PCM kusoma sheria/political science

Ali Hemed

Member
Jul 9, 2021
12
45
Habar wakuu Mimi Ni mhitimu wa kidatu cha sita kutokana na maamuzi wa wazee nililazimishwa kusoma sayansi A level japo Mimi napenda zaidi arts nimehitimu katika tahasusi ya PCM na Nina ndoto za kusoma Sheria.
Matokeo yangu Ni yafuatayo
Gs C
Phy C
Chem C
Adv maths B Div 1.8
Kuna wengi wananiambia kuwa kutokana na tahasusi yangu siwezi kusoma sheria/political science degree je nifanyaje?naomba ushauri
 
ras jeff kapita

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
13,869
2,000
Sheria achana nayo wanasheria ni wengi kazi hakuna hata hizi za kujitegemea ni kama utacheza kamari tu....
supply ya wanasheria ni kubwa demand ni chache......
tafuta kitu kingine usome
 
  • Thanks
Reactions: _ly

vampire123

JF-Expert Member
Apr 17, 2016
1,238
2,000
Habar wakuu Mimi Ni mhitimu wa kidatu cha sita kutokana na maamuzi wa wazee nililazimishwa kusoma sayansi A level japo Mimi napenda zaidi arts nimehitimu katika tahasusi ya PCM na Nina ndoto za kusoma Sheria.
Matokeo yangu Ni yafuatayo
Gs C
Phy C
Chem C
Adv maths B Div 1.8
Kuna wengi wananiambia kuwa kutokana na tahasusi yangu siwezi kusoma sheria/political science degree je nifanyaje?naomba ushauri
Kaka si ukachukue uiengineer jamani watu mnachezea bahati
 
Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,125
2,000
Soma kile ukipendacho bora uwe na vigezo. Angalia TCU admission guide nina imani law una qualify. All the best.
 
Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,519
2,000
Habar wakuu Mimi Ni mhitimu wa kidatu cha sita kutokana na maamuzi wa wazee nililazimishwa kusoma sayansi A level japo Mimi napenda zaidi arts nimehitimu katika tahasusi ya PCM na Nina ndoto za kusoma Sheria.
Matokeo yangu Ni yafuatayo
Gs C
Phy C
Chem C
Adv maths B Div 1.8
Kuna wengi wananiambia kuwa kutokana na tahasusi yangu siwezi kusoma sheria/political science degree je nifanyaje?naomba ushauri

UNGEKUWA MHITIMU WA "KIDATO" NINGEKUPA MWONGOZO,
ILA KWA "KIDATU" SIJUI KAMA TCU WATAKUELEWA.

MKUU,
NENDA MZUMBE/UDOM KADUFUE SHERIA,
AU
UDSM/UDOM KADUFUE PSPA,
IKIWA MATOKEO YAKO YA SOMO LA KIINGEREZA NA HISTORIA KWA KIDATO CHA NNE HAYAKUWA MABAYA-
UNAPATA VIZURI TU ILA UKISHAHITIMU HIZO KOZI UJUE KUNA UWEZEKANO MKUBWA SANA WA KUJA KUJIUNGA NA SISI KWENYE UZURURAJI NA KUBETI HUKU MTAANI!!!

NJE YA UNACHOKIPENDELEA,
KADUFUE "UHANDISI WA UJENZI".
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
18,476
2,000
Habar wakuu Mimi Ni mhitimu wa kidatu cha sita kutokana na maamuzi wa wazee nililazimishwa kusoma sayansi A level japo Mimi napenda zaidi arts nimehitimu katika tahasusi ya PCM na Nina ndoto za kusoma Sheria.
Matokeo yangu Ni yafuatayo
Gs C
Phy C
Chem C
Adv maths B Div 1.8
Kuna wengi wananiambia kuwa kutokana na tahasusi yangu siwezi kusoma sheria/political science degree je nifanyaje?naomba ushauri
Ama kweli kwenye miti hakuna wajenzi..

Anyway umenikumbusha mbali kidogo..

Kipindi namaliza nilikua jamaa zangu wawili tulikua tunasoma nao twit ya pure..

Kweli mungu si athumani tukafaulu wote! Kila mtu alikua anataka kuwa injinia ila dakika za mwisho kabla dirisha halijafungwa jamaa waka change gia angani..wakaenda kusoma uhasibu!

Mpaka nnapoandika jamaa ni wahasibu! Japo sio walisoma kwa sababu wanapenda uhasibu ila ni kwa sababu walikuwa na connection ya uhasibu!

Sometimes soma upendacho so kwa ushauri kasome law..

Ila kama unataka kusoma kitu chenye future/pesa bila kuangalia passion (na huu ndio ushauri wangu) basi kasome CIVIL ENGINEERING..

Goodluck!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom