Nimechaguliwa multiple selection Bachelor of Medical Laboratory na Pharmacy niende chuo kipi?

Habari zenu nimechaguliwa kusoma bachelor of medical lab general MUHAS pia nimechaguliwa bachelor of Pharmacy Bugando na Kampala University

Naombeni ushauri niende kusoma course gani?
 
Kama mpunga unaruhusu nenda bugando au Kampala tuition fees peke yake bila accommodation si chini ya 6M 😀 alafu uje baadae utulilie umekosa mkopo 😥 kabla ya kucomfirm CUHAS au KIUT ask your sponsor anaweza kuaford kiasi hicho usifanye mchezo kijana mkopo ni bahati.
 
Habari,

Selection zimetoka ambapo nimechaguliwa kusomea Medical Laboratory General Muhas na Bachelor of Pharmacy Bugando na Kampala University je nikasome course ipi kati ya hizo?
Nakushauri nenda Pharmacy Bugando...(Lakini zingatia Ada kama una uwezo wa kuongezea, maana Ada ni around M 4...na Bodi inatoa Mkopo na kuacha umalizie sehemu kama Milioni 2 hivi au 1+ ndo utatakiwa kuongezea)...so, jiangalie...shauriana na Wazazi walezi kuhusiana na hilo.

Ikiwa Changamoto ni Hela kutoka kwa walezi...Nenda Muhas Lab...ni kozi nzuri sana pia...na Ada Muhas ni ndogo around Milion 1.5 hivi...inalipwa na Bodi yote.

Popote kati ya hizo utakapoenda, upo kwenye "Right track"...

(ila my Priority ya kwanza nzuri ni Pharm, ya pili Lab)

Hongera kwa kuchaguliwa Kozi nzuri.
 
Back
Top Bottom