kutafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. youngkato

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kutafuta Leseni ya Biashara ya Duka la Dawa

    Kabla hujawekeza muda na fedha kwenye kufungua duka la dawa, ni muhimu ujue vigezo na masharti yanayoelekezwa na Baraza la Famasi. Kukosa kuyafuata kunaweza kukugharimu muda, pesa na hata kusababisha maombi yako kukataliwa. Hapa chini tumekuletea mwongozo: 1. REJAREJA / COMMUNITY PHARMACY Kama...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Harakati za kutafuta mpaka kuandikishwa JWTZ

    Habarini ndugu ? Ninawashirikisha baadhi ya harakati nilizofanya katika kutafuta kuandikishwa na kuwa askari JWTZ. Ni ndoto yangu tangu nikiwa mdogo kiumri kuwa askari wa JWTZ hususa ni kuwa komandoo. Baada ya kuhitimu kidato cha nne nilitaka kwenda jeshini wazazi wangu wakanikatalia wakasema...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Sugu awaomba CHADEMA kuiunga mkono CHAUMMA kutafuta kura za urais

    Wakuu Ni kweli Sugu amesema CHADEMA iwaunge mkono CHAUMMA kutafuta kura za urais au ni uzushi? mwenye ukweli wa wa hizi taarifa naomba msaada.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea Facebook mpaka wameondoa option ya kutafuta post na vipengele vya kuchuja ?

    Kwa sasa uki 'search' facebook matokeo yanakuja kwa mchanganyiko wa post, picha na video bila mpangilio maalum. Hakuna sehemu ya kuchagua uone post peke yake Hakuna sehemu ya kuchuja posti mpya, kwa mwaka, ulizoziona, n.k.
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Japheti Hasunga aahidi kutafuta timu ya ligi kuu Songwe

    AHADI imetolewa kwamba wagombea ubunge na udiwani wa CCM wakichaguliwa kwenye uchaguzi mkuu watahakikisha Mkoa wa Songwe unapata timu inayoweza kushindana kwenye ligi kuu. Mgombea wa ubunge katika Jimbo la Vwawa kupitia CCM, Japheti Hasunga ametoa ahadi hiyo jana alipoomba kura kwenye mkutano...
  6. Hammer11

    JamiiForums Tanzania Kutafuta kazi mikumi

    Niko mikumi wadau naomba kazi yeyote ile aseee hali mbayaaa sana
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kitenge ana miaka 27 kazini lakini yupo darasani kutafuta ithibati

    Mzee wa Minyama Maulid Kitenge amevunja ukimya na maswali mengi kwa kusema amerudi darasani huku akiwaambia Mashabiki wake wasiwe na wasi wasi siku sio nyingi watamsikia Redio akiipakua Minyama.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidieni kazi au kutafuta kazi

    Mungu mwema sikuzote
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Clouds Maktaba Kutafuta Chanzo Cha Harakati za Uhuru

    EMMANUEL SHONDE WA CLOUDS AMEFIKA MAKTABA KUTAFITI CHANZO CHA HARAKATI ZA UHURU WA TANGANYIKA Kijana Emmanuel wa Clouds leo asubuhi kaniweka kitako akinipiga maswali na kunihoji kuhusu historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Emmanuel kasukumwa kuja kunihoji baada ya kusoma kitabu cha Abdul...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi vijana mnaokwenda MR RIGHT au kutafuta wachumba mitandaoni mpo sawa kweli?

    Hawa vijana wa siku hizi kama mnashindwa kupata wachumba kwa nini msikwende kwa wazazi wenu wawatafutie wachumba. Yani kama hiki kipindi kinauzunisha sana kwa hawa vijana.
  11. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Balozi wa nyumba 10 anazunguka kutafuta watu wa kwenda kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM

    Balozi anasema usafiri wa kwenda na kurudi upo. Hivyo anatafuta watu wa kujaza magari ya kwenda kwenye ufunguzi wa kampeni ccm kuelekea uchaguzi mkuu wa oktoba. Wakazi wa dar es salaam mmekumbana na hali hii kama huku kwetu?
  12. Now and then

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wakizeeka ndo wanakuja jukwaa hili kutafuta wenza?

