Unamkuta mtu anajiita daktari, au nesi, au mwalimu, lakini hana umahiri wa kazi yake. Hajui anachokifanya wala hana hamasa katika kazi yake.
Anasubiri kutafuna mshahara na kuchati WhatsApp huku watu wakimngojea.
Unawezaje ukawa mwalimu na usijue kuandika? Nimepokea barua na ripoti ya matokeo...