kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nchi 6 zilizotoa Leseni kwa Starlink kutoa huduma za Intaneti yenye Kasi zaidi Afrika

    Zambia imekuwa Nchi ya 6 barani Afrika kuridhia uwekezaji wa Kampuni ya SpaceX kuanza kutoa huduma za Intaneti yenye kasi zaidi kupitia Starlink, hatua inayotajwa kuwa itapunguza urasimu kwa Watoa huduma waliopo pamoja na kuongeza Ubora wa Mawasiliano ya Mtandao. Kampuni ya Starlink...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Huyu kiongozi wa mwendokasi anastahili kubaki ofisini? Analalamika abiria kuongezeka badala ya kuona kama fursa. Watumishi wa umma duu

    Uongozi wa mwendokasi umekiri kwamba wameshindwa kuendesha miradi husika na hivyo wanasubiri hadi serikali inunue mfumo wa Artificial Intelligence wakuongoza magari. Hayo yamesemwa leo katika mahojiano baina ya waandishi wa habari na viongozi wa mradi husika. Baada ya viongozi hawa kusema...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaoponda kutoa sadaka kwa watumishi wakumbuke kila mtu hutoa sadaka, tofauti ni unatoa wapi

    Kitendo cha kutoa sadaka kimefungamanishwa na uhai wa binadamu kiasi kwamba huwezi kuishi bila kutoa sadaka. Ukizuia kutoa ili uujenge ufalme wa Mungu utatafuta pa kuipeleka. Ila lazima utatoa hata kama utaitungia jina tofauti. Tendo la kwanza mwanadamu wa kwanza kuzaliwa (Kaini na Habiri)...
  4. JamiiForums Tanzania Matinyi: Vyombo vya Habari viachwe vifanye kazi yake kwa Uhuru. Ni baada ya Ifakara kuzuia kutoa taarifa, habari na matangazo yanayohusu Serikali

    UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ILIYOTOLEWA NA HALMASHAURI YA MJI WA IFAKARA KUHUSU VYOMBO VYA HABARI NA WAANDISHI WA HABARI WA KUJITEGEMEA Oktoba 10, 2023 Idara ya Habari (MAELEZO) na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali imeona taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii iliyotolewa tarehe 9 Oktoba...
  5. JamiiForums Tanzania Hamis Mwinjuma (Mwana FA) hapo zamani aliwahi kutoa ushauri wake kuhusu hali ya Umeme

    Hizi ni tweet za Naibu Waziri wa Michezo, Hamis Mwinjuma enzi hizo kabla ya kuingia kwenye siasa. Aliwahi kutoa mawazo yake kuhusu umeme.
  6. JamiiForums Tanzania HESLB kuanza rasmi kutoa Mkopo kwa wanafunzi wa wa Stashahada (Diploma)

    Moja kwa moja. Taarifa imetoka sasa kuwa kesho ndipo uzinduzi rasmi wa muongozo wa uombaji wa huo Mkopo kizinduliwa rasmi makao makuu. Jambo hilo liliibuliwa mwaka huu kama pendekezo moja katika mkuta wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Hassan Suluhu na viongozi wa wanafunzi...
  7. JamiiForums Tanzania Kongole Serikali kwa kutoa fedha ununuzi wa vifaa tiba na dawa

    Mkurugenzi wa MSD, amedhibitisha kuwepo kwa ongezeko la upatikanaji wa Bidhaa vya afya kwa mwaka 2022/2023, ambapo ambapo juni 2022, ongezeko lilikuwa kwa asilimia 51, na kupanda hadi asilimia 64, juni 2023, wakati upatikanaji wa dawa kwa sasa umefikia asilimia 82, mwezi juni 2023 kutoka...
  8. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa TANESCO wagoma kutoa asante kwa Maharage kwa Utumishi ukiotukuka

    Baadhi ya wafanyakazi wa TANESCO wamepinga graphics zinazosambaa za kumpongeza Maharage na mwenyekiti wa Bodi. Wanahoji hizo pongezi wamezitoa wakiwa wapi? Imedaiwa ni kikundi cha watu kimeshinikiza watu wakae na kutoka ASANTE na Shukurani. Hizo Pongezi za Mkurugenzi mpya tumezitoa wapi hata...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna mazingira ya rushwa kwa Askari wanaoomba kwenda Kozi

    Nimeamua kuandika hapa kwa kuwa JamiiForums inafuatiliwa na watu wengi ndani na je ya Nchi, mtandao huu unafuatiliwa na watu wa kawaida, Viongozi na Watu wengine mashuhuri. Ningependa kuwaomba kwa unyenyekevu mkubwa kabisa andiko langu hili liende hewani. Ikiwezekana andiko hili lifikisheni...
  10. R

    JamiiForums Tanzania TANESCO watoa ufafanuzi kuhusu Bwawa la kufua umeme la Mwl. Nyerere kuwa na nyufa

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI HALI YA UBORA WA MRADI WA JNHPP NA UHIFADHI WA WANYAMA PORI Jumapili, 10 Septemba 2023. Kuna taarifa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mradi wetu wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere (JNHPP). Taarifa hizo zinaelezea na kuleta hofu kuhusu Ubora...
  11. JamiiForums Tanzania Rubby katembelea Nyota ya Majizzo kutoa Audio iitwayo "Uridhike" Leo 16-08-2023

    Wanamuziki wabongo ni wadhaifu sana kwenye ubunifu, wanapenda slope na music spinning. Personally wengi hawana public triggers za kupata popularity za trending kwenye song releases zao. Kiwimbo chenyewe cha Uridhike hakina vibe kali la hisia za kuchimba visima na matembele kwa ndizi tukufu...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Rappers wa kike wa Mbele "mamtoni" wengi ni pisikali halafu huku kwetu Rappers wa kike wanajifanya ni majike dume?