    Inatia ukakasi MTU ameshazeeka yupo 30s anakuja kutafuta pension sehemu ambayo hakuwahi kufanya kazi. Utasikia Mara ohhh nataka awe mchaMungu , Mara awe mrefu mwenye kipato Are you insane?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Najaribu kutafuta ujumbe halisi wa michango ya wafanyabiashara kwa ajili ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu

    Kuombaomba huwa mchakato wenye kumuondolea heshima yule muombaji wa misaada. Nilikuwa namsikiliza Makamu wa Rais Dr Mpango akiongelea namna utu wa kiongozi wa nchi maskini unavyodhalilika katika meza ya mkutano kati ya mawaziri wa kutoka mataifa ya dunia ya tatu na wale wa mataifa ya Ulaya na...
  14. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Dar ukijichanganya utajikuta unaenda kazini kutafuta hela ya nauli ya kwenda kazini tena

    Dar ukijichanganya utajikuta unaenda kazini kutafuta hela ya nauli ya kwenda kazini tena Mungu atusaidie sisi wapambanaji
  15. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mvulana mdogo, akiwa amebebeshwa gunia la unga na akiwa na kisu, anatembea mitaani si kutafuta chakula, bali kutetea

    Wanaukumbi. Mvulana mdogo, akiwa amebebeshwa gunia la unga na akiwa na kisu, anatembea mitaani si kutafuta chakula, bali kutetea. Huu ndio ukweli wa kikatili wa njaa iliyotengenezwa kwa Israeli. https://x.com/zohranmamdani/status/1954508053077713175?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  16. Tanzaniavate

    JamiiForums Tanzania Umechoka Kutafuta Ajira? Hizi Hapa Biashara 5 Unazoweza Kuanza Na Mtaji wa Chini ya 50,000 TZS

    Kutafuta ajira kunaweza kuwa jambo la kuchosha na kukatisha tamaa. Lakini inawezekana kabisa kujiajiri mwenyewe kwa kuanzisha biashara ndogo yenye mtaji wa chini. Kwa mtaji wa chini ya TZS 50,000, unaweza kuanzisha biashara inayokuwa na kukuingizia kipato. Hizi hapa ni biashara 5 unazoweza...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Unamkejeli mdada kugeukia JF kutafuta bwana kisa amevuka 30 eti mtaani hasomeki. Hivi boy anakuwaje na wivu juu ya intentions za kimapenzi za mdada?

    Its either wanaingilia harakati zako humu au basi wewe ni sadist. Kuna wakati mwanaume alichohangaika na mwanamke ni kupata penzi lake pekee ila siku hizi vijana wa kiume nao wanaumia na maamuzi ya kimapenzi ya wadada 🤣🤣 Trash🚮🚮
  18. Knock life

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wakifika miaka 30 wanarudi JF kutafuta wanaume wa kuwaoa

    Wanawake wa kitanzania wakishacheza ligi zote kubwa, wakiona maji ya jioni wanaingia JF na kuunda ID mpya na kuanza kutafuta wanaume. Niwaambie tu huo mchezo wenu ni wa kitoto Sana mnaofanya na hamtapata kitu.
  19. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kwenye mahusiano kila mtu ana mapungufu yake , kumuacha mtu ni kutafuta mapungufu mapya kwako

    Usifikirie kubadilisha mahusiano ndio hautakutana na matatizo/ changamoto . Kila mtu atakuja na changamoto zake mpya. Kuna muda jifunze human nature , mapungufu madogo ya mpenzi wako yavumilie. Unaweza ukamuacha mtu m baya ukakutana na m baya zaidi. Ukasema ni afadhali yule
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyemaliza degree ya sheria anayetafuta kazi, wakati anaendelea kutafuta kazi ambaye anaweza kupewa kikazi kidogo cha kufanya, tuwasiliane

    Kijana aliyemaliza degree ya sheria anayetafuta kazi, wakati anaendelea kutafuta kazi ambaye anaweza kupewa kikazi kidogo cha kufanya, tuwasiliane
Back
Top Bottom