Nimenusurika kutapeliwa siku ya leo

Yofav

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
3,962
6,891
Hata siku moja usiseme kwamba wewe ni mtoto wa mjini hivyo huwezi kutapeliwa, Hao matapeli kila siku wanakuja na mbinu mpya omba Mungu tu usikutane nao, Nawapa kisa hiki ili na wengine mjifunze pia hivyo jitahidi kusoma huu uzi hadi mwisho.

Jana siku ya jumanne nilipata cm ya jamaa aliejitambulisha kama mteja na kwamba ameona post zangu za mashuka na angependa kuniungisha kwa jumla (I don't know huyu mtu aliona tangazo langu hapa JF au kwenye social medias nyingine ila ni kawaida mimi kupokea simu za wateja kila wakati)

Jamaa; Bwana nahitaji mashuka size fulani idadi fulani naomba bei ya jumla maana nataka kuyaweka dukani kwangu niuze.

Mimi: Sawa nitakufanyia kwa bei fulani mkuu (malipo kwa utaratibu wangu kwa wateja walio ndani ya dar huwa ni baada ya kupokea mzigo ila baada ya hili tukio sasa nabadili utaratibu kwamba mzigo ukifika kiwango fulani kitachoonesha ni kikubwa basi mteja atapaswa kulipia advance ili mimi kuwa na asilimia 50 za uhakika)

Jamaa: Sawa, mimi nipo sehemu X kama una bodaboda muambie anifanyie delivery

Mimi: Sawa.

Maongezi hayo yalifanyika jana siku ya jumanne mchana... (ni kawaida kwangu kupokea simu kama hizi hivyo haikuwa big issue though jamaa aliagiza mzigo mkubwa kidogo maana alisema ni kwaajili ya biashara). Kiukweli kwa muda ambao alinicheki nilikuwa tight sana kutokana na ubusy wa kuhudumia wateja wengine ambao walimtangulia kabla hivyo nilishindwa kuwa ontime sana na kujikuta naanza ku-deal na order yake jioni mida ya saa kumi, Sikuwa na wasiwasi kwani nilikuwa na uhakika kwamba hatuwezi kupishana kwani Fast delivery ipo (Bolt), Mashuka yangu nayaaminia kwenye ubora n.k

Baada ya kupack mzigo wa jamaa na tayari nilisharequest usafiri ndipo nikampigia jamaa kumjilisha kwamba ndo natoka ili awe tayari kupokea mzigo wake, Kupiga mara tano zote simu haipokelewi alafu boda kashaanza kufunga mzigo kwenye chombo, Sikuwa na wasiwasi bado na nilihisi pengine jamaa huko alipo alikuwa mbali na cm hivyo sikuwaza kumkatisha jamaa wa bolt kuendelea kuufunga mzigo kwenye chombo, Baada ya jamaa kumaliza kuufungawakati navaa helmet nikaona nijaribu tena kumpigia jamaa kwa mara 6 huku nikimsindikiza na ujumbe kwamba ndo natoka, Ndipo baada ya kama dk 5 za Safari ujumbe ukajibiwa hivi⬇️
Screenshot_20230607-200021_Messages.jpg

Dah! Ukicheki tayari nipo robo ya safari, ikabidi nimpigie ili japo kumjuza kwamba nilishaanza safari na labda akihitaji ku-cancel kwa kuofia nitachelewa na mimi nikiwa na uhakika kwamba ndani ya 30mints ningekuwa nimemfikia aliponielekeza ila jamaa alisisitiza kwamba muda umemtupa mkono hivyo tufanye kesho tu ambayo ndiyo leo jumatano, Kwa kuwa nina experience ya Faida na hasara sikuona taabu bali nilimuelekeza jamaa wa bolt hali halisi na tukakubaliana anirudishe store... Baada ya kafanikisha yote yale mzigo sikutaka kuufungua kwenye package niliyoifunga bila kupata permission ya jamaa kwamba je, hiyo kesho ni uhakika kweli au kama anahisi order yake imeicancel mazima basi nifungue ile package ila jamaa akajibu nisiifungue kwani ni uhakika.

Tuje siku ya leo (Jumatano) siku ya tukio....

