadhaa Rais Samia akitoa hamasa kwa timu za Simba na Yanga kwa kutoa zawadi ya pesa kwa kila goli linalofungwa na timu hizo. Mara ya mwisho nimeona Rais Samia akitoa ndege ya Timu ya Yanga kusafiri mpaka Algeria na kuwarudisha Tanzania...
  3. Suley2019

    Issa Haji Gavi: Kadi ya CCM ina uwezo wa kutoa hela benki

    Wakuu nimekutana na hii clip, Issa Haji Gavi Katibu wa Oganaizesheni wa CCM Iringa anaonekana akieleza kuwa kadi ya CCM ina uwezo wa kutoa pesa Benki. Sikiliza mwenyewe kisha uweke maoni yako. --- Kadi za kielekroniki za CCM kutumika kama ATM Iringa. Katibu wa Oganaizesheni wa CCM, Issa...
  4. chiembe

    Waziri wa Ardhi Angelina Mabula ameshindwa kutoa mchanganuo wa posho za bilioni 47? Lukuvi alificha udhaifu wake au anamhujumu chinichini?

    Huyu Waziri namshangaa, anaacha " ombwe" la taarifa kwa nini? Anashindwa kuwaeleza wabunge mchanganuo wa posho hizo? Mpaka Benki ya Dunia wanazikubali, ni mchakato mrefu, na uchanganuzi wa wazi, anakwama wapi? Kama yatatokea mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, namtabiria kuhamishwa wizara, au...
  5. Stephano Mgendanyi

    Noah Saputu: Waziri wa Ardhi Wananchi Wanakutegemea Kutoa Haki

    MBUNGE NOAH SAPUTU - WAZIRI WA ARDHI WANANCHI WANAKUTEGEMEA KUTOA HAKI "Hii siyo sawa wageni kumiliki Ardhi, haki iliyochelewa ni sawa na haki iliyonyimwa" - Mhe. Noah Lemburis Saputi Mollel, Mbunge wa Arumeru Magharibi. "Waziri toa tamko kwa makampuni ambayo yamepimia wananchi Ardhi...
  6. Kaluluma

    Hivi ni lazima kutoa Z report kila siku hata kama hujauza kitu?

    Habari za leo wakuu, Kwa wafanyabiashara wanaotumia efd machine kuna ulazima wa kutoa Z report kila siku hata kama hujauza kitu kwa siku husika?
  7. benzemah

    Wizara ya Ardhi Kutoa Hakimiliki za Kimila 520,000 mwaka 2023/24

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha 2023/24 imejipanga kuandaa na kutoa Hati za Hakimiliki za Kimila 520,000, Hatimiliki 500,000, Hati za Sehemu ya Jengo 1,000 na itasajili Miamala ya Hatimiliki na Nyaraka za Kisheria 100,000. Taarifa hiyo imetolewa leo bungeni...
  8. BigTall

    Serikali haitaki kutoa vibali vya kusafirisha mazao Mpaka wa Sirari

    Nipo Border ya Sirari na Kenya, kuna changamoto moja hapa Serikali haitaki kutoa vibali vya kusafirisha mazao kwenda nje ya Nchi ila sasa madali wanapitisha Mahindi njia za panya kupeleka Mahindi Kenya. Je, kwanini Serikali isitoe Vibali ili ipate mapato?
  9. L

    Marekani ina lengo gani kwa kukashifu nchi nyingine kutoa silaha kwa Russia?

    Hivi karibuni, balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini Reuben Brigety aliiomba radhi serikali ya Afrika Kusini kwa kuishutumu nchi hiyo kuipatia silaha Russia. Kabla ya hapo, Marekani nayo pia ilidai kwamba China inaweza kutoa silaha kwa Russia. Lakini halisi ni kuwa si China wala Afrika Kusini...
  10. M

    Hivi kesi ya tuhuma za kutoa rushwa dhidi ya Kitumbo na Mwakingwe ni ya kusilizwa na kuamuliwa siku moja?

