kusoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mwanasiasa hakikisha unatenga muda wa kusoma na kuwaelewa wana falsafa wa enzi. Ni hitaji muhimu la maamuzi utakayofanya

    Asikudanganye mtu hakuna chochote kigeni kwenye hii dunia. Mambo yanayotokea leo hii yalishakuwepo kwenye huu ulimwengu miaka maelfu kwa maelfu iliyopita. Unaongelea kuhusu rushwa, chuki, wivu, ukatili, ukabila, upendeleo, kulewa madaraka, magonjwa, mauaji etc etc yote utayakuta kwenye vitabu...
  2. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nimekosa vya kusoma leo,naomba mwenye soft copy ya PGO swahili version (Polisi General Order) .

    Habari wadau..! Naombeni desa la Polisi General Order tena ikiwezekana la kiswahili nataka nipitie pitie kwa ajiri ya afya ya akili.
  3. Side Makini Entertainer

    JamiiForums Tanzania Tuangalie hii kiundani huenda ikawa kweli au si kweli kuhusu Nelson Mandela

    Kuna Habari kama Sio stori inasomeka kama ifuatavyo Huyu Mandela aliyeiongoza South Africa alikuwa Feki alitengenezwa na Makaburu, Makaburu walimuua Mandela halisi halafu Wakamtengeza wa kwao ili awe Kibaraka wao hapo SA Watu wanauliza Kwamba iweje Mandela aliyefungwa miaka 27 Jela halafu...
  4. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea endapo serikali itapandisha vigezo vya kusoma elimu ya juu? Je, kutakuwa na athari gani ktk jamii kiuchumi?

    Wakuu hili swali nimeliuliza sehemu nkashindwa kupata majibu nimeona nililete hapa. Nini kitatokea endapo serikali itapandisha vigezo vya kusoma elimu ya juu? Je kutakuwa na athari gani ktk jamii kiuchumi? Mfano alama za kujiunga chuo ziwe atleast BBB
  5. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Mliopo chuoni/masomoni hivi morali ya kusoma kwa bidii mnapataje?

    Nijuavyo mimi ili mtu akazanie kitu flani lazima awe motivated, kwamba baada ya hard work kuna reward (matunda), Tunafahamu lengo la kusoma ni kuelimika, lakini kwa mazingira ya Tanzania kusoma ni fursa ya kujikwamua kiuchumi (majority wapo hapa). Nauliza mliopo chuoni mnapataje morali ya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania PCB 3.13 kuenda kusoma udaktari nje

    Nimemaliza kidato Cha sita nimepanga kusoma md uganda, Je, Kuna athari gani kwenda kusoma nje ya nchi bila no objection certificate ya tcu maana sijatimiza vigezo vya D tatu ya tcu na nimekosa chuo.hapa.nchini. Nimepata phy D chem D bioE 3.13
  7. B

    JamiiForums Tanzania CCM na Serikali wengi wanasikiliza, kusoma na kufuatilia akaunti za wapinzani na activists kuliko akaunti zao

    Hakuna akaunti yoyote ya mitandao ya kijamii inayomilikiwa na serikali, Wana CCM na Watumishi wa serikali ambayo ipo active kwenye mijadala na inayopata usomaji na uchanguaji wenye afya. Wakati huo huo tunaambiwa wananchi wengi na watu wengi walioelimika na kuwa na uwezo wa kifedha wapo...
  8. Banjuka

    JamiiForums Tanzania Nataka kujiunga na Upadre ila kuna ufafanuzi ambao sijaupata

    Habari za wakati huu wanajamii. Moja kwa moja kwenye swali langu la msingi. Nahitaji kujiunga na Updare wa Kanisa Katoliki, ila kuna baadhi ya maswali sijaweza kupata ufafanuzi wake. 1. Ni umri gani unakuwa mwisho wa kujiunga na upadre? 2. Je, ni elimu kiwango gani kinakubalika ili kuendelea...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Licha ya mafanikio kujua kusoma na kuandika bado ni changamoto kwa baadhi ya watu katika nchi za Afrika

    Tarehe 8 Septemba ya kila mwaka ni siku ya kimataifa ya kujua kusoma na kuandika, ambayo pia inafahamika kama siku ya kisomo. Siku hii inaadhimishwa ili kufuatilia maendeleo ya sekta ya elimu katika nchi mbalimbali, duniani hasa elimu ya msingi ambayo lengo lake kuu ni kufuta ujinga. Lakini...
  10. A

    JamiiForums Tanzania PCM kusoma sheria/political science

    Habar wakuu Mimi Ni mhitimu wa kidatu cha sita kutokana na maamuzi wa wazee nililazimishwa kusoma sayansi A level japo Mimi napenda zaidi arts nimehitimu katika tahasusi ya PCM na Nina ndoto za kusoma Sheria. Matokeo yangu Ni yafuatayo Gs C Phy C Chem C Adv maths B Div 1.8 Kuna wengi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Jaji au Hakimu anapoandaa hukumu, huwa ni siri yake au hupaswa kushirikisha watu wengine kabla ya kusoma Mahakamani?