    Kwema Wakuu! Kabla Sabato haijaingia nimelikuwa nacheki hapa muziki nikaona huyu Mwanamuziki Card B, hapohapo nikashangaa swali linakuja. Inakuwaje Rappers wakike wa Mbele, makuu, mamtoni, Kwa Biden, ni pisikali, wanamvuto wa kike, yaani sio Pouwa. Wanamapozi ya kike, wanajichetua...
  13. JamiiForums Tanzania DAWASA, mmeanza rasmi kutoa maji ya chumvi?

    Wasalam, Huu uzi naomba mods muwa tag DAWASA ili waje watupe jibu la swali letu. Je, DAWASA mmeanza kutoa maji ya chumvi rasmi? Malalamiko ya upatikanaji wa maji safi na salama yamekuwepo kwa muda mrefu sasa hali imebadilika baada ya kuanza kusambaziwa maji ya chumvi au yenye magadi makali...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA shikilieni hapo hapo nyoka ameanza kutoa kichwa.

    Maridhiano yalitaka kuwatoa kwenye reli ila kwa sasa naona mmerudi kwenye mstari wenu ulionyooka, tunaiona Chadema tuliyoizoea. Hotuba ya jana imedhihirisha hilo, ni hotuba iliyojaa hofu iliyochanganyikana na hasira. Ametumia muda mwingi kuizungumzia Chadema kuliko kilichompeleka, ilionekana...
  15. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya Serikali kutoa elimu ya katiba ni kufanya katiba kuwa "COMPULSORY STUDY/BOOK" level zote za elimu kuanzia primary to University

    Kwa kuzingatia kichwa cha uzi. - Kama kweli serikali ya Tanzania ina nia ya kutoa elimu ya katiba na kufanya Watanzania karibia wote wa nchi hii kuijua katiba yao vizuri. Serikali haina budi kuchukua uamuzi mara moja wa kutoa elimu ya katiba kuanzia ngazi mbalimbali za elimu yetu kwa kuanza...
  16. JamiiForums Tanzania Ninajitolea kutoa namba za machimbo ya China kwa wapambanaji wenzangu

    Ili kuunga mkono ilani ya uchaguzi ya CCM leo nami nimeona nichangie angalau connection ya machimbo kadhaa ya vitu mbalimbali huko China. Haya ni machimbo ambayo nimekuwa nikifanya nayo kazi kwa miaka kadhaa sasa. Ninatumaini itasaidia kwa wapambanaji ambao wanahangaika kupata connection hadi...
  17. JamiiForums Tanzania Wamiliki wa magari kutembeza magari yao wakiwa wametoa plate number ya mbele

    Nawasalimu wadau Bila kupoteza muda, miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wamiliki wa magari kutembeza magari yao wakiwa wametoa plate number ya mbele na kuziweka ndani, hii hali nimeiona zaidi nikiwa mkoa wa dodoma. Sasa sijui ndo mageuzi au basi tu ni kupungua kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya kutoa Chanjo ya Polio kwenye Mikoa inayopakana na nchi jirani

    Zaidi ya watoto 402,000 wa mkoa wa Songwe wanatarajiwa kupata chanjo ya polio katika zoezi linalotarajia kuanza Septemba 21 hadi Septemba 24 mwaka huu. Ofisa Program Wizara ya Afya, Idara ya Kinga, Penford Joely amesema hayo alipozungumza na mwandishi wa habari hizi kuhusu kampeni ya kuanza...
  19. JamiiForums Tanzania Wastaafu waweka ngumu Serikali kutoa Elimu ya Katiba kwa Miaka 3

    Mpango wa Serikali kutumia miaka mitatu kutoa elimu ya Katiba kwa wananchi kabla ya kuendelea na mchakato umepata upinzani mpya baada ya mawaziri wakuu watatu wastaafu kuhoji sababu za uelimishaji huo. Mawaziri wakuu hao ni, Cleopa Msuya na Frederick Sumaye na Jaji Joseph Warioba kwa nyakati...
  20. JamiiForums Tanzania Usithubitu kutoa fedha benk kwenda halopesa Kwa NMB Mobile inakula kwako

    Wakuu this is the second time yananikuta. Nilifanya transaction kweny 🏧 pesa niipokee Kwa wakala ikakwama ilikuwa miez kadhaa myuma. Wakati mwingine nikajitoa ufaham nikaweka fedha ndefu kutoka mwenye ATM kwenda Kwa halopesa kuepuka kutembea na banch of money. Yakanikuta tena jaman huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…