    WIKI iliyopita, tukio lililotikisa anga za soka ni lile la kufungiwa maisha kwa Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Tabora, Yusuf Kitumbo akituhumiwa kujihusisha na kupanga matokeo ya mechi za Ligi Daraja la Kwanza sambamba na kocha Ulimboka Mwakingwe. Kitumbo ni kiongozi wa Kitayosce ambayo...
  11. Kimbesa11

    Nilichogundua shida maofisini kwenye utoaji wa huduma hazipo kwa Mabosi, zipo kwa wasaidizi

    Husika na mada hapo juu tunawaomba MA-PS (Baadhi), huko MAOFISINI mtuhudumie kwa upendo na kwa haraka, nimefanya utafiti kidogo nimegundua kumbe mabosi wana moyo wa kutuhudumia Ila wanakwamishwa na masekretari wao. Mfano; 1. Ps unamsalimia hakujibu kwa makusudi. 2. Ps anakataa usionane na boss...
  12. S

    Serikali Kugharamia Mashabiki 55 Kwenda Kutoa Hamasa Africa Kusini

    Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo katika juhudi za hamasa kuendelea kuunga mkono michezo nchini hususani katika mashindano ya kimataifa, imeamua kugharamia jumla ya mashabiki 55 watakaosafiri kuelekea nchini Afrika Kusini, kwenda kuishangilia klabu ya Yanga katika mchezo wa...
  13. saidoo25

    Wazalendo tunaipongeza ITV kwa kukataa kununuliwa na kutoa taarifa ya Mkulima aliyewashtaki Mawaziri Mahakama ya Kisutu

  14. Stephano Mgendanyi

    Miaka 10 ya CRDB Kutoa huduma za Kibenki kupitia Mawakala

    MBUNGE NDAISABA ASHIRKI HAFLA YA MIAKA 10 YA CRDB KUTOA HUDUMA ZA KIBENKI KUPITIA MAWAKALA Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndaisaba George Ruhoro tarehe 08 Mei, 2023 alishiriki Hafla ya kuadhimisha miaka 10 tangu CRDB walipoanza kutoa Huduma za Kibenki kupitia Mawakala ambapo Hafla hiyo iliandaliwa na...
  15. S

    Kwanini kutoa mimba ni kosa?

    Watu wengi wakiulizwa kuhusu kutoa mimba wanasema hoo sijui unaua kiumbe Cha Mungu. Sasa Nina maswali. 1. Mtoto anaanza kuwa na mawazo na viungo muhimu na maumivu katika miezi mitatu ya mwisho. 2. Hamna mtu anakumbuka chochote kabla ya kuzaliwa this shows haukuwa unaishi ndo maana hatuhesabu...
  16. N

    NMB niwasumbufu kutoa mikopo

    Tanzania hii kuna shida sana taaasisi zake ni za hovyo kabisa. Unaomba mkopo wa boashara mara ya pili toka nmb kukupa tu ni tatizo ukiwauliza hawana majibu. Uneza kidhi vigezo vyote ila watumishi wake wanakuwekea urasimu usio na maana badirikeni la sivyo taasisi za nje zitatawala apa nchini...
  17. sky soldier

    Ukiachana na elimu, Wanyakyusa wa Mbeya wapewe taji lao kwenye kutoa wachungaji na waimba gospel maarufu nchini

    Ukiachana na wao kushika namba moja katika elimu kwa mikoa yote ya kusini (Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Ruvuma, Lindi na Mtwara) huku kwenye gospel wametikisa vilivyo si kwa mikoa ya kusini tu bali ni nchi nzima. Wachungaji na waimba gospeli wapo utitiri sana lakini hawa ni baadhi yao...
  18. B

    Dkt. Samizi akomaa na mradi wa maji uliokwama wa Kifura, sasa kuanza kutoa huduma Agosti 31

    DKT. SAMIZI AKOMAA NA MRADI WA MAJI ULIOKWAMA WA KIFURA, SASA KUANZA KUTOA HUDUMA AGOSTI 31. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi anaendelea kusimama kidete kuwasemea wananchi wake pamoja na kutatua kero zao ili kusukuma maendeleo yao ambapo sasa amekomaa...
  19. Esokoni

    Attention! Wasafirishaji wa vifurushi vidogo kutoa risiti za EFD

    Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imetangaza kuanzia leo tarehe 1/5/2023 kuanza zoezi la ufuatiliaji katika Mikoa yote wasafirishaji wa vifurushi/ vipeto kuhakikisha wanatoa risiti za EFD kwa wateja wao. Kumbuka: Ukikutwa haujatoa risiti adhabu yake ni kulipa faini kuanzia 3,000,000 hadi 4,000,000...
  20. Roving Journalist

    Msemaji wa Serikali Zanzibar: Dunia yote inasisitiza uhuru wa kutoa maoni

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Zanzibar), Hassan Khatib Hassan akielezea mfumo uliopewa jina la 'Sema na Rais Mwinyi' ambao anadai umesaidia kuwepo kwa #UhuruWaKujieleza kutokana na Wananchi kupata nafasi ya kumuuliza Rais maswali na kutatuliwa kwa changamoto zao Anasema “Dunia yote mashirika...
Back
Top Bottom