Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo amewalaumu Watanzania kumkandia Bondia Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’ kwa kupoteza pambano lake dhidi ya bondia wa DR-Kongo, Tshimanga Katompa.
Amesema Dullah Mbabe aliwahi kushinda pambano nje ya nchi na hakuna aliyemposti ambapo kwa kupoteza pambano lake hivi...