Kutokana na jamaa alisisitiza asubuhi basi saa moja juu ya alama nilikuwa macho tayari nikashtua mwili kiasi kisha nikamtumia jamaa ujumbe kumuuliza kama ratiba ipo sure kama tulivyopanga ila hadi kufika saa 3 sikupata majibu ndipo nikaamua kufungua ile percel kwa kuwa nilihisi labda jamaa ni mswahili tu ila ilipofika saa 4asbh simu ya jamaa iliita na akanipangilia kwamba baada ya nusu saa atanipanga wapi tukutane. Hakunicheki baada ya nusu saa bali baada ya lisaa na mara hii alibadili location na kunitajia sehemu nyingine ambayo alidai ni ofisini kwake. Sikuona taabu maana haikutofautiana sana na pale pa mwanzo kwani ilikuwa ninkutuo kinachofuata tu baada ya kile cha maelekezo ya mwanzo. (Kutokana na haraka na sikutaka kupishana na jamaa kwa mara hii basi mzigo sikuhangaika kuupack kwa mfuko tena bali niliufanga vizuri tu kwa kamba ukakaa poa kisha nikarequest usafiri na kumjuza jamaa kwamba nilishatoka)

Picha linaanza,
(Kwanza hii siku mvua ilikuwa inanyesha hivyo nimenyeshewa sana alafu nimefika destination husika kabla nimpigie jamaa simu kwamba nipo kituoni ile kamba niliyotumia kufungia mzigo ikakatika ila kwakuwa nilikuwa na kitambaa fulani cha kujifutafuta jasho kilinisaidia kuunganisha tena ile kamba ndipo mimi nilipata walau uwezo wa kujitwika ule mzigo ambao almost ulikuwa na thamani kama ya 500k)

Nilipompigia jamaa cm akapokea na kisha akanipa maelekezo fulani ya wapi nielekee baada ya kufika pale.

Jamaa: Kuna njia fulani ipo kwa mbele inaingia kushoto umeiona

Mimi: Ndiyo naiona mkuu.

Jamaa: Ingia nayo kuna kanisa unaliona kwa mbele sasa kwa nyuma kuna hospital ndo nipo nahudumia wagonjwa hivyo utanikuta tu.

Mimi: Sawa mkuu.

(Kiukweli ule mzigo ulikuwa mzito na aikuwa na jinsi japo jamaa aliniambia sio mbali na ni kama mita 100 kutoka nilipo na haina haja ya usafiri ila niliita boda) boda akanirusha chap sana pale hoapital.

Kufika kwa nje ya hospital nikakutana na majamaa wawili ambao baada ya kuona ule mzigo wa mashuka walionesha kutamani sana na wao walau waniungishe (kumbuka packages za mashuka ni transparent hivyo zilionesha dhahiri kilichopo ndani) so wakawa wananiuliza bei yake n.k ila niliwajibu kwamba ule ni mzigo wa watu niliagizwa hivyo kama wangehitaji na wao wachukue mawasiliano ili waweze kuagiza na wao muda wakihitaji, Nikawapatia namba ya cm... Ghafla simu ya jamaa ikaita na nikamjuza kwamba nipo nje ya hospital aliyonielekeza nifike.

Wakati huo bado nilikuwa kwenye boda, Jamaa akaniambia kashaniona na ameona mzigo ni mkubwa kidogo na asingeweza kuuhifadhi kwa pale ofisini hivyo akanipa maelekezo kwamba nirudi na boda nyuma kidogo kwenye njia niliyojia kwamba kuna frame fulani inauza keki basi kuna binti yupo pale anampa maelekezo yote na yeye ndo atampokelea ule mzigo.

Simu ilikuwa loudspeaker so sauti ilipenya masikioni kwa jamaa wa boda na kumfanya asitake kusubiri sana na akageza chombo na chap tukafika nilipoelekezwa nifike. Nikamlipa boda chake akaondoka zake nikabaki na dda wa frame ya bakery pale.

Mimi; Mambo

Dada: Pow, Karibu.

Mimi: Asante kuna jamaa ana mzigo wake hapa nadhani amekupa maelekezo

Dada: Ndiyo, ameniambia nihakiki idadi kwanza. (Yule dada akahakiki na ghafla jamaa akapiga cm)

Jamaa; Vp umeonana na dada huyo?

Mimi: Ndiyo

Jamaa: Haya mpe simu.

Nakuja kuendelea wakuu...

Bonyeza hapa kuendelea ⬇️
 
View attachment 2649180

Relax!! Hauwezi kuzidi utapeli wa bandari
 
Aisee nakutaka uishie hapo hapo huo ujinga ulioandika naona unatosha endelea kusimulia watoto wako
 
Nimescroll chap mpaka chini, nimefurahi kuona hili neno hapa
Jf waweke kipengere Cha 'pending thread' kwa nyuzi za "itaendelea".

Yaani mtu akipost uzi wenye mwendelezo uwekwe pending Hadi aumalize kupost wote Kisha Moderator ndiyo anauachia. Vinginevyo watu wanaondika nyuzi Kama hizi wanapost Kisha wanasikilizia kama uzi unatembea/una wachangiaji au lah. Kama Hakuna waasomaji au uzi Ukiwa na wakosoaji wengi,wanakosa mood Kisha wanatelekeza uzi na kuacha wasomaji hewani.
 
