kusoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania VIDEO: Aliyekuwa katibu mkuu CCM alivyosimamisha Msafara wake kusoma mabango

    Yeereeeeeh! Maisha yanaenda kasi sana na kubadilika ghafla. Video hapo chini aliyekuwa katibu mkuu CCM alivyosimamisha Msafara wake kusoma mabango.
  2. JamiiForums Tanzania AKIKI au AQEEQ: Jiwe/kito chenye nguvu ambacho utatamani kuwa nacho Baada ya kusoma hapa!

    JIWE LA AKIKI Katika makala hii nitakuelezea kuhusu kito chenye nguvu za miujiza zilizojificha ndani yake na baraka Kito cha Aqeeq faida zake ni nyingi na kipo katika historia mbalimbali na maarufu kama pete iliyowahi kuvaliwa na Mtume Muhammad Swala Allahu 3aleyhi wasalam. Nitakuelezea...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Radio Sony genezi mhc-gtr55 inasoma "please wait" au "reading" tu nikiweka flash drive. Nini tatizo wakuu?

    Habari wakuu, Radio hii Sony genezi mhc-gtr55 tangu ikiwa mpya inasoma flash ikiamua tu. Labda kuna masharti nakosea. Naweza weka flash mara hii ikasoma fasta na kucheza nyimbo. Naweza weka baadae ikawa inasoma "please wait" au "reading" kwa muda mrefu hata siku nzima. Tatizo laweza kuwa nini...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa mawazo nijiajiri vipi

    Habari za muda huu jamani, Kuna mtu ananiambia tatizo la mimi mwalimu kukosa ajira serikalini, nisiilaumu serikali, bali tatizo lipo kichwani kwangu kwa kuitegemea serikali inipe ajira, na kushindwa kujiajiri. Naomba msaada wa mawazo nijiajiri vipi kiasi ambacho nitaweza kukidhi mahitaji yangu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

    Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi Aisee elimu hii jau sana.
  6. JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Hi, I used to think that reading was boring until I found books that really sparked my interest. Reading became important to me because it’s fun and it teaches me new things. It keeps my mind active and inshape and it makes a difference for me if I go long periods without reading books, my mind...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Ndugu wana JF, Kwa muda mrefu kumekuwa na masuala mbalimbali yahusuyo kujilipua (kwenda nje ya nchi) ambayo watu wanauliza mmoja mmoja kwa lemgo la kutaka msaada na ushauri namna ya kufika na jinsi ya kuanza maisha huko nje. Kutokana na kutoa msaada kwa wengi (binafsi) kwa kutumia njia binafsi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…