    Hili ndio swali ninalojiuliza kuhusu taratibu na hatua za kufuata katika kuandaa hukumu na mpaka kuja kuisoma mahakamani. Binafsi natarajia iwe ni siri ya Hakimu,Jaji au Jopo la Majaji husika vinginevyo inakuwa si sahihi. Swali lingine ninalojiuliza ni je, Hakimu au Jaji baada ya kusikiliza...
  12. L

    JamiiForums Tanzania naomba msaada wa kujuzwa kama kwa matokeo haya kuna uwezekano wowote wa kusoma bachelor degree yoyote

    habari za wakati huu kila mmoja,ndugu zangu naomba kujuzwa hivi kwa matokeo haya EED ya PCB respectively na D ya BAM(basic applied mathematics) kuna uwezekano wowote wa kusoma bachelor degree yoyote tuu ile?! na kama upo huo uwezekano je ni vyuo vipi na kozi zenyewe ni zipi?! msaada tafadhali...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kupata Scholarship ya kusoma PhD US au CANADA

    Wakuu naomba kuuliza hili swahili. Unawezaje kupata Scholarship ya kusoma PhD US au CANADA. Kama kuna mtu alishawai pata tutoe tongotongo tuweze kuelewa na ulipata aina gani ya scholarship.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa multiple selection Bachelor of Medical Laboratory na Pharmacy niende chuo kipi?

    Habari, Selection zimetoka ambapo nimechaguliwa kusomea Medical Laboratory General Muhas na Bachelor of Pharmacy Bugando na Kampala University je nikasome course ipi kati ya hizo?
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ana miaka 30 anataka kusoma degree ya udaktari. Anahofia umri wake umeenda sababu udaktari miaka mingi

    Kuna kijana alipata division one ya point 5 mwaka 2013 lakini akapata kujiingiza kwenye kutafuta pesa miataani. Sasa amegundua solution ya maisha yake ni kusoma anapenda kuwa daktari lakini anaogopa umri. Vipi wadau kwa huo umri anaweza soma mpaka kuwa daktari bingwa.
  16. JAMBONIA LTD

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna faida yeyote ya kusoma mpaka PhD ikiwa una 'gentleman' GPA?

    Habari wa kuu, kama swali lilivo ningependa kujua kama mtu ana GPA za lower divisions , kisha anakazana kusoma Masters mpaka PhD, kuna opportunities gani atapata maana tumezoea hayo kwa academicians...
  17. JAMBONIA LTD

    JamiiForums Tanzania Hivi ukitaka kusoma Open University Tanzania (OUT) lazima kupata ruhusa ya Muajiri?

    Habari wakuu, Naomba kujua ukiwa mtumishi wa serikali na ukataka kujiendeleza kupitia Open University of Tanzania ambapo bado utaendelea na majukumu yako ya kazi, ni lazima uombe barua ya ruhusa ya mwajiri ya kujiendeleza kimasomo? Au unaweza kupiga kimya kimya tu haiana haja kama ya wale...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Unaweza kusoma HGE ukapata course inayokuwezesha kuwa financial analyst?

    Msaada Unaweza ukasoma HGE ukapata course unayoweza kuwa financial analyst?
  19. Undava King

    JamiiForums Tanzania Wazazi tubadilike; huu si muda wa kumlazimisha mtoto kusoma unachotaka wewe

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kumekuwa na ukatishaji ndoto kwa watoto na unyanyasaji mkubwa wa vipawa na machaguo ya watoto hasa pale wanapotaka kusoma au kufanya kitu ambacho mzazi anakichukulia ni duni au si kipaumbele chake. Chukulia mfano mtoto aliyemaliza form four na akafahulu...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Usiombe mpate CEO asiyejishughulisha kusoma; mtaua kampuni

    Nimegundua ipo nguvu kubwa sana katika kusoma kitu kabla ya kusaini. Nimeona Kampuni yetu ikifilisika kwa sababu tu ya CO mpya alikuwa ni mtu wazimamoto asiyejipanga kupitia anachosaini. Jamaa kasaini mkataba wenye mapungufu lukuki akiamini cabnet yake watasoma. Kabinet nalo likaamini Wataalamu...
Back
Top Bottom