Hata siku moja usiseme kwamba wewe ni mtoto wa mjini hivyo huwezi kutapeliwa, Hao matapeli kila siku wanakuja na mbinu mpya omba Mungu tu usikutane nao, Nawapa kisa hiki ili na wengine mjifunze pia hivyo jitahidi kusoma huu uzi hadi mwisho.

Jana siku ya jumanne nilipata cm ya jamaa aliejitambulisha kama mteja na kwamba ameona post zangu za mashuka na angependa kuniungisha kwa jumla (I don't know huyu mtu aliona tangazo langu hapa JF au kwenye social medias nyingine ila ni kawaida mimi kupokea simu za wateja kila wakati)

Jamaa; Bwana nahitaji mashuka size fulani idadi fulani naomba bei ya jumla maana nataka kuyaweka dukani kwangu niuze.

Mimi: Sawa nitakufanyia kwa bei fulani mkuu (malipo kwa utaratibu wangu kwa wateja walio ndani ya dar huwa ni baada ya kupokea mzigo ila baada ya hili tukio sasa nabadili utaratibu kwamba mzigo ukifika kiwango fulani kitachoonesha ni kikubwa basi mteja atapaswa kulipia advance ili mimi kuwa na asilimia 50 za uhakika)

Jamaa: Sawa, mimi nipo sehemu X kama una bodaboda muambie anifanyie delivery

Mimi: Sawa.

Maongezi hayo yalifanyika jana siku ya jumanne mchana... (ni kawaida kwangu kupokea simu kama hizi hivyo haikuwa big issue though jamaa aliagiza mzigo mkubwa kidogo maana alisema ni kwaajili ya biashara). Kiukweli kwa muda ambao alinicheki nilikuwa tight sana kutokana na ubusy wa kuhudumia wateja wengine ambao walimtangulia kabla hivyo nilishindwa kuwa ontime sana na kujikuta naanza ku-deal na order yake jioni mida ya saa kumi, Sikuwa na wasiwasi kwani nilikuwa na uhakika kwamba hatuwezi kupishana kwani Fast delivery ipo (Bolt), Mashuka yangu nayaaminia kwenye ubora n.k

Baada ya kupack mzigo wa jamaa na tayari nilisharequest usafiri ndipo nikampigia jamaa kumjilisha kwamba ndo natoka ili awe tayari kupokea mzigo wake, Kupiga mara tano zote simu haipokelewi alafu boda kashaanza kufunga mzigo kwenye chombo, Sikuwa na wasiwasi bado na nilihisi pengine jamaa huko alipo alikuwa mbali na cm hivyo sikuwaza kumkatisha jamaa wa bolt kuendelea kuufunga mzigo kwenye chombo, Baada ya jamaa kumaliza kuufungawakati navaa helmet nikaona nijaribu tena kumpigia jamaa kwa mara 6 huku nikimsindikiza na ujumbe kwamba ndo natoka, Ndipo baada ya kama dk 5 za Safari ujumbe ukajibiwa hivi
View attachment 2649180
Dah! Ukicheki tayari nipo robo ya safari, ikabidi nimpigie ili japo kumjuza kwamba nilishaanza safari na labda akihitaji ku-cancel kwa kuofia nitachelewa na mimi nikiwa na uhakika kwamba ndani ya 30mints ningekuwa nimemfikia aliponielekeza ila jamaa alisisitiza kwamba muda umemtupa mkono hivyo tufanye kesho tu ambayo ndiyo leo jumatano, Kwa kuwa nina experience ya Faida na hasara sikuona taabu bali nilimuelekeza jamaa wa bolt hali halisi na tukakubaliana anirudishe store... Baada ya kafanikisha yote yale mzigo sikutaka kuufungua kwenye package niliyoifunga bila kupata permission ya jamaa kwamba je, hiyo kesho ni uhakika kweli au kama anahisi order yake imeicancel mazima basi nifungue ile package ila jamaa akajibu nisiifungue kwani ni uhakika.

Tuje siku ya leo (Jumatano) siku ya tukio....

Kutokana na jamaa alisisitiza asubuhi basi saa moja juu ya alama nilikuwa macho tayari nikashtua mwili kiasi kisha nikamtumia jamaa ujumbe kumuuliza kama ratiba ipo sure kama tulivyopanga ila hadi kufika saa 3 sikupata majibu ndipo nikaamua kufungua ile percel kwa kuwa nilihisi labda jamaa ni mswahili tu ila ilipofika saa 4asbh simu ya jamaa iliita na akanipangilia kwamba baada ya nusu saa atanipanga wapi tukutane. Hakunicheki baada ya nusu saa bali baada ya lisaa na mara hii alibadili location na kunitajia sehemu nyingine ambayo alidai ni ofisini kwake. Sikuona taabu maana haikutofautiana sana na pale pa mwanzo kwani ilikuwa ninkutuo kinachofuata tu baada ya kile cha maelekezo ya mwanzo. (Kutokana na haraka na sikutaka kupishana na jamaa kwa mara hii basi mzigo sikuhangaika kuupack kwa mfuko tena bali niliufanga vizuri tu kwa kamba ukakaa poa kisha nikarequest usafiri na kumjuza jamaa kwamba nilishatoka)

Picha linaanza,
(Kwanza hii siku mvua ilikuwa inanyesha hivyo nimenyeshewa sana alafu nimefika destination husika kabla nimpigie jamaa simu kwamba nipo kituoni ile kamba niliyotumia kufungia mzigo ikakatika ila kwakuwa nilikuwa na kitambaa fulani cha kujifutafuta jasho kilinisaidia kuunganisha tena ile kamba ndipo mimi nilipata walau uwezo wa kujitwika ule mzigo ambao almost ulikuwa na thamani kama ya 500k)

Nilipompigia jamaa cm akapokea na kisha akanipa maelekezo fulani ya wapi nielekee baada ya kufika pale.

Jamaa: Kuna njia fulani ipo kwa mbele inaingia kushoto umeiona

Mimi: Ndiyo naiona mkuu.

Jamaa: Ingia nayo kuna kanisa unaliona kwa mbele sasa kwa nyuma kuna hospital ndo nipo nahudumia wagonjwa hivyo utanikuta tu.

Mimi: Sawa mkuu.

(Kiukweli ule mzigo ulikuwa mzito na aikuwa na jinsi japo jamaa aliniambia sio mbali na ni kama mita 100 kutoka nilipo na haina haja ya usafiri ila niliita boda) boda akanirusha chap sana pale hoapital.

Kufika kwa nje ya hospital nikakutana na majamaa wawili ambao baada ya kuona ule mzigo wa mashuka walionesha kutamani sana na wao walau waniungishe (kumbuka packages za mashuka ni transparent hivyo zilionesha dhahiri kilichopo ndani) so wakawa wananiuliza bei yake n.k ila niliwajibu kwamba ule ni mzigo wa watu niliagizwa hivyo kama wangehitaji na wao wachukue mawasiliano ili waweze kuagiza na wao muda wakihitaji, Nikawapatia namba ya cm... Ghafla simu ya jamaa ikaita na nikamjuza kwamba nipo nje ya hospital aliyonielekeza nifike.

Wakati huo bado nilikuwa kwenye boda, Jamaa akaniambia kashaniona na ameona mzigo ni mkubwa kidogo na asingeweza kuuhifadhi kwa pale ofisini hivyo akanipa maelekezo kwamba nirudi na boda nyuma kidogo kwenye njia niliyojia kwamba kuna frame fulani inauza keki basi kuna binti yupo pale anampa maelekezo yote na yeye ndo atampokelea ule mzigo.

Simu ilikuwa loudspeaker so sauti ilipenya masikioni kwa jamaa wa boda na kumfanya asitake kusubiri sana na akageza chombo na chap tukafika nilipoelekezwa nifike. Nikamlipa boda chake akaondoka zake nikabaki na dda wa frame ya bakery pale.

Mimi; Mambo

Dada: Pow, Karibu.

Mimi: Asante kuna jamaa ana mzigo wake hapa nadhani amekupa maelekezo

Dada: Ndiyo, ameniambia nihakiki idadi kwanza. (Yule dada akahakiki na ghafla jamaa akapiga cm)

Jamaa; Vp umeonana na dada huyo?

Mimi: Ndiyo

Jamaa: Haya mpe simu.

Nakuja kuendelea wakuu...
Usisahau, umeahidi mkuu huku!
 
Jf waweke kipengere Cha 'pending thread' kwa nyuzi za "itaendelea".

Yaani mtu akipost uzi wenye mwendelezo uwekwe pending Hadi aumalize kupost wote Kisha Moderator ndiyo anauachia. Vinginevyo watu wanaondika uzi Kama hizi wanapost Kisha wanasikilizia kama uzi unatembea/una wachangiaji au lah. Kama Hakuna waasomaji au uzi Ukiwa na wakosoaji wengi,wanakosa mood Kisha wanatelekeza uzi na kuacha wasomaji hewani.
cc: non-luminous _Flames
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom