kusini

Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Hamas Afrika Kusini wateka eneo la wafuasi wa Israel na kulikalia. Polisi waingilia kati kuwaokoa

    Uungwaji mkono wa Palestina umezidi kupaa kote duniani. Huko Afrika kusini jioni ya jana Jumapili kikundi cha wanaounga mkono Israel kilikuwa kimeandaa ibada ya kuiombea Israel katika vita vyake dhidi ya Hamas na kuwaombea mateka wanaoshikiliwa huko Gaza.Shughuli hiyo ilikuwa ikiendelea...
  2. JamiiForums Tanzania Houth wa Yemen yapiga Kusini ya Israel. Na wao wakatiwa intaneti

    Hapo jana wanamgambo wa Houth wa Yemen kwa mara nyengine walifanya mashambulizi ya kuvizia kusini mwa Israel kwenye mji wa bandari wa Eliat. Tofauti na mashambulio ya awali ambayo yaliweza kusitishwa angani moja na israel yenyewe na jengine na kibaraka wao Saudia.Shambulio la hapo jana lilifika...
  3. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kuwaondoa Wanadiplomasia kutoka Israel

    Afrika Kusini inasema utawarejesha nyumbani Wanadiplomasia wake wote kutoka Tel Aviv kufuatia mashambulizi makali yanayofanywa na Israel kuelekea Gaza. Shambulio la bomi lililotokea Novemba 5, 2023 lilikuwa moja ya shambulizi zito zaidi kwa Israel tangu vita baina ya pande hizo ianze mwezi...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Nyota wa Soka wa Amerika Kusini wanachukiana Ulaya?!

    Kwa wageni wa Soka na watoto waliouvamia mchezo huu kwa kusukumwa na shetani la kamari ndio wanaweza kushangazwa na umwamba wanao wekeana nyota wa klabu ya PSG Edinson Cavani raia wa Uruguay na Neymar jr raia wa Brazil. Lakini kwa wenyeji wa mchezo huu, ambao tulianza kuufuatilia mchezo wa...
  5. JamiiForums Tanzania Airport ya Iringa Kufungua Utalii Kusini, Ujenzi Wafikia 82% - Naibu Waziri Kihenzile

    AIRPOT YA IRINGA KUFUNGUA UTALII KUSINI, UJENZI WAFIKIA 82% - NAIBU WAZIRI KIHENZILE Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Mwakiposa Kihenzile amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe .Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kufufua Uwanja wa Ndege wa Iringa na kuujenga kwa kiwango cha Kisasa...
  6. JamiiForums Tanzania Border ya Kusini ya USA imekuwa crisis. Makundi ya wazamiaji yaongezeka haijawahi tokea

    Kwa kipindi hiki cha Biden, kumekuwa kuna ongezeko kubwa la kihistoria la wahamiaji waonajaribu na wengine wengi kufanikiwa kuingia USA. Kwa uchunguzi wa hivi karibuni wamegundua kuwa makundi ya uharifu na nchi nyingine wanatumia fursa hii kuzamisha waharifu, magaidi na majasusi.
  7. JamiiForums Tanzania Kusini mwa Dar es Salaam ni uozo

    Wasalaam wadau..nimezunguka sana kusini mwa dar hasa mbagala na vitongoji vyake, vikindu mpaka kisemvule...kwa kweli Kuna watu wengine mno na maisha yanaenda mchakamchaka Ila kwenye masuala ya huduma mbalimbali wapo very poor.kifupi hakuna jambo lolote utakalofanya lenye kuhusisha mtu mwengine...
  8. JamiiForums Tanzania TANZIA Tanzia: Msaidizi wa Askofu Dayosisi ya Kusini KKKT Dkt. Gabriel Nduye Afariki Dunia

    Taarifa zinasema Msaidizi wa Askofu wa Dayosisi ya Kusini ya KKKT Dr. Gabriel Nduye amefariki dunia leo kwa ajali ya gari. Imeelezwa kuwa Mchg. Dr. Gabriel Nduye amepata ajali baada ya gari lake kugongana na lori katika kijiji cha Ng'anda Njombe alipokuwa akirejea kutoka kwenye semina ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini reli ya Kusini ilisitishwa? Kuna jambo tunafichwa?

    Tanzania huwa haina utaratibu wa kuachia nyaraka za siri zinapofikia umri wa kueksipaya (Declassified) Kuna mtu mmoja kutoka serikali ya Uingereza alinisimulia kashfa kubwa ambayo ingegharimu sana reputation ya Malkia wa Uingereza. Jambo lenyewe lipo hivi. Baada ya Vita ya Pili ya dunia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kukiwasha mikoa ya Nyanda za Juu Kusini

    CHADEMA wanategemewa kuanza yale makongamano ya kukusanya michango toka kwa wananchi wa mikoa ya Mbeya, Iringa na Songwe kuanzia tarehee 13/10/23. Kigogo wa chama Mrema ambae ni mkurugenzi wa mahausiano wa chama alithibitisha kuanza kwa makangamono husika. Mzee Mbowe atasaidiwa na binamu yake...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Vyombo Vya Utangazaji Africa linafanyika Zanzibar

    Dk Rioba ataja fursa kongamano la mashirika ya utangazaji ya umma Dhima la kongamano ni vyombo vya utangazaji vya umma kwenda na mabadiliko ya kidijitali na TEHAMA ili viende na wakati au la vitaishia makumbusho kuwa vilikuwepo. Huku vyombo vinavyokumbatia mabadiliko ya teknolojia vikizidi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania FIFA kuandaa Kombe la Dunia 2030 kwenye Mabara Matatu; Amerika Kusini, Ulaya na Afrika

    Tukio hili kubwaa katika ulimwengu wa soka litasherekea miaka 100 kwa shindano hilo mwaka 2030 kufanyika katika mabara matatu ya Amerika Kusini, Ulaya, na Afrika. Uamuzi huo unaweza kuwa mwanya kwa Saudi Arabia kupata nafasi ya kuandaa mashindano hayo mwaka 2034. Kombe la Dunia la Soka...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kagera: Katibu wa Mbunge Jimbo la Muleba Kusini atiwa hatiani kwa kujipatia milioni 60 fedha za mfuko wa vijana

    KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA MULEBA, MKOANI KAGERA Leo tarehe 3/10/2023 katika Mahakama ya Wilaya Muleba mbele ya Mh Lilian Mwambeleko, imeamriwa kesi ya Jinai namba 91/2023 Jamhuri dhidi ya Adilelius Vedasto Apolinary mwenyekiti wa kikundi cha ujasiliamali cha Umoja wa Vijana Youth Fund cha...
  14. JamiiForums Tanzania CAF kupanga makundi Afrika Kusini Oktoba 06

    Shirikisho la soka Barani Afrika ‘CAF’ linasubiri Oktoba 06 ili kukamilisha mpango wa kupanga makundi ya Michuano ya ngazi ya vilabu iliyo chini ya shirikisho hilo kwa msimu huu 2023/24. CAF imewalazimu kusubiri hadi Oktoba 06, ili kutoa nafasi kwa mchezo mmoja wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika...
  15. JamiiForums Tanzania Mbeya ina watu jasiri na wenye uthubutu. Ni wakati wa kuanzisha chama cha siasa kuongeza upinzani

    1. Mwabukusi 2. Mdude 3. Anangisye 4. Jwani Mwaikusa 5. Dkt. Ulimboka 6. Mwangosi Bonus Wanatuona manyani nae wa huko Mbeya Mtaji wa kisiasa wanao, 2025 target iwe mikoa ya nyanda za juu kusini Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Rukwa hasa urban areas.
  16. G

    JamiiForums Tanzania Wako huko kusini wanasifiana na kupongezana, sisi tuko gizani

    Huko Mtwara na Lindi ni kupongezana na kusifiana tu, akili na mawazo yao yote ni kushinda kwa namna yoyote ile uchaguzi ujao, huku kwetu kila kitu kimesimama hakuna umeme kabisa! Katiba mpya lazima vinginevyo watazidi kutuumiza na wao kunufaika na familia zao
  17. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini na Chuki dhidi ya Wahamiaji - (Mwenzako Akinyolewa)

    Katika pitapita zangu nimekutana na hii article kuhusu Afrika Kusini na Chuki dhidi ya wahamiaji, wazawa hawa wakijiaminisha kwamba matatizo yao yanasababishwa na wahamiaji. --- Inside South Africa's Operation Dudula: 'Why we hate foreigners' South African anti-migrant group Operation Dudula...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini mikoa ya Kusini na Kati haipo active kwenye power ukiwaondoa Wanyakyusa?

    Na hapa nazungumzia Power endelevu miaka nenda rudi, na angalau idadi iwe inaridhisha sio mtu anakuwa moja tu akiondoka panakuwa kimya. Mara nyingi utaisikia kanda ya pwani, kanda ya ziwa na kanda ya kaskazini wapo active sana mambo ya power, yani hawapoi. Ila sasa huku mikoa ya kanda za...
  19. JamiiForums Tanzania Watanzania 5 waripotiwa kufariki kwenye ajali ya Moto Afrika Kusini

    Watu wasiopungua 70 wamepoteza maisha na wengine 52 wamejeruhiwa kufuatia moto uliozuka katika jengo la ghorofa tano katikati ya mji wa Johannesberg nchini Afrika Kusini. Moto huo umetokea katika jengo lililopo katika eneo lenye shughuli nyingi za kibiashara la jiji hilo kubwa la Johannesburg...
  20. JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania laridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012. Itifaki hiyo imeridhiwa Agosti 31, 2023 Bungeni jijini Dodoma na Wabunge wa Bunge hilo ambao walitoa maoni na mapendekezo mbalimbali yaliyolenga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…