Mtoto wa dada yangu aliazima joho la mwenzie, akapiga nalo picha kisha akamtumia mama yake mkoani. Lakini kiukweli alikuwa ame DISCO CBE mwaka 2020.
Mama alikuja kugundua baadaye sana wakati anataka ampe vyeti ili amtafutie connection ya kazi.
Je, umewahi kupatwa na hali kama hii?
Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote.
Direct, Jana katika pita pita zangu Instagram nikakutana na page jamaa anauza vifurushi bei chee sana, moyoni nikasema hapa hapa nitaokoa gharama za pesa kununua bando la internet.
Kumbe sikujua nipo kwenye mdomo wa mamba hatimae Nilijipeleka...
Habari za saa hizi Makada wa CCM.
Ndugu zangu wanaSongwe mliambiwa kuwa kutakuwa na Mafunzo ya Walimu Makada wa CCM yatakayofanyika tarehe 02.11.2024 hadi 03.11.2024 , Wilaya ya Mbozi eneo la Mpakani na Mbeya kata ya Nanyala katika ukumbi wa sekondari ya SONGWE SUNRISE Mafunzo haya...
Unajisikiaje, unatafuta pesa mingi na Kujikusanya alafu mtu anakuja kukuibia Kirahisi tu.
Inaumiza eeh!
Hivi karibuni nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kila kona ya Tanzania.
Hapa naamanisha unaweza kuipenda bidhaa fulani wewe upo mkoa A na unamtumia muuzaji mkoa B alafu baada ya...
Dar es salaam ni kitovu cha utapeli asee sidhani kama kuna mtu aliyeishi muda mrefu dar na hajawahi kutapeliwa
Ukijikuta una huruma ama msamaria nwema dar ujue upo karibu na kutapeliwa, Rafiki yangu mmoja alitapeliwa kisa tu kumpeleka mtu akabadilishe pesa zake za kigeni (dollar) alafu...
Mbinu hizi zinapunguza utapeli sio full proof guarantee, kila muda zinagunduliwa mpya
Hapa niameorodhesha baadhi ya tahadhari za kuchukua ili kuliepuka hilo:-
01. Usiwe na haraka kwenye kufanya muamala, haijalishi mteja atakuwa na haraka gani. Mruhusu aondoke kama anaonekana ana haraka, kwa...
UKIKUTANA NA MTU MWENYE KAULI HIZI JUA ANA HISTORIA YA KUTAPELIWA KIMAHUSIANO 😔
1.Wanaume/wanawake wote hawafai.
2.Dunia ya sasa hakuna waoaji/waolewaji.
3.Nawachukia sana wanaume/wanawake
4.Hata wewe ni wale wale tu.
5.Siwezi kumuanini tena mwanamke/mwanaume.
KUNA KAZI KUBWA SANA KUISHI...
Hellow members,Leo nimekuja na tukio lililotokea leo asubuhi baada ya moja ya mteja wangu kuingia mkenge kwenye rada za matapeli.
Ipo hivi mimi najihusisha na kununua/kufuata,kufunga na kusafirisha mizigo kutoka Dar es salaam kwenda mikoa yote Tanzania kila siku na hivyo basi nimeweka Matangazo...
Habarini. Kama ilivyo mitandao mingine, JF nayo ina watu wa kila aina kuna wema na wabaya. Waungwana na washenzi. Binafsi humu JF nimefanya kazi na watu wengi sana. Wengi ni waaminifu na tulifanya kazi safi. Ila pia kuna matapeli. Nitaweka visa viwili vya kutapeliwa na wana JF.
1. Kisa cha...
Wakuu salama, niwape story kwa yaliyonikuta leo inaweza kumsaidia mtu.
Katika harakati za kutafuta nyumba maeneo ya Mbezi Beach nikakutana na madalali wawili kwa nyakati tofauti maeneo ya Makonde. Dalali mmoja akawa amenionesha nyumba stand alone ya vyumba 3 kwa kodi ya 500k kwa mwezi upande wa...
Sisi Wakulima wa Zao la Vanilla Kagera tulimuuzia Kampuni ya Sosaka Limited iliyopewa vibali na Ofisi ya Mkoa wa Kagera, vanilla zetu mnamo tarehe 19-23 July 2023 lakini mpaka sasa hatujalipwa hela zetu. Sosaka alikua ananunua vanilla kwa bei ya 15,000 Tsh na alikusanya takribani kilo 80,000...
Utapeli hauna mjanja, hata mawaziri, maprofesa, wafanya biashara wakubwa, wanatapeliwa. hawa watu walaaniwe!!
Nimekuwa msomaji sana wa visa na mikasa inayowatokea watu na nimeweza kupata experience, mafunzo, kujua kujitahadhari, n.k. Leo nimeoamua na mimi niweze kuwaletea mkasa uliowahi...
Hata siku moja usiseme kwamba wewe ni mtoto wa mjini hivyo huwezi kutapeliwa, Hao matapeli kila siku wanakuja na mbinu mpya omba Mungu tu usikutane nao, Nawapa kisa hiki ili na wengine mjifunze pia hivyo jitahidi kusoma huu uzi hadi mwisho.
Jana siku ya jumanne nilipata cm ya jamaa...
Wasaalam wakuu,
Nimeona kisa kimoja Cha Analyse akizungumzia mambo ya utapeli nikakumbuka balaa ambalo limewahi kunikuta, aisee tukizungumzia matapeli sio Hawa sijui wa Mr kuku, sijui kalynda, qnet na upuuzi mwingine ambao hizi chain scam wanafanikiwa kwa jinsi watu wanavyopenda kufuata mkumbo...
Habari
Hii ni pesa yangu ya mara ya kwanza kuimiliki nikiwa under 18 sikuipata kwa mkupuo hapana nilidunduliza kidogo kidogo kutokana na kibarua nilicho tafutiwa na mzee wangu
Huyo tapeli tulikua tunawajibika wote katika kibarua hicho pia alikua na urafiki na mzee wangu wakikutana wanapiga...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, (TCRA), imetoa takwimu za maeneo vinara ya utapeli kwa njia ya simu ikionesha kuwa mkoa wa Rukwa ni kinara kwa wananchi wake kutapeliwa
Katika kipindi cha robo ya mwisho ya mwaka uliopita 2022, kuanzia mwezi Oktoba 2022 hadi mwisho mwa mwezi Disemba matukio ya...
Suala la Uraia wa Mfanyabiashara Patrick Kamwelwe limeibuliwa Mahakamani kwenye kesi ya Utapeli inayowahusu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na William Malecela (Le Mutuz).
Mawakili wa Makonda na Le Mutuz wamedai kuwa wameshindwa kumpata Kamwelwe anayetaka kulipwa Tsh...
Habari wanajukwaa. Leo nimepigiwa simu kutoka namba +255673099097, mpigaji akijitambulisha kuwa anafanya kazi makao makuu ya vodacom. Nilivyosikia hivyo tu, nikajua matapeli hawa. Basi nikajifanya mjinga kwenda naye taratibu ili asishtuke.
Alisema kuwa kuna mtu katuma pesa kwenye account...
Walimu waliofanya kazi ya kusahihisha Mtihani wa Kidato cha Nne Kanda ya Nyanda za Juu mwezi Julai mwaka 2022 hawajalipwa pesa yao hadi leo na wamekuwa wakipewa ahadi hewa na bosi wao ambaye ni Afisa Elimu wa Mkoa wa Katavi.
TAMISEMI wasaidieni walimu walipwe haki yao maana inaonekana kama bosi...
Hii ishu niliisikia kwa aunt,toka mwezi wa 6 hivi, nikajiunga vinzuri ila ishu ilikuja pale nilipotaka kuweka pesa, kila nikisema ngoja nikaweke pesa nakuwa bize napotezea.
Nikaipotezea kama miezi 2, mwezi wa 8 aunt akanionyesha ela zake kwenye account duuh account imeshiba kinoma inakama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.