DAWASA, mmeanza rasmi kutoa maji ya chumvi?

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
4,007
5,446
Wasalam,

Huu uzi naomba mods muwa tag DAWASA ili waje watupe jibu la swali letu.

Je, DAWASA mmeanza kutoa maji ya chumvi rasmi?

Malalamiko ya upatikanaji wa maji safi na salama yamekuwepo kwa muda mrefu sasa hali imebadilika baada ya kuanza kusambaziwa maji ya chumvi au yenye magadi makali saana.

Mwenzi huu wote maji yao yamekua na changamoto ya chumvi kiasi ambacho unaogea kwa taabu na hata kufanyia shughuli zingine ikiwa pamoja na kunywa.

Ikiwa ni hali hii inatokana labda na kutikutegemea mito je kama ni visima ni kwamba DAWASA wameshindwa kutumia technology ya ku treat maji ya chumvi na ku ya stabilise?

Kwa hali hii je hamu hatarishi Afya zetu kwakuruhusu kutoa huduma kinyume na makubaliano ama huduma chini ya kiwango?
 
Teknologia ya kusafisha maji ya chumvi ni ghali, itabidi hayo maji yauzwe kwa bei ya juu kuliko sasa.
 
Duuhhh!!! Hivi hatuna watu wanaoweza kutreat maji ya chumvi watu wakatumia maji ya bahari na kuacha kutegemea chanzo kimoja tu cha maji!?!
Hyo system ni very expensive hata bakhresa mwenyewe ameshindwa kutoa chumvi kwenye maji anauzia watu maji ya chumvi.
 
Back
Top Bottom