Wakuu Amani iwe kwenu.!
Kwanza kabisa, ieleweke wazi kuwa sipo hapa kupinga kuhusu Crypto-Currency trading, Forex Trading na jamii zote za mambo kama haya. Mie mwenyewe naendelea kujifunza ili nijue kwa undani na huenda siku moja nikawa expert wa hizi mambo. Lengo kubwa ni ku-share utapeli...
Wakuu,
Kwanza kabisa, ieleweke wazi kuwa sipo hapa kupinga kuhusu Crypto-Currency trading, Forex Trading na jamii zote za mambo kama haya. Mie mwenyewe naendelea kujifunza ili nijue kwa undani na huenda siku moja nikawa expert wa hizi mambo. Lengo kubwa ni ku-share utapeli niliokumbana nao kwa...
Matapeli au wezi ni watu wenye akili sana kwenye kazi yao mimi nakumbuka kwenye miaka 90 hivi nilienda kko kununua nguo sikukuu basi nikakuta suruali nzuri ya kitambaa jamaa kaishika anauza nikaipenda akanipa bei basi natoa hela akawa anafunga kwenye mfuko karatasi zamani ilikuwa mifuko karatasi...
Jana TBC wameleta story ya Mwalimu mstaafu kutapeliwa, hii story ya mafao ya huyu mama Kulipwa sio ya leo, kwanini msilete sotry ya hivi karibuni, yote haya mnayaleta kuhadaa watu kwamba wastaafu wanalipwa mafao yao na wanatapeliwa hili ameshalizungumzia Msemaji wa serikali mwezi jana tukamkosoa...
Ilikuwa 2010 enzi hizo ninauza iphone 3 Gs yangu kupitia mtandao wa gazeti la Advertising Dar, jamaa moja kapiga simu anadai yeye anafanya kazi Barclays Mbeya yupo likizo Dar. Sharp tukapatana bei laki sita basi jamaa tumepanga tukutane Mwenge.
Kufika mwenge jamaa katokea na teksi akadai twende...
Ndg, mimi ni mtumishi wa Umma kwenye taasisi nyeti hapa Dar, hata hivyo juzi nilipigiwa simu na mtu aliejitambulisha yupo Dodoma. Akinitaka nifike ofisini kwao kesho kutwa yake kwa ajili ya mahojiano, nikakubali ila baadae nikamwambia naomba anitumie barua ya wito kupitia kwa mwajiri wangu...
Video kuhusu taarifa sahihi, Maswali na Majibu kuhusu viza hii .
Epuka kutapeliwa; kumbuka hakuna ada yeyote inayotozwa kwa kutuma maombi yako.
https://dvprogram.state.gov/. #DiversityVisa
American Diversity Visa Season for the year 2023
Accurate information, Questions and Answers about...
Siku moja nilielekea Dar es Salaam, nilipofika kituo cha basi wakati huo ni Ubungo Bus Terminal akatokea kijana Msamaria mwema kabisa akaniomba Begi langu Anisaidie na mimi nikampatia.
Ila kwa kweli ni uzembe wangu kabisa maana yule kijana alikuwa anawahi Harafu mimi hata sikumwambia naelekea...
Hawa vijana wana umri,
kati ya miaka 18 na miaka 20.
Mkuu wa Mkoa amewaagiza,amewaamuru warudi mikoa walikotoka.
Swali langu ni kwamba,kwa nini.
Radia One wakubali kutangaza habari za namna hii,kwa nini wakubali kutangaza habari kwa staili hii. Mafunzo yasiyojikana ndio mafunzo gani?
----...
Nikiwa dar nilikutana na mtu anauza tarakilishi alinionyeha ikiwa ndani ya mfuko na akaniharakisha ili tusishikwe na polisi.Aliitisha laki moja pekee. Kufika nyumbani nilipata nimeuziwa tarakilishi ambayo haifanyi kazi ya zamani
Husika na mada hapo juu,
Katika harakati za utafutaji nikajikuta nimeuvaa umilionea wa ghafla msishangae jamani mambo ya machimbo, basi nilivyoipata hela nikakimbilia kununua malori ya mizigo aina ya Volvo kama sita hivi nikiwa mchanga kwenye ishu za magari.
Mungu sio John nikapata